Je, wajua zikiwa zimebaki dakika 2 askari wa Kirusi aliokoa Dunia isiingie Vita ya Tatu ya Dunia?

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Screenshot_20191006-144853~2.png


Zikiwa zimebaki dk 2 tu Mrusi Vasili Arkhipov adondoshe Bom la Nyuklia huko Marekani. Anaahirisha kuachia Bom hilo tarehe 27/10/1962.

Shujaa huyu inasikitisha hamna anayemkumbuka. Lakini kama angeamua kufanya ambacho aliagizwa nadhani Dunia hii ingemkumbuka kama mmoja ya watu waovu walioharibu ustawi wa dunia yetu.

Vasili alikuwa ametumwa aangushe Bom hilo Nchini Marekani.Bila shaka kabisa Marekani wangejibu na hapo tungekuwa na Vita mbaya kabisa kuwahi kupata kutokea Duniani. Vita ya 3 ya Dunia ya matumizi ya Mabomu ya Nyuklia.

Lakini Shujaa huyu aliyeepusha janga hilo nobody remembers him. Hii inasikitisha sana.

Najua nawe kuna mengi unayajua kuhusu Shujaa huyu, kamanda wa ukweli. Usisite kushirikiana nasi.
 
Vasily Alexandrovich Arkhipov was a Soviet Navy officer credited with preventing a Soviet nuclear strike during the Cuban Missile Crisis. Such an attack likely would have caused a major global thermonuclear response.
 
Vasily Alexandrovich Arkhipov was a Soviet Navy officer credited with preventing a Soviet nuclear strike during the Cuban Missile Crisis. Such an attack likely would have caused a major global thermonuclear response.
Hapa mkuu hujatusaidia kitu lugha hiyo mweeeeee
 
Kama taarifa zake hazipo wazi (published) unategemea ataenziwa vipi?

Yote kwa yote mtenda mabaya unenwa na ndiye ukumbukwa na siyo mtenda mema.
 
Moderator jaribu tu kuheshimu uzi wangu. Kila mara napoandika heading najua kwa nini nmeandika hivyo maana mimi ni mtalaamu wa lugha.every word,every sign every sentence has the meaning intended. Sijaona sababu ya kuandika heading yako wakati mimi naelewa why naandika navyoandika.coz unapotosha nachotaka mimi watu wakipate from the heading.at least basi ungekuwa unaelewa nachoandika.
 
Hatujaambiwa wakubwa wake walimchukuliaje kwa kukataa amri halali ya amiri jeshi
 
...kuna nchi ambazo ukitumwa kwenda tekeleza jambo usipofanya ama ukatekeleza vibaya UNAPATA adhabu ya kifooo....

"Itakuwa alitokewa na malaika wema akiwa anajiandaa kwa tukio"
 
siku wayafanyie majaribio hata bongoland tu.. maana toka nasikia yanatengenezwa sijapata ona yakitumika
 
Back
Top Bottom