Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

Wanabodi,

JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia, na hiki ndicho ninachofanya hapa, kwa kuendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa.

Declaration of Interest
Mimi ni kada wa chama cha siasa, ila ninapoandika hapa, siandiki kama kada, bali naandika kama Mtanzania Mzalendo, ukinisoma with preconceived kuwa huyu ni kada wa chama fulani, hutaweza kuiona rationale ya bandiko hili, hivyo nakushauri bara uishie hapa.

Vyama vya Siasa Tanzania ni Public Parties
Japo vyama vya siasa ni mali ya wanachama na kuhudumiwa na michango ya wanachama, kwa Tanzania, vyama vya siasa ni private parties vya wanachama, wakati wa kuanzishwa tuu, lakini vikiisha ingia kushiriki uchaguzi na kushinda, status ya vyama hivyo ina change from private parties za wanachama into public parties za umma na ndio maana vinalipwa ruzuku ya serikali. Fedha za serikali ni public money, yoyote anayelipwa by taxpayers money ni public entity, kufuatia viongozi wa vyama hivyo kuchaguliwa na wananchi, the public, to hold a public office, serikali za mitaa, udiwani, ubunge hadi urais, walio wachagua ni public ya Watanzania na sio wanachama wao pekee, hivyo hivi vyama vyote vya siasa vyenye viongozi waliochaguliwa na wananchi ni public parties.

Kufuatia status hii ya vyama vya siasa kuwa ni public parties, then maamuzi yoyote ya chama kuhusu uchaguzi, lazima yazingatie the public interest na sio the selfish motives ya viongozi wake wajinga wajinga kutokana na bitterness ya kushindwa kwenye sanduku la kura, kwa kujiaminisha walishinda hivyo wamepokwa ushindi!.

Miongoni mwa walioshinda, ni baadhi ya wapinzani. Inasemekana vyama vyao vimepanga kuwazuia kuwatumikia wananchi waliowachagua!. Huu ni ujinga uliopitiliza!.

Japo mgombea lazima adhaminiwe na chama cha siasa kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma, kwa maoni yangu, udhamini una lengo zuri la kupata viongozi safi, lakini pia huu ni ujinga na ni kinyume cha katiba, japo ujinga huu sasa umehalalishwa na kuchomekewa ndani katiba yetu kinyume cha dhamira ya mtunga katiba.

Lakini huyo mgombea akiisha chaguliwa kwa kura za wananchi kuwa kiongozi, status yake ina change from mdhaminiwa wa chama cha siasa into a public service, kiongozi huyu sasa anakuwa ni kiongozi wa umma na sio mgombea wa chama. Uwezo wa chama cha siasa kumfukuza uanachama mwanachama wake ambaye ni kiongozi wa umma, bila kosa lolote, au kosa lake ni yeye kuchaguliwa kuongoza eneo lake, wakati vigogo wa chama chake wameshindwa na kupigwa chini na wananchi wao, huu ni ujinga na kutowatendea haki wananchi wa eneo husika walio onyesha imani yao kwa mgombea huyo na kumchagua!.

Baadhi ya Viongozi wa Vyama ni Insane, Hawajui Watendalo!
Wanabodi, naomba kutanguliza kuomba radhi kwa haya ninayoyaandika kuhusu baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa ni insane bila ya wao kujijua they are insane, ila ni kweli baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa ni insane na utawajua kwa mawazo yao, maneno yao na matendo yao. Kuna kauli za ajabu ajabu zinatolewa na baadhi ya viongozi wetu, mtu hadi unajiuliza kama vingozi hawa wana akili timamu!

Ili kuielewa hii dhana ya viongozi insane, katibu hapa ili umjue insane ni nani na utamtambuaje na kumtofautisha na mtu mwenye akili zake timamu.

Insanity Inawapataje Viongozi wa Siasa?.
Kama nilivyoeleza pale juu, mtu kuwa insane ni hali tuu, kwa Kiswahili kizuri ni kughafilika. Mtu unaweza kuwa timamu kabisa, lakini ukatibuliwa na jambo fulani, ukachukua maamuzi ya hamaki, hasira na kufanya kitendo ambacho sio cha kawaida sometimes hata kuua!, halafu ukiisha tulia, ndipo unajiuliza umefanya nini na kuanza kuujutia uamuzi wako.

Lengo la chama cha siasa, ni kushika dola, hivyo viongozi wanaogombea nafasi mbali mbali kwa lengo la kushika dola (urais), kushika jimbo (ubunge), kata (udiwani), na mitaa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sasa katika kugombea, kukijitokeza umati mkubwa wa watu katika mikutano yako, kunakupa matumaini ya kukubalika, hivyo mgombea unakuwa na too great expectation ya kushinda, kumbe ni just some false hopes, hivyo uchaguzi ukifanyika, matokeo yakaonyesha umeshindwa, unapagawa, unachanganyikiwa unakuwa huamini matokeo, hivyo unaghafilika, unarukwa na akili, una despair, hiyo hali inakusababishia hali inayoitwa preudo insanity, hivyo unatoa maamuzi ya ajabu ajabu, kwanza ni hatua ya kwanza inaitwa denial, hukubali matokeo, unaamini ulishinda ukaibiwa kura, hivyo una wabibilize wafuasi wako muingie barabarani!, this is insanity kutaka kuwafolenisha watu kuwaingiza barabarani ili iweje?.

Hatua ya pili ni kutoa taarifa kuwa hukubali matokeo, hii ni kawaida kwa kila asiyakubali kushindwa. Hatua ya tatu ni kusema huwatambui walioshinda. Unaweza usiwatambue kwa muda, lakini walioshinda wakiisha apishwa, kutowatambua ni muendelezo wa insanity!. Hatua ya nne ni kususa, na kutaka kuwazuia wengine walioshinda kihalali, au kususia kutoa ushirikiano kwa walioshinda, kama hili la kugomea kutoa majina ya wabunge wa viti maalum!

Kuna wanaoshindwa na kubakia kuwa stable, lakini kuna wanaoshindwa na kuchanganyikiwa hadi kurukwa akili, sasa hawa walioshindwa na kurukwa akili wakitoa maamuzi ya ajabu ajabu, wenye akili timamu mkiwafuata, wote mtaonekana insane!

Mtu Kuwa Insane Sio Kosa, ni Hali Tuu, Lakini Kikundi cha Watu, Chama, Kikao au Wanachama Wote Kukubali Kufuata Ushauri wa Isane, Wote Mtaonekana Insane!. Wale Wasio Insane, Wasikubali Maamuzi ya Isane!.
Uchaguzi umekwisha, walioshinda, wameshinda, walioshindwa wameshindwa, zipo taarifa za baadhi ya viongozi walioshindwa kutaka kuwazioa walioshinda wasitumikie wananchi waliowachagua!, this is insanity!.

Kuna taarifa za chama fulani kugomea kuteua wabunge wa viti maalum kwa hoja za kususu, this too is insanity!.

Wito wangu kwenye hivyo vyama, kama kuna viongozi ambao sio insane, please stop this madness ndani ya vyama vyenu, vinginevyo wote mtaonekana ni insane!.

Jee Kila Uamuzi wa Kugomea Jambo au Kususia Kitu ni Ujinga, Insane?
Hapana, sio kila kugomea jambo au kususia jambo fulani ni ujinga. Kugomea jambo fulani ili kutuma ujumbe mzito kwa watawala, kuwa this is not right, kunakubalika, hivyo maandamano ya kutuma ujumbe, demonstrations au industrial actions kwa wafanyakazi, kudai haki zao, ni migomo halali na ina justification kwa ajili ya kutimiza malengo fulani.

Kipimo cha kususia jambo fulani au kugomea fulani, kipi ni uamuzi sahihi na kipi ni ujinga na uendawazi, ni kipimo cha kutumia matokeo, jee ukigomea jambo fulani, una goma ili kuachive nini?, kama unagoma tuu ili mradi kugoma, au unasusa tuu ili mradi kususa, kwa kugoma huko, huta achieve anything, huku ndio kugoma kwa ujinga na uendawazimu, viongozi wa vyama wanaohimiza vyama vyao kusasa huku na kugoma huku ambapo there is nothing they'll achieve kwa kususa huko au kugoma huko, huu ndio uendawazimu ninaouzungumza hapa!.

Huwezi kususa kumtambua rais wa nchi- huu ni uendawazimu. Mgombea ameshinda, huwezi kumzuia asitumikie wananchi walio mchagua- huu ni uendawazimu. Chama kinastahili kupata idadi fulani ya wabunge wa viti maalum, kugoma kupeleka majina NEC ni uendawazimu, unasusa ili iweje?.

Hitimisho.
Kwa vile vyama vya siasa ni public parties, viongozi wa vyama, mna wajibu wa kuviendesha vyama vyenu kwa kutanguliza mbele maslahi ya umma na sio maslahi binafsi ya viongozi wenu, msiruhusu ignorance, insanity, selfishness ya baadhi ya viongozi wenu wabinafsi, kuviangamiza vyama vyenu kwa ignorance, insanity, selfishness yao, wakati miongoni mwenu sio wote mko insane.

ACT Wazalendo, acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni jina la Makamo wa Kwanza wa Rais kwa Dr. Mwinyi!

Chadema acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni majina ya maalum NEC
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Hivi wewe Pascal kususia viti maalum ni ujingauijinga ila kuua watu ili kuzuia wapinzani wasipate ubunge ndio akili? Utakuwa mpumbafussna wewe
 
Dikteta anapoumiza watu, yeye hajui maana ya public interest? shame on you , zamani nilikuwa naambiwa mtu kadiri anavokuwa/kuzeeka anakuwa na hekima/busara kwa TZ mtu anavyokuwa/kuzeeka ndiyo anazidi kuwa mjinga zaidi.
 
MAYALA JPM alishakwambia wewe ni njaa na hiyo njaa ndiyo inayokutesa unakosa mwelekeo mara uwe mwanaume timamu mara uwe na tabia za Ki-shoga. Kama una akili timamu ungenyamaza kimya. Wewe kura za Kawe zilitoka wapi, kwa nini mitandao ifungwe kama mlikuwa mnataka kutenda haki. Yaani ingewezekana ninyi CCM ngesimamisha jua kuchomoza siku 3 ili mfanye maambo yenu gizani mlifungue siku ya kumtangaza Rais.
Sijaona jounalist brain washed kama wewe. its obvious kura zimeibiwa kwa kubadilisha matokeo na hii hata wasimamizi wengi wa uchaguzi wamesema wamefanya kwa amri toka juu na wamefanya dhidi ya dhamira zao kwa kulinda uhai wao. Utumbo unaoongea hapa unakupotezea heshima. Dont think people are not informed. Hao hao intelligence ndio wanatoboa siri nyingi mno.
 
.
IMG_20201001_165916.jpg
 
At it again! Ujinga, ujinga, ujinga, ujinga! Mayalla unashida gani? Au unajiona wewe ni cream ya JF of GT's? Si vizuri kila wakati kuwaita usiowapenda kuwa ni wajinga, wajinga, wajinga. Pascal, mwanasiasa ambaye mimi ninamuona na kumuamini kuwa ni mkweli si lazima nawe umuone hivyo, siasa ni imani kama zilivyo dini, uvumilivu ni muhimu sana.
Mkuu elvischirwa , naomba unisamehe bure, kila mtu ana kiwango chake cha insanity, no one is perfect, nami kiwango changu ni kwenye managing Diversity ya maamuzi mabaya ya viongozi wa vyama bila kupima the outcome ya maamuzi hayo ambayo mimi nimeyaita ni ya kijinga in Nyerere's voice, na kwenye issues za ujinga ujinga, siwasemi tuu wapinzani, huwa ninakisema hata chama changu pale kinapotuletea ujinga ujinga!.
Sorry for this, nitajitahidi sana kuongeza humility, being humble na kuwavumilia, ninaotofautiana kwa kuyaheshimu mawazo yao hata kama sikubaliani nayo!.

P
 
Pascal Mayala ni empty head tabulalasa, premature green embecile .
 
Attachments

  • IMG_20201102_232717.jpg
    IMG_20201102_232717.jpg
    142.3 KB · Views: 1
  • IMG_20201102_232717.jpg
    IMG_20201102_232717.jpg
    142.3 KB · Views: 1
Hivi wewe Pimbi Pascal Mayala kwanini mnalazimisha wabunge wa upinzani waingie bungeni si mchagueni nyie huko CCM muwe upinzani ukiwemo na we boya unayetumwa kuandika haya maujinga yako
 
Mkuu elvischirwa , naomba unisamehe bure, kila mtu ana kiwango chake cha insanity, no one is perfect, nami kiwango changu ni kwenye managing Diversity ya maamuzi mabaya ya viongozi wa vyama bila kupima the outcome ya maamuzi hayo ambayo mimi nimeyaita ni ya kijinga in Nyerere's voice, na kwenye issues za ujinga ujinga, siwasemi tuu wapinzani, huwa ninakisema hata chama changu pale kinapotuletea ujinga ujinga!.
Sorry for this, nitajitahidi sana kuongeza humility, being humble na kuwavumilia, ninaotofautiana kwa kuyaheshimu mawazo yao hata kama sikubaliani nayo!.

P
Kumbuka nilikuambia kuwa Nyerere kulitumia neno ujinga si busara nawe kuliiga na kuanza kulitumia dhidi ya wale unaowachukia, Nyerere alikuwa kiongozi wa juu sana tena sana yaani juu ya sheria, neno lolote akilisema hakuna atakayemkemea hata hivyo maneno hayo hakuwahi kuyatumia dhidi ya familia yake. Kwa mara nyingine tena mimi naona neno busara ni zuri kulitumia kwa walio chini ya umri wako na wale waliokuzidi umri. Mayalla vyama umevikuta na vyama utaviacha na vyama havitakuzika na hakuna atakaesema wajinga waondoke kwenye msiba huu! RESPECT.
Ninamalizia na kauli yako nyingine mbovu ya tabia ya kike na kitoto na nikakuuliza unashida gani na mama yako. RESPECT.
 
Wanabodi,

JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia, na hiki ndicho ninachofanya hapa, kwa kuendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa.

Declaration of Interest
Mimi ni kada wa chama cha siasa, ila ninapoandika hapa, siandiki kama kada, bali naandika kama Mtanzania Mzalendo, ukinisoma with preconceived kuwa huyu ni kada wa chama fulani, hutaweza kuiona rationale ya bandiko hili, hivyo nakushauri bara uishie hapa.

Vyama vya Siasa Tanzania ni Public Parties
Japo vyama vya siasa ni mali ya wanachama na kuhudumiwa na michango ya wanachama, kwa Tanzania, vyama vya siasa ni private parties vya wanachama, wakati wa kuanzishwa tuu, lakini vikiisha ingia kushiriki uchaguzi na kushinda, status ya vyama hivyo ina change from private parties za wanachama into public parties za umma na ndio maana vinalipwa ruzuku ya serikali. Fedha za serikali ni public money, yoyote anayelipwa by taxpayers money ni public entity, kufuatia viongozi wa vyama hivyo kuchaguliwa na wananchi, the public, to hold a public office, serikali za mitaa, udiwani, ubunge hadi urais, walio wachagua ni public ya Watanzania na sio wanachama wao pekee, hivyo hivi vyama vyote vya siasa vyenye viongozi waliochaguliwa na wananchi ni public parties.

Kufuatia status hii ya vyama vya siasa kuwa ni public parties, then maamuzi yoyote ya chama kuhusu uchaguzi, lazima yazingatie the public interest na sio the selfish motives ya viongozi wake wajinga wajinga kutokana na bitterness ya kushindwa kwenye sanduku la kura, kwa kujiaminisha walishinda hivyo wamepokwa ushindi!.

Miongoni mwa walioshinda, ni baadhi ya wapinzani. Inasemekana vyama vyao vimepanga kuwazuia kuwatumikia wananchi waliowachagua!. Huu ni ujinga uliopitiliza!.

Japo mgombea lazima adhaminiwe na chama cha siasa kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma, kwa maoni yangu, udhamini una lengo zuri la kupata viongozi safi, lakini pia huu ni ujinga na ni kinyume cha katiba, japo ujinga huu sasa umehalalishwa na kuchomekewa ndani katiba yetu kinyume cha dhamira ya mtunga katiba.

Lakini huyo mgombea akiisha chaguliwa kwa kura za wananchi kuwa kiongozi, status yake ina change from mdhaminiwa wa chama cha siasa into a public service, kiongozi huyu sasa anakuwa ni kiongozi wa umma na sio mgombea wa chama. Uwezo wa chama cha siasa kumfukuza uanachama mwanachama wake ambaye ni kiongozi wa umma, bila kosa lolote, au kosa lake ni yeye kuchaguliwa kuongoza eneo lake, wakati vigogo wa chama chake wameshindwa na kupigwa chini na wananchi wao, huu ni ujinga na kutowatendea haki wananchi wa eneo husika walio onyesha imani yao kwa mgombea huyo na kumchagua!.

Baadhi ya Viongozi wa Vyama ni Insane, Hawajui Watendalo!
Wanabodi, naomba kutanguliza kuomba radhi kwa haya ninayoyaandika kuhusu baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa ni insane bila ya wao kujijua they are insane, ila ni kweli baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa ni insane na utawajua kwa mawazo yao, maneno yao na matendo yao. Kuna kauli za ajabu ajabu zinatolewa na baadhi ya viongozi wetu, mtu hadi unajiuliza kama vingozi hawa wana akili timamu!

Ili kuielewa hii dhana ya viongozi insane, katibu hapa ili umjue insane ni nani na utamtambuaje na kumtofautisha na mtu mwenye akili zake timamu.

Insanity Inawapataje Viongozi wa Siasa?.
Kama nilivyoeleza pale juu, mtu kuwa insane ni hali tuu, kwa Kiswahili kizuri ni kughafilika. Mtu unaweza kuwa timamu kabisa, lakini ukatibuliwa na jambo fulani, ukachukua maamuzi ya hamaki, hasira na kufanya kitendo ambacho sio cha kawaida sometimes hata kuua!, halafu ukiisha tulia, ndipo unajiuliza umefanya nini na kuanza kuujutia uamuzi wako.

Lengo la chama cha siasa, ni kushika dola, hivyo viongozi wanaogombea nafasi mbali mbali kwa lengo la kushika dola (urais), kushika jimbo (ubunge), kata (udiwani), na mitaa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sasa katika kugombea, kukijitokeza umati mkubwa wa watu katika mikutano yako, kunakupa matumaini ya kukubalika, hivyo mgombea unakuwa na too great expectation ya kushinda, kumbe ni just some false hopes, hivyo uchaguzi ukifanyika, matokeo yakaonyesha umeshindwa, unapagawa, unachanganyikiwa unakuwa huamini matokeo, hivyo unaghafilika, unarukwa na akili, una despair, hiyo hali inakusababishia hali inayoitwa preudo insanity, hivyo unatoa maamuzi ya ajabu ajabu, kwanza ni hatua ya kwanza inaitwa denial, hukubali matokeo, unaamini ulishinda ukaibiwa kura, hivyo una wabibilize wafuasi wako muingie barabarani!, this is insanity kutaka kuwafolenisha watu kuwaingiza barabarani ili iweje?.

Hatua ya pili ni kutoa taarifa kuwa hukubali matokeo, hii ni kawaida kwa kila asiyakubali kushindwa. Hatua ya tatu ni kusema huwatambui walioshinda. Unaweza usiwatambue kwa muda, lakini walioshinda wakiisha apishwa, kutowatambua ni muendelezo wa insanity!. Hatua ya nne ni kususa, na kutaka kuwazuia wengine walioshinda kihalali, au kususia kutoa ushirikiano kwa walioshinda, kama hili la kugomea kutoa majina ya wabunge wa viti maalum!

Kuna wanaoshindwa na kubakia kuwa stable, lakini kuna wanaoshindwa na kuchanganyikiwa hadi kurukwa akili, sasa hawa walioshindwa na kurukwa akili wakitoa maamuzi ya ajabu ajabu, wenye akili timamu mkiwafuata, wote mtaonekana insane!

Mtu Kuwa Insane Sio Kosa, ni Hali Tuu, Lakini Kikundi cha Watu, Chama, Kikao au Wanachama Wote Kukubali Kufuata Ushauri wa Isane, Wote Mtaonekana Insane!. Wale Wasio Insane, Wasikubali Maamuzi ya Isane!.
Uchaguzi umekwisha, walioshinda, wameshinda, walioshindwa wameshindwa, zipo taarifa za baadhi ya viongozi walioshindwa kutaka kuwazioa walioshinda wasitumikie wananchi waliowachagua!, this is insanity!.

Kuna taarifa za chama fulani kugomea kuteua wabunge wa viti maalum kwa hoja za kususu, this too is insanity!.

Wito wangu kwenye hivyo vyama, kama kuna viongozi ambao sio insane, please stop this madness ndani ya vyama vyenu, vinginevyo wote mtaonekana ni insane!.

Jee Kila Uamuzi wa Kugomea Jambo au Kususia Kitu ni Ujinga, Insane?
Hapana, sio kila kugomea jambo au kususia jambo fulani ni ujinga. Kugomea jambo fulani ili kutuma ujumbe mzito kwa watawala, kuwa this is not right, kunakubalika, hivyo maandamano ya kutuma ujumbe, demonstrations au industrial actions kwa wafanyakazi, kudai haki zao, ni migomo halali na ina justification kwa ajili ya kutimiza malengo fulani.

Kipimo cha kususia jambo fulani au kugomea fulani, kipi ni uamuzi sahihi na kipi ni ujinga na uendawazi, ni kipimo cha kutumia matokeo, jee ukigomea jambo fulani, una goma ili kuachive nini?, kama unagoma tuu ili mradi kugoma, au unasusa tuu ili mradi kususa, kwa kugoma huko, huta achieve anything, huku ndio kugoma kwa ujinga na uendawazimu, viongozi wa vyama wanaohimiza vyama vyao kusasa huku na kugoma huku ambapo there is nothing they'll achieve kwa kususa huko au kugoma huko, huu ndio uendawazimu ninaouzungumza hapa!.

Huwezi kususa kumtambua rais wa nchi- huu ni uendawazimu. Mgombea ameshinda, huwezi kumzuia asitumikie wananchi walio mchagua- huu ni uendawazimu. Chama kinastahili kupata idadi fulani ya wabunge wa viti maalum, kugoma kupeleka majina NEC ni uendawazimu, unasusa ili iweje?.

Hitimisho.
Kwa vile vyama vya siasa ni public parties, viongozi wa vyama, mna wajibu wa kuviendesha vyama vyenu kwa kutanguliza mbele maslahi ya umma na sio maslahi binafsi ya viongozi wenu, msiruhusu ignorance, insanity, selfishness ya baadhi ya viongozi wenu wabinafsi, kuviangamiza vyama vyenu kwa ignorance, insanity, selfishness yao, wakati miongoni mwenu sio wote mko insane.

ACT Wazalendo, acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni jina la Makamo wa Kwanza wa Rais kwa Dr. Mwinyi!

Chadema acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni majina ya maalum NEC
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Una tabia nyingi sana za kike. Kwanza huyo unayemwita ni insane kakuzidi kwa mambo mengi, na hata nashangaa ulikopata ujasiri wa kumkosoa kwa mafumbo mafumbo kama bi Hindu. Raisi Magufuli alisema mayala kwa kisukuma ni njaa, na ndiyo inayokusumbua. Mwanzoni ulikuwa unamwandika vibaya rais, baada ya kukupa za uso ndio ukaanza unafiki wako. Usitarajie kupewa nafasi kwa tabia zako hizi za uongo uongo.
Kama ulitaka kuongea ukweli ungezungumzia credibility ya uchaguzi, especially mapungufu yaliyojitokeza. Kama watu walivuruga uchaguzi sioni sababu ya kulazimisha wabunge wa viti maalum kwa ajili ya kuhalalisha uchaguzi uliokuwa na hitilafu nyingi.
 
Back
Top Bottom