Je, wajua Sudan Mtu mweusi huitwa 'Mtumwa'?

Tatizo sio hilo,
Tatizo ni kwamba kuna dini imeruhusu hilo na vyeti vya ndoa inatoa.
Hapo chacha ndio sheeeda kwelkweli
Halafu saa hizi tembelea moshi, mwanza, mbeya na dar kwenyewe ambako watu wa kutoka huko bara wamejaa uone jinsi watu wanavyouza tigo yani ni hatareee mzee
We acha tu
Umeongea kweli mkuu we fikiria watu wanaoana tena kanisani na kiongozi wa dini anakubali kabisa huo ushenzi angalia hawa "Episcopals" na kuna wafuasi wengi tu sasa sijui wao wanatumia biblia ipi na hata vyeti vya ndoa wanapewa kabisa .

Dunia imekwisha.
Screenshot_2020-12-25-15-46-43.jpeg
 
Afrika kila nchi kuna ubaguzi wake wengine wanabaguana kwa ukabila wengine kidini mfano mzuri Bongo wakristo wakizidi kwenye vyeo huko serikalini inakuwa poa kama ilivyo sasa lakini ikitokea waislamu wakawakaribia tu hata kama wasiwazidi wakristo basi inakuwa Nongwa,hapo utaona hata upinzani wa ccm na chadema unawekwa pembeni wakristo wa pande zote mbili wanaungana kuwasakama waislamu.
Mdini mkubwa wewe, peleka upuuzi wako masjid. Nchi hii haina udini na hairuhusu huo upuuzi.
 
Wamefanywa nini mpaka sasa? Mbona Ponda na baadhi ya masheikh wanaongea hayo hayo wanayosema wenzao lakini wanakamatwa wao wakati wenzao hawaguswi tuseme nini kama sio double standard inayotokana na dini zao?
Masheikh wa Uamsho walikamatwa na muislamu mwenzao
 
Tatizo sio hilo,
Tatizo ni kwamba kuna dini imeruhusu hilo na vyeti vya ndoa inatoa.
Hapo chacha ndio sheeeda kwelkweli
Halafu saa hizi tembelea moshi, mwanza, mbeya na dar kwenyewe ambako watu wa kutoka huko bara wamejaa uone jinsi watu wanavyouza tigo yani ni hatareee mzee
We acha tu

Hilo ndio Tatizo lenu nyie wafia dini kwani katika imani yenu , amtofautiani? Inaana kama mfno ANGLICAN ya UK wanatoa vyetu vya ndoa maana yake Bibilia na ukristo umakubaliana , acheni kulala jaribuni kutumia akila kidogo wakati wingine mnaonekana Mazuzu , SUNNI ,SHIA, ISMAILIA nk wanatofautiana kiiman pia
 
Umeongea kweli mkuu we fikiria watu wanaoana tena kanisani na kiongozi wa dini anakubali kabisa huo ushenzi angalia hawa "Episcopals" na kuna wafuasi wengi tu sasa sijui wao wanatumia biblia ipi na hata vyeti vya ndoa wanapewa kabisa .

Dunia imekwisha.View attachment 1658941

Makanisa yapo mengi sana ya MPAPASO kwenye UKRISTO mtu anaweza akanzisha imani yake na akafundisha atakavyo , mwisho wasiku hukumu ipo mikononi mwa MUNGU
 
Umeongea kweli mkuu we fikiria watu wanaoana tena kanisani na kiongozi wa dini anakubali kabisa huo ushenzi angalia hawa "Episcopals" na kuna wafuasi wengi tu sasa sijui wao wanatumia biblia ipi na hata vyeti vya ndoa wanapewa kabisa .

Dunia imekwisha.View attachment 1658941

Mimi nilizani Bibilia ndio imekubaliana na USHOGA kumbe ni kanisa !! SHIA awakubaliani na SUNNI kwenye mapigano ya JIHAD lakini Dunia ikiwaona Wote wanaitwa MAGAIDI iko hivyo
 
Umeongea kweli mkuu we fikiria watu wanaoana tena kanisani na kiongozi wa dini anakubali kabisa huo ushenzi angalia hawa "Episcopals" na kuna wafuasi wengi tu sasa sijui wao wanatumia biblia ipi na hata vyeti vya ndoa wanapewa kabisa .

Dunia imekwisha.View attachment 1658941
Sawa hao ni watu tu wala sio waasisi wa ukristo wala sio muongozo wa mafundisho ya kikristo...Ukitaka kuattack dini fulani attack mafundisho yake vitabuni sio matendo ya waumini...Hapo ndo tofauti ilipo....Wewe onesha ushoga ulipo kwenye biblia mimi nikuoneshe uuaji ulipo kwenye Quran...Sasa ukishindwa inamaana mtu anaposema waarabu/waislam wanaua watu wasio na hatia ni wauaji kwa misingi ya Quran na Hadith zao usilete Hoja za ushoga maana sio misimgi ya biblia....Muhammad mwenyewe alikuwa shoga mbona Hatusemi?
 
Wamefanywa nini mpaka sasa? Mbona Ponda na baadhi ya masheikh wanaongea hayo hayo wanayosema wenzao lakini wanakamatwa wao wakati wenzao hawaguswi tuseme nini kama sio double standard inayotokana na dini zao?

PONDA : waislamu kavunjeni vibanda vya nguruwe na vikavunjwa kweli
PONDA : viwanja walivyo uzwa na BAKWATA waislamu twendeni tukavikomboe basi waislamu wakaenda kuvamia watu wakafa
PONDA : waislamu tuandamane twende kuvamia BAKWATA na kuipindua
 
Sawa hao ni watu tu wala sio waasisi wa ukristo wala sio muongozo wa mafundisho ya kikristo...Ukitaka kuattack dini fulani attack mafundisho yake vitabuni sio matendo ya waumini...Hapo ndo tofauti ilipo....Wewe onesha ushoga ulipo kwenye biblia mimi nikuoneshe uuaji ulipo kwenye Quran...Sasa ukishindwa inamaana mtu anaposema waarabu/waislam wanaua watu wasio na hatia ni wauaji kwa misingi ya Quran na Hadith zao usilete Hoja za ushoga maana sio misimgi ya biblia....Muhammad mwenyewe alikuwa shoga mbona Hatusemi?

Ubarikiwe
 
Miji yote ambayo waraabu walikaa sana wakati wa utumwa Ndio inayoongoza kwa USHOGA TANGA BAGANOYO MPWANI MOMBASA Dar Nk
Muarabu alikuwako,Tabora(mpaka kuna sehemu inaitwa Muscat,kwa walivyokuwa wako wengi,na mitende ilivyokuwa mingi,walioipanda waarabu)umewahi kusikia kuna wanyamwezi wana tabia hizo chafu?,ukikusanya idadi ya waarabu wote walioishi Pwani ya Afrika mashariki,hawafikii idadi ya waarabu walioshi bara ya Tanzania kwa wingi wao,Sumbawanga,Singida,Songea,Iringa,na nchi za Rwanda,Burundi,Kongo ,Msumbiji.Kote huko muarabu ameishi,mbona hakuna ushoga.Unadanganywa kwenye vijiwe vya mbege na pombe za kienyeji,unakuja na wewe kutaka kudanganya wengine.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Afrika kila nchi kuna ubaguzi wake wengine wanabaguana kwa ukabila wengine kidini mfano mzuri Bongo wakristo wakizidi kwenye vyeo huko serikalini inakuwa poa kama ilivyo sasa lakini ikitokea waislamu wakawakaribia tu hata kama wasiwazidi wakristo basi inakuwa Nongwa,hapo utaona hata upinzani wa ccm na chadema unawekwa pembeni wakristo wa pande zote mbili wanaungana kuwasakama waislamu.

Ubaguzi ni asili ya binadamu wasioelimika.
 
Back
Top Bottom