Je, Wajua Rais wa JMT Hayuko Juu ya Katiba? Anaweza Kulazimishwa Kumtengua Makonda, Akigoma, Bunge Linamtegua Urais?

3. Kwenye mahojiano hayo kama atakanusha kuwa yeye si Daudi Bashite kama alivyodanganya jana pale Star TV, then kazi ya kukusanya ushahidi inaanza kwa kutolewa samansi ya kuwahoji wahusika wote wakuu isipokuwa mke, mzazi, walimu, hospitali kufuatia kitu kinachoitwa "fiduciary relationship" ambapo sheria inampa kinga ya kuhojiwa kijinai mtu wa karibu kama mke dhidi ya mume, mzazi na mtoto, mwalimu na mwanafunzi, daktari na mgonjwa, mwanasheria na mteja, padri na muumini etc. Hivyo kuanzia hospitali aliyozaliwa utakusanywa ushahidi wa documentary evidence aliandikishwa kwa majina gani?. Kisha Vizazi na Vifo kupata cheti cha kuzaliwa. Shule alipoandikishwa darasa la kwanza. Shule ya sekondari, Necta, vyuo, ajira alipitia, hadi idara ya uhamiaji.
Sasa mkuu huoni hiyo ISIPOKUWA tayari inaanza kuleta giza kumaliza kila kitu, we hao wote muhimu wasipohojiwa huo ushahidi unaupata wapi?.
Yani unachunguza asili yangu ISIPOKUWA hutakiwi wauliza wazazi wangu, jamaa zangu, walimu walionifundisha, mke wangu anaenijua!..Ina maana unaenda pata umbeya ambao ninaweza ukana huko mbeleni sio?.
 
Huyu naye ni kinyonga! Sijui keshakata tamaa kwenye kuvizia nafasi za kuteuliwa! I'm very suspicious of Mayalla!
 
Pascal nimefurahi sana kwa uchambuzi wako wakina. Ila ndugu yangu binafsi sijapenda ulivyomalizia bandiko lako. Ningetegemea ungetuambia kuwa kama kuna Wakili wakukunga mkono basi ajitokeze tumalize huu mzizi wa fitna.
Unafurahia hewa we vipi?
 
Sasa kaka yangu mayala unayajua yote haya mbona mpaka sasa haujafungua hiyo kesi ya kusisimua?
Namshangaa anazungumzia conclusion bila mahakama kwanza kumuweka hatiani Makonda kwa makosa alioyataja,lakini kwanza mashtaka yafunguliwe.Tusipende kutuliza vichwa vyetu na panadol.
 
Sasa
Na una reference gani ya kesi nyingine kama hii hapo Bongo. Kama itakuwa ya ni ya kwanza sheria zina kinyume chake. Mimi nataka ufungue hii kesi ili uishie Lupango.
reference itatoka wapi kama unahubiri injili ya uoga na vitisho acha kesi hii ndio iwe reference
 
We kweli ni msukule wa Bashite!!! Si ni wewe muda mfupi tu uliopita umesema wanaomwandama Bashite ni wauza dawa za kulevya? Sasa inakuaje tena unashadadia, tena kwa vigele gele hoja ya kukerwa kwa Gwajima?! Gwajima ni muuza dawa za kulevya?!

Now toa jibu sahihi hapa: Wanaom-shoot Daudi Albert Bashite ni wauza dawa za kulevya au Gwajima ambae aliamua kujibu mapigo?!
Jibu ni NDIYO ni wauza madawa ya kulevya.
1.Kwa kiasi ambacho huyo "askofu" wenu alivyopanic anachoita kusingiziwa, Mwenye akili yeyote lazima apate mashaka kama kweli HAHUSIKI na madawa ya KULEVYA. (TUMIA AKILI)
2. Huyo "askofu" wako mbona suala la kuzaa na mke wa Mbasha hajapayukapayuka kama alivyofanya kwa BASHITE?
la madawa ya kulevya kwa nini limempanikisha kama hahusiki? (TUMIA AKILI)
Wewe ni mwanafunzi mzuri. Nimekushauri endelea kutafuta "kwa vile" zingine utajua unatetea ajenda za watu bila kujijua. Na itakusaidia kujitambua na KUSHTUKA USINGIZINI.
Fanya homework ya kutafuta "kwa vile" zingine halafu urudi niendelee kukutoa UZUZU.
 
Kaka kaandika sense lakini usimuamini huyu anaitwa mayalla kule kwao unyantusu ni njaa... Angalia nini aliandika huko nyuma kuhusu vyeti na pia kuhusu Gwajima kumsema Bashite....Mayalla ni janga hana tofauti na wanasiasa ni bendera huyu.
Paskali, hongera kwa mtiririko wa fikra pevu za kumwondoa Rais Magufuli madarakani siyo kwa kura bali kwa hayo uliyoyataja na mchakato mzima wa kufanikisha azma hiyo.

Kwa kuwa kuondolewa kwa Rais unakuhusisha na suala la Daud Albert Bashite, ati ndiye Paul Christian Makonda, inatia shaka kama hicho kitu ni sahihi, kiasi cha wewe pia kuamini hivyo na kudai no its not over until it is over!

Inatia shaka kwa jinsi ulivyoruka hatu elfu kutokutaka kuthibisha hivyo, kama ulivyoandika kwenye namba 10 ya maelezo yako hapo juu.

Natumia 'common sense' kiasi tu na hekima ndogo kujiuliza maswali kadhaa kuhusu tuhuma dhidi ya Paul Makonda, RC wa Dsm, za kugushi vyeti vya elimu!

1) Ni nani mwenye uwezo mkubwa na wa nguvu za kisheria kufanya uchunguzi wa suala hilo, kama siyo vyombo vya Serikali?
2) Inakuwaje, viongozi wa vyombo hivyo, wamekaa kimya, hadi Paskali anashauri Rais aondolewe madarakani si kwa kura?
3) Hivi hakuna waandishi wa habari jasiri, kutupa ukweli kuliko kuendelea kugubikwa na giza la hisia na dhana?
4) Hivi hakuna mtu anayemfahamu Daud Albert Bashite tangu utoto hadi leo akajitokeza na ushahidi kuwa Paul Makonda ndiye Bashite? Kuna wakunga, walimu, vijana walikua pamoja naye, wanafunzi, nk!
6) Hivi huyo mwenye vyeti vinavyodaiwa kutumiwa na Daud Albert Bashite kujiendeleza hayupo hai! Kama yupo hai na anafanya kazi, ametumia vyeti gani kujiendeleza, hadi kufikia alipo?

PASKALI NISAIDIE KUJIBU HAYO MASWALI HATA KAMA WADAI kampuni yangu ya PPR, imejikita kwenye habari za kimaendeleo tuu zenye maslahi kwa taifa. Je, wazo lako la kumwondoa Rais madarakani kwa njia isiyo ya kura, huoni ni jambo kubwa sana kwa maslahi ya Taifa kuliko unavyotaka tuielewe kampuni yako ya PPR?

Hivi wewe uko wapi ndugu yangu?, Magezeti ya Mwanahalisi na Mawio wameshakwenda hadi kijijini Kolomije wakawahoji majirani wa Bashite, wote wanamjua kwa jina hilo, Waandishi wamemhoji hadi mzee aliyemlea mzee Khamese kasema wazi kuwa yeye wakati anamlea huyo kijana alikuwa akiitwa Daudi Bashite, Labda wewe ndugu yangu husomi magazeti lakini tayari waandishi wameshafanya kazi hiyo kitambo sana
 
Hivi wewe uko wapi ndugu yangu?, Magezeti ya Mwanahalisi na Mawio wameshakwenda hadi kijijini Kolomije wakawahoji majirani wa Bashite, wote wanamjua kwa jina hilo, Waandishi wamemhoji hadi mzee aliyemlea mzee Khamese kasema wazi kuwa yeye wakati anamlea huyo kijana alikuwa akiitwa Daudi Bashite, Labda wewe ndugu yangu husomi magazeti lakini tayari waandishi wameshafanya kazi hiyo kitambo sana
Umejijibu mwenyewe, mwanahalisi waliandika Lowasa ni fisadi wewe bado unaamini Lowasa ni fisadi? mwahalisi waliandika Ben Saanane anaonekana na wana CDM ndugu yangu wewe pia unaamini kuwa kuna ukweli hapo? Mimi sijakataa kama kuna ukweli ama la maana sijui yupi wa kumuamini nilichokisema ni kwamba huyu Mayalla kapoteza uaminifu kwetu sisi tusiofungamana na hizi siasa za maji taka za CCM na UKAWA., sababu tunatumia akili zetu hatuwapi nafasi kina Makonda, JPM wala Mbowe na Lowasa kutuendeshea uwezo wa kufikiri.
 
Hivi wewe uko wapi ndugu yangu?, Magezeti ya Mwanahalisi na Mawio wameshakwenda hadi kijijini Kolomije wakawahoji majirani wa Bashite, wote wanamjua kwa jina hilo, Waandishi wamemhoji hadi mzee aliyemlea mzee Khamese kasema wazi kuwa yeye wakati anamlea huyo kijana alikuwa akiitwa Daudi Bashite, Labda wewe ndugu yangu husomi magazeti lakini tayari waandishi wameshafanya kazi hiyo kitambo sana
Kama yaliyoandikwa na hayo magazeti ni kweli, bandiko la Paskali, mwandishi nguri wa habari, na mwanasheria, litakuwa halina maana. KAKURUPUKA!

Kama yaliyoandikwa na hayo magazeti ni kweli, nawe Gamba la Nyoka unayaamini, na uzalendo unachukua nafasi kubwa katika nafsi yako, chukua hatua, wacha maneno nyuma ya 'keyboard' na ID bandia.
 
MHHHH, Paskali sikuelewi kabisa, hili ni bandiko lako la pili leo JF, lile la kwanza ulisema hatutaki mangimeza, saivi umeingia tena mrengo wa kulia,.. Umepanic?


Nimejiuliza mara tatu ni Paskali ninayemfahamu au wamedukua account yake
 
Tatizo ni kwamba wafanya maamuzi wanategemea upepo wa mkuu umeelekea wapi? Sasa mkuu anamtetea mtuhumiwa nani atafanya kisheria yamtokee ya Nape?
 
Ndugu Paskali wewe ni mwanahabari na wanahabari mnajuana kwa majina na weledi bila kujali vyombo vya habari mnavyofanyia kazi! Kwa nini usianze kwa kuunda jopo la wanahabari huru wenye weledi mkalivalia njuga hili swala na hapa JF ukaleta mrejesho na pia kuomba financial support kama itahitajika?
Mbele ya mpiji magoe Kuna msitu unajua lakini mkuu uliyemquote paskali
 
Wapi cocochanel, wapi Lizaboni

Lizaboni kapotea kabisa simuoni siku hizi, au supply ya buku Saba imekatika?
 
Vetting yaweza fanyika kote huko ulikotaja na kwingineko lakini mwisho wa siku ieleweke kuwa incharge anayepokea hiyo vetting report yuko free kuitilia maani au kuiacha na kuendelea na uteuzi wake kwa sababu anazozijua yeye ambazo si lazima amshirikishe vetting officer yeyote aliyeshiriki kufanya vetting au aliyekabidhi report kuwa Why umempa mtu aliyepata vetting report mbaya
Ndio mfumo ninaozungumzia
 
Jibu ni NDIYO ni wauza madawa ya kulevya.
1.Kwa kiasi ambacho huyo "askofu" wenu alivyopanic anachoita kusingiziwa, Mwenye akili yeyote lazima apate mashaka kama kweli HAHUSIKI na madawa ya KULEVYA. (TUMIA AKILI)
Ni mwehu peke yake ndie angeacha ku-panic wakati kuna mtu bila aibu anaenda kupata live tv coverage na kutangaza hadharani kwamba XYZ anauza dawa za kulevya na anafanya hivyo wakati hana ushahidi wowote!! Kama nawe ni public figure halafu anatokea mtu mmoja kwa kutumia nafasi yake anafanya live tv coverage kukutangaza unauza mihadarati... ungekaa kimya?!

Ni public figure gani mwenye influence ambae alivumulia uhuni ule wa Bashite?!

Manji haku-panic?

Mbowe haku-panic?

Wema Sepetu haku-panic?

Kama alichokua anafanya ni sahihi mbona JPM alikimbilia kuunda tume na kama namna ya kumwambia Bashite STOP!

Acha kutetea ujinga--
2. Huyo "askofu" wako mbona suala la kuzaa na mke wa Mbasha hajapayukapayuka kama alivyofanya kwa BASHITE?
la madawa ya kulevya kwa nini limempanikisha kama hahusiki? (TUMIA AKILI).
Pumba at highest level! Mbaya zaidi hujafahamu kwamba ni wewe ndie unatakiwa KUTUMIA AKILI!!!

Ungekuwa unatumia akili basi ungefanya simple arithmetic kwamba 1+1=2 which means, kama Gwajima alituhumiwa kuzaa na mke wa Mbasha na haku-panic basi inawezekana ni kweli amezaa nae na ndio maana haku-panic!!

Lakini hili la mihadarati ame-panic kwa sababu anaona amechafuliwa mbele ya jamii wakati hausiki na tuhuma husika! TUMIA AKILI.....:D:rolleyes::rolleyes::eek::mad:!!!! Hata mtoto wa darasa la pili asingeshindwa kuunganisha dots hapo; kinyume chake kutokana na uzuzu wako unadhani hiyo ndo hoja ya kumtetea Bashite
Wewe ni mwanafunzi mzuri. Nimekushauri endelea kutafuta "kwa vile" zingine utajua unatetea ajenda za watu bila kujijua. Na itakusaidia kujitambua na KUSHTUKA USINGIZINI.
Fanya homework ya kutafuta "kwa vile" zingine halafu urudi niendelee kukutoa UZUZU.
Mimi na wewe nani anatetea ajenda za watu?!

LOOK: Kutokana na approach ya hovyo hovyo ya Daudi Albert Bashite akasababisha wauza mihadarati wa kweli wapoteze ushahidi na matokeo yake wakaishia kudaka mateja!!! Hili lipo wazi na hata mtoto wa darasa la 3 anaweza kuliona!!

Kinyume chake, ingawaje unaonekana mtu mzima lakini unafumba macho na kujifanya hulioni ili mradi tu utetee upumb'avu!!!!

Moja ya watuhumiwa wa mambo ya hovyo hovyo nchi hii ni GSM!! Hawa ilifikia kuhisiwa hadi kwamba wanahusika na mihadarati!!! Lisilo na kificho ni kwamba GSM ni moja ya mafisadi wakubwa nchi hiii!! Lakini pamoja na yote hayo, Daudi Albert Bashite ni mtoto wa GSM!! Kila mwenye akili zake analifahamu hilo!!

Lakini wewe bila aibu unajifanya huoni ili mradi umtetee Bashite!!!

KIla anayetumia akili anafahamu ni ukosefu mkubwa wa maadili kwa Kiongozi Mwandamizi wa Umma kutafuta mwanamke barabarani kisha unam-set aseme amezaa na fulani ili mradi tu ulipize kisasi!!!

Unaotaka kukusaidia kufanya huo uhalifu wako wanakumbia wazi kwamba hii habari haija-balance... lazima tumpate muhusika ili tusimuhukumu bila kusikilizwa!! Mtu bila aibu anamwacha mkewe nyumbani usiku anaondoka na askari kwenda kushinikiza kurushwa kwa habari aliyokusudia iwe malipo ya kisasi kwa wanaomwandama!!!!

Hata mtoto wa darasa la pili anafahamu jambo kama hilo linaweza kufanywa wahuni peke yake!! Na kinyume chake; bila aibu au kutokana na uju'ha wako unajifanya hulioni hilo ili mradi umtetee mhalifu Bashite!!!!

Kwa kuangalia hayo, unaweza kuona ni namna gani ulivyo JU'HA Na ZUZU manake wala huelewi unatetea nini kutokana na UZUZU wako ambao inawezekana ni uzuzu wa kuzaliwa nao ambao kimsingi unakuwa mgumu kuondokana nao!!!!

Na mazuzu yote yamehishiwa na hoja... kila kitu wanakimbilia wauza dawa za kulevya! What a nonsense!!! !!
 
Back
Top Bottom