Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,409
- 21,089
Hadithi tu hizoJe wajua kwamba paka huweza kukuua endapo atapigana na wewe mkiwa ndani huku milango imefungwa?
Hadithi tu hizoJe wajua kwamba paka huweza kukuua endapo atapigana na wewe mkiwa ndani huku milango imefungwa?
Je wajua mwanza ndio mkoa wenye kiasi kikubwa cha maji kuliko mkoa wowote hapa tz na singida ndio mkoa mkame kabisa
Uongo
Kwani kujamba siyo kuhema?!
Je wajua Kisiwa cha Mafia kilichopo bahari ya Hindi chenye kata 7 na wakazi wapatao 60,000 hakuna hata shule moja ya kidato cha sita?
Ubongo wa binadamu au wake.
Sasa kwanini mende hupendelea kufa wakiwa chali?