7. Kukumbatiana huondoa shauku,
msongo wa mawazo na huongeza kinga ya
mwili.


11. Mtu ambaye ametendwa au
ameumizwa kisaikolojia huwa na hulka ya
kukasirika pasipo sababu yeyote ya
msingi. (kwasababu muda wote unahisi kama kitu kibaya kitakutokea/utatendewa kwa sababu ya experience ulionayo)

13. Kama mtu anachekacheka tu bila
sababu maalumu au anacheka sana, basi
mtu huyo ana huzuni kuu moyoni mwake,
na kama mtu analala kwa mda mrefu
sana, mtu huyo ni mpweke.( huzuni ya moyoni iko kama background kwenye simu/pc hata kama ukiwa unatumia app tofauti kwenye simu au pc background itabaki kuwa ile ile, ijapokuwa unajidanganya na tabasamu)


17. Mashairi katika wimbo uupendao ni
ujumbe ambao unapambana kuufikisha
mahala flani au kuwaambia watu flani.(Kanyaga🤣🤣)


23. Wanasaikolojia wanasema mtu
anataka kumfurahisha kila mtu huishia
kuwa mpweke zaidi.
24. Mtu anaekasirika kirahisi, kwa vitu vya
kijinga, inaonesha kwamba anahitaji
upendo/kupendwa.😢

26. Kulia ni afya kwako. Huondoa bacteria
wabaya mwilini mwako, hukupunguzia
msongo wa mawazo na kukuongezea
kinga ya mwili.

28. Ukweli wa mambo: uko karibu zaidi
na kufanikisha malengo yako kama
utayaweka kuwa yako pekee, yaani kuwa
ni siri yako.

30. Kabla ya kulala, asilimia 90 ya akili
yako huanza kufikiri mambo ambayo
ungependa yatokee. (unafika kitandani saa2 unalala saa6 muda wote huo ulikua una tengeneza illusion 😂)

40. Kuna watu wana alama ya asili ya
kuwaamsha muda wanaotaka, hii ni kwa
sababu wana homoni ya asili ya stress. (Sikoseagi hata sekunde 😂 nikitaka kuamka mda fulani ntaamka huo huo )
41. Haiwezekani kukaa na hasira dhidi ya
umpendae kwa mda mrefu. Hasira
inayofika siku tatu au zaidi inamaanisha
kwamba hauna upendo. (ukimpenda mtu unauwezo wa kujipa 7bu kwanini kakukwaza na ukaona 50% he 's right kwahiyo unangoja akuombe msamaha tu yaishe 😀 That's why u can not be wise and inlove at the same time)

43. Kama urafiki utafikisha miaka saba,
basi urafiki huo utadumu milele.

44. Kama mtu akiongea na wewe halafu
kwenye maongezi akakungalia machoni
kwa asilimia 60 ya maongezi basi
umemboa mtu huyo. Kama atakuangalia
kwa asilimia 80 basi umemvutia mtu huyo
na kama itafikia asilimia 100 basi mtu
huyo anakutishia.

47. Kawaida, mtu akianza kulia
atakumbukaia matukio mengine
yaliyomsikitisha au kumchukiza ili
kuongezea ubongo wake hamu ya kulia.(😀😀😀😀😀 unakumbuka manyanyaso yote)



100%
 
Je wajua kwamba Ethiopia ndiyo nchi yenye viwanja vingi vya ndege vyenye viwango vya kimataifa Africa!! (23 international airports)

Lakini raia wake (wahabeshi) wanakamatwa kwenye nchi mbalimbali kila siku kwenye malori wakielekea SA!
 
8. Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo akilini mwa mtu huyo.

mkuu nimeshindwa kumtoa akilini mwanamama Sanaa Lathan.. itakua na ye ananiwazaga enh?
717805fe16e2f135d6c3bd8b0f9af6f3.jpeg
 
Back
Top Bottom