Je, wajua? Si Cadillac tu, hata Bugatti, Ferrari na Lamborghini nazo ni Uber Marekani

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani.

Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015 zikapigwa kelele ni ya zamani na hata bakhresa anayo, bila kujua hio ilikuwa ya wasiaidizi na mabodigadi 😂😂 Majuzi hapo Diamond kaleta kitu chenyewe, Cadillac toleo jipya la 2020, kama kawaida wenye wivu na chuki wakakurupuka kusema hata uber huko marekani wanatumia 😂, hawa watu aisha yao jinsi wanavyoishi, wanavyofkiri, wanavyoongea, wanavyolala, wanachoota ni dhahiri vinaendeshwa sana na maisha ya Diamon.

Kwa nch zilizoendelea kama marekani ni kawaida gari yoyote kuikuta uber, aina yeyote ya gari duniani inaweza ikatumika kama usafiri wa uber, watu wanaichukulia uber kama huduma inayotolewa na gari zenye hadhi ya chini tu kitu ambacho si sawa, hata magari yenye hadhi za juu kama cadillac (ile kama ya Diamond 😂), Bughatti, Lamborghini, Ferrari, n.k nazo zinaweza kutumika kwenye UBER bila kikwazo chochote.

Ila cha ajabu ni kwamba yule dada wa mitandaoni kaposti cadillac ya mwaka 2015 ka sikosei ambayo ni gari ya wasaidizi na mabodigadi wa Diamond, ile cadillac ya pili kwajili ya Diamond ya toleo la mwaka jana kuikuta uber ni ndoto.

1624699037140.png

1624701013549.png


1624698916949.png
1624698944998.png

1624700708012.png
 
Wewe kuleta Vlogs za Movlogs ambazo alifanya kama social experiment ya kupick waliorequest uber bila kuexpect Ferrari kuja inaonyesha how low you are.
Kama huna pesa kaa pembeni mkuu, acha watu wenye pesa zao wazitumie, Njaa huleta hasira, hebu agiza chai na chapati mbili hapo kwa mama kimbo ntalipa jioni 😂😂
 
Hv n nn maana ya Uber,...?
Me nazani aina yeyote ya gari duniani inaweza ikatumika kama usafiri wa uber kulingana na mapendeleo ya mmiliki, japo the way watu wanaichukulia ni kama huduma inayotolewa na gari zenye hadhi ya chini kitu ambacho si sawa.
 
Tz Uber nyingi vits, tax tax wenzetu ulaya , USA, wanatuma magar ya mond hayo mapya, wenzetu wameendelea, wakat kwetu ni ya hadhi hayo magari.
 
Uber na Lyft wanaruhusu magari ya milango miwili tu?

Uber za Lambo ziko wapi hizo? Na ni Uber gani hizo? UberX? UberXL? Uber Black?
 
Tz Uber nyingi vits, tax tax wenzetu ulaya , USA, wanatuma magar ya mond hayo mapya, wenzetu wameendelea, wakat kwetu ni ya hadhi hayo magari.
hata bughati za bilioni 3 🤠🤠 acha mchezo kabisa na kitu inaitwa pesa
 
Siyo kweli...

Alafu hizo video ulizoambatanisha hao watu walifanya kama Prunk kuona reaction za watu, kwa maana hata kwenye usajili zinaonekana gari zingine hizo hazipo...
 
Siyo kweli...

Alafu hizo video ulizoambatanisha hao watu walifanya kama Prunk kuona reaction za watu, kwa maana hata kwenye usajili zinaonekana gari zingine hizo hazipo...
😂😂 Mkuu umaskini mbaya sana, hasa ukianza kukuendesha kwenye negative side, Kama huna pesa kaa pembeni tu, Kuna watu wana pesa chafu, Nenda kwa mama kimbo hapo akupe ubwabwa na maharagwe utulize njaa ntapitia baadae kulipa
 
Back
Top Bottom