Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Halo mwana JF.
Wengi bila shaka hamjui ni kwanini wazungu wa South Africa walimiliki mashamba makubwa humu nchini hata kabla ya Uhuru. Kumbuka mkoloni wa kwanza ni mjerumani na badaee kaja Mwingereza baada ya Ujerumani kunyang'anywa Tanganyika kama adhabu ya kusababisha vita vya kwanza vya Dunia.
Sasa wakati wa vita vya kwanza vya Dunia 1914 hadi 1918, Mwingereza alizidiwa na Mjerumani ndani ya Aridhi ya Tanganyika na ikabidi aombe msaada kwa maaskari wa Makaburu wa Africa kusini.
Sharti alilopewa ni kuwa akifanikiwa kushinda vita basi wakulima makaburu au walowezi ni lazima wapewe Aridhi ya kulima mazao ya biashara ktk koloni la Tanganyika. Ndivyo mambo yalivyoenda kwani wote wawili walimtimua mjerumani ktk aridhi hii na baada ya hapo walowezi kutoka Uingereza na Africa kusini walimiminika huku Tanzania na kugaiwa aridhi yenye rutuba.
Pengine Leo tusingemfahamu Hermanus Steyn aliyeshikilia ndege yetu. Lakini pia hivi ingekuwaje Mjerumani asingeondoka Tanganyika, tungepata Uhuru lini na je tungekuwaje kisiasa na kiuchumi wakati huu?
NOTE: Wengi waliopewa mashamba miongoni mwa makaburu ni wanajeshi waliokuwa mbioni kustaafu walioshiriki vita hivyo, majemedari wengine jeshini na hata ndugu zao wa Karibu.