Je, wajua sababu ya wazungu wa Afrika Kusini kupewa mashamba Tanzania?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,433
2,000
Halo mwana JF.

Wengi bila shaka hamjui ni kwanini wazungu wa South Africa walimiliki mashamba makubwa humu nchini hata kabla ya Uhuru. Kumbuka mkoloni wa kwanza ni mjerumani na badaee kaja Mwingereza baada ya Ujerumani kunyang'anywa Tanganyika kama adhabu ya kusababisha vita vya kwanza vya Dunia.

Sasa wakati wa vita vya kwanza vya Dunia 1914 hadi 1918, Mwingereza alizidiwa na Mjerumani ndani ya Aridhi ya Tanganyika na ikabidi aombe msaada kwa maaskari wa Makaburu wa Africa kusini.

Sharti alilopewa ni kuwa akifanikiwa kushinda vita basi wakulima makaburu au walowezi ni lazima wapewe Aridhi ya kulima mazao ya biashara ktk koloni la Tanganyika. Ndivyo mambo yalivyoenda kwani wote wawili walimtimua mjerumani ktk aridhi hii na baada ya hapo walowezi kutoka Uingereza na Africa kusini walimiminika huku Tanzania na kugaiwa aridhi yenye rutuba.

Pengine Leo tusingemfahamu Hermanus Steyn aliyeshikilia ndege yetu. Lakini pia hivi ingekuwaje Mjerumani asingeondoka Tanganyika, tungepata Uhuru lini na je tungekuwaje kisiasa na kiuchumi wakati huu?

NOTE: Wengi waliopewa mashamba miongoni mwa makaburu ni wanajeshi waliokuwa mbioni kustaafu walioshiriki vita hivyo, majemedari wengine jeshini na hata ndugu zao wa Karibu.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
3,213

Uko vizuri !!. Hata Fredrick De Clerk inasemekana wazazi wake walikuwa na mashamba ya kahawa pale Utengule Mbeya
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
2,726
2,000
Nchi yetu, ardhi yetu wao wakagawana kama vile wana haki nayo.

Kwa hiyo uhuru tumepata lakini unyonge haujaisha, ardhi ni yetu lakini tunalipishwa fidia.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
..kwamba waTANGANYIKA tungekuwa wapi kama tungepitia kwenye mikono ya ADOLF HITLER?

..jambo lingine ambalo ni lazima uelewe ni kwamba Tanganyika haikuwa koloni la Muingereza, bali tulikuwa UN trust territory chini ya "uangalizi" wa Waingereza.

..kutokana na mazingira hayo ndiyo maana wazalendo mbalimbali, na Baba wa Taifa, walikwenda UNO kuwasilisha kilio chetu cha kujitawala.
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
3,962
2,000
Hao wazee waliowanyang'anya mashamba hao makaburu si bado wapo tunawalipa kodi zetu na vizazi vyao?

Tupige mnada mali za wazee wote waliokuwa kwenye baraza la mchonga lililobariki huo uporaji na stahiki zao tuzistopishe kwa wanaoendelea kupata kufidia deni.

Simple.
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,433
2,000
..kwamba waTANGANYIKA tungekuwa wapi kama tungepitia kwenye mikono ya ADOLF HITLER?

..jambo lingine ambalo ni lazima uelewe ni kwamba Tanganyika haikuwa koloni la Muingereza, bali tulikuwa chini ya "uangalizi" wa Muingereza.

..kutokana na mazingira hayo ndiyo maana wazalendo mbalimbali, na Baba wa Taifa, walikwenda UNO kuwasilisha kilio chetu cha kujitawala.
Hili nalifahamu vyema, lakini historia kila tarehe 9 December inasema tulipata Uhuru kutoka kwa Mwingereza
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,433
2,000
Halo mwana JF.
Wengi bila shaka hamjui ni kwanini wazungu wa South Africa walimiliki mashamba makubwa humu nchini hata kabla ya Uhuru. Kumbuka mkoloni wa kwanza ni mjerumani na badaee kaja Mwingereza baada ya Ujerumani kunyang'anywa Tanganyika kama adhabu ya kusababisha vita vya kwanza vya Dunia.
Sasa wakati wa vita vya kwanza vya Dunia 1914 hadi 1918, Mwingereza alizidiwa na Mjerumani ndani ya Aridhi ya Tanganyika na ikabidi aombe msaada kwa maaskari wa Makaburu wa Africa kusini.
Sharti alilopewa ni kuwa akifanikiwa kushinda vita basi wakulima makaburu au walowezi ni lazima wapewe Aridhi ya kulima mazao ya biashara ktk koloni la Tanganyika. Ndivyo mambo yalivyoenda kwani wote wawili walimtimua mjerumani ktk aridhi hii na baada ya hapo walowezi kutoka Uingereza na Africa kusini walimiminika huku Tanzania na kugaiwa aridhi yenye rutuba.
Pengine Leo tusingemfahamu Hermanus Steyn aliyeshikilia ndege yetu. Lakini pia hivi ingekuwaje Mjerumani asingeondoka Tanganyika, tungepata Uhuru lini na je tungekuwaje kisiasa na kiuchumi wakati huu?
Ha ha ha ha tunashindwa kuwalipa wazawa madeni yao tunaenda kumlipa beberu
Hatari sana
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
47,509
2,000
Halo mwana JF.

Wengi bila shaka hamjui ni kwanini wazungu wa South Africa walimiliki mashamba makubwa humu nchini hata kabla ya Uhuru. Kumbuka mkoloni wa kwanza ni mjerumani na badaee kaja Mwingereza baada ya Ujerumani kunyang'anywa Tanganyika kama adhabu ya kusababisha vita vya kwanza vya Dunia.

Sasa wakati wa vita vya kwanza vya Dunia 1914 hadi 1918, Mwingereza alizidiwa na Mjerumani ndani ya Aridhi ya Tanganyika na ikabidi aombe msaada kwa maaskari wa Makaburu wa Africa kusini.

Sharti alilopewa ni kuwa akifanikiwa kushinda vita basi wakulima makaburu au walowezi ni lazima wapewe Aridhi ya kulima mazao ya biashara ktk koloni la Tanganyika. Ndivyo mambo yalivyoenda kwani wote wawili walimtimua mjerumani ktk aridhi hii na baada ya hapo walowezi kutoka Uingereza na Africa kusini walimiminika huku Tanzania na kugaiwa aridhi yenye rutuba.

Pengine Leo tusingemfahamu Hermanus Steyn aliyeshikilia ndege yetu. Lakini pia hivi ingekuwaje Mjerumani asingeondoka Tanganyika, tungepata Uhuru lini na je tungekuwaje kisiasa na kiuchumi wakati huu?

NOTE: Wengi waliopewa mashamba miongoni mwa makaburu ni wanajeshi waliokuwa mbioni kustaafu walioshiriki vita hivyo, majemedari wengine jeshini na hata ndugu zao wa Karibu.
Bora Mjerumani angebaki kuliko dikteta CCM.
 
Top Bottom