Je wajua?ndege iliyokuja kubeba wanyama wetu ..kumbukeni tulitumia mabilioni kununua rada ..ya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua?ndege iliyokuja kubeba wanyama wetu ..kumbukeni tulitumia mabilioni kununua rada ..ya nini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, May 5, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  kumbukeni tulinunua rada kwa mabilioni ..rada ya nini? jibu wanalijua watu wa magogoni
  561384_204313886353859_100003257482531_327739_839474459_n.jpg
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @Saint Ivuga Tumenunuwa Rada ya Mabilioni ya Fedha ili kuangalia ndege zinazokuja kuiba Wanyama wetu na Madini yetu wanayouza Viongozi wetu Mafisadi wetu oyeeeeeeeee
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ama kweli ilinunuliwa rada kwa ajili moja tu!
  Na bila shaka ilidhihirika!

  sisiem imekuja geuka kuwa piGo kwa Watanganyika!

  Ila hakika naye siku zake zinahesabika!
  Itatoweka ndani ya ulimwengu wa siasa hapa Nchini.

  Hawana bahati!
   
Loading...