Je, wajua mwanamke akikuona kwa mara ya kwanza huwa anawaza nini juu yako?

Ok ukivitambua hivi hutapata shida kabsa katk swala la mahusiano , kuna kitu kinaitwa mtazamo(persipective) ni swala lolote lile ambalo linakupa picha kwa jambo unalokutananalo au kuona kwa mara ya kwanza ( first impression) .
Tambua kuwa kwa sisi wakiume hasa ktk swala la kihisia ukikutana au kumuona mwanamke mzur na mrembo kwa mara ya kwanza ni kumuwazia jinsi maumbo yake yalivyo inafika kipind unawaza jinsi ya kufanya nae mapenzi (matamanio)

Ok vivo hivyo hali hii kwa upande wa wanawake ilivyo wanapoona tunawahtaj au kuhisi tunawataka , wao huwa na mtazamo tofaut kidgo na sisi , maana wazo lake la kwanza linalomjia ni jinsi unaweza kumpa msaada, na utamtatulia matatizo yake hasa ya kiuchumi na kipesa(Virungu/vibomi) .

Awe mwanamme mwanzangu hasa bachelor jiandae kisaikolojia na kiuchumi ktk swala la kuombwa pesa sana au kutatua shida ndogondgo kma kusuka, nguo, matumiz, na chakula mara baada ya mtazamo wako wa kimatamanio ukifika pale jicho lilipoona.


Umeshau pia hela ya karo kwa watoto wa nduguze ama watoto aliyezaa na wanaume wengine. Alkadhalika, pesa za kumtunza mwanamme wake wa kitaa na kujionyesha kwa marafikize kuwa ana ATM ya uhakika. Mwanamke usiye na mpango naye chapa tu kufurahisha mwili kisha sepa usije kuchunwa mpaka unajuta maishani.
 
Back
Top Bottom