Je, wajua mshahara wa "Flight Attendant" wa Emirates?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,104
53,341
It's around 3000 USD (± 300 to 500 USD).

It's divided into 3 parts

  1. Basic salary: A fixed amount u earn irrespectiv Of the whether You are on an active duty or not (so if you are going on 15 days mandatory vacation you'll still get atleast that much amount. It's around 1150 USD for beginners.
  2. Flying hours: a fixed amount depending on ur grade for flying per hour. So let's suppose u fly 100 hrs in a month and this per flying hour pay is 50 dirhams then u get 5000 dirhams (1373 USD) added to ur basic. 1USD = 3.65 dirhams.
  3. Layover allowance: Depending on the destinations you stay for a night or so you get an allowance from the company for ur 3 meals a day and it can differ quite much depending on ur roster! European destinations pay good, US is ok, Indian sectors is the least paying. So it can add another 500 USD to 1500 USD to ur paycheck.

Source: Quora.
 
kuna siku nilisafiri na qatar.. dar to doha ndege ilikuwa haijajaa kabisa siku hiyo. abiria wachache sana.. nikapiga story sana na flight attendant mdada wa kikenya anaejua kiswahili vizuri sana amewekwa special kuhudumia abiria wa kitanzania wasiojua lugha za kugeni (nafasi ya mtanzania hii ila mkenya kadaka fursa)

tukawa tunataniana kwenye story kuhusu salary zikoje anazopata... akanizingua nizingua ila akaniambia around usd 4000 hapo bado ma bonus ya kukaa angani. na ni 23 tu hako kadada
 
Hiyo mishahara ya flight attendant ingekuwa mikubwa hivyo basi watu wangeachaga kusoma kozi za maana na wangekimbilia huko...4000 USD my foot....hawa wadada most of them ndio upige nao story kama hivyo muunge urafiki, akupuneeeee kisha ugegede kila mmoja na 50 zake baada ya hapo, karibu million tisa za kibongo bado bonuses na inshu zingine....wadada wasingejisumbua kusoma hotel management au sociology badala yake woooote wangesoma hiyo kozi, kwani hawahitaji huo mshahara mpaka wakadeki hoteli kwa mshahara wa laki mbili????
 
tatizo sio kusoma au nini.. kupata kazi qatar, emirates au klm sio shughuli ndogo...

watanzania tunaishia fast jet tu, na precision au auric.. kazi zetu za laki mbili kwa mwezi..

fursa nyingi za ndege za kimataifa ni ngumu kupata na mnaoshindania kupata nafasi moja tu ni wengi karibu dunia nzima wote mnaitaka hiyo.. so probability kupata ni ndogo sana...

unajua tpdc dereva tu analipwa milion 5 ya kitanzania kwa scale yao..

sasa hapo jaribu kutafuta udereva huo huone shughuli yake....

hata tanzanja yapo makampuni yanalipa vizuri sana ila kupata kazi sio shughuli ndogo...

mfano oil and gas giants kama petrobrass, exxon mobil, hulliburton wote wana branch tanzania hawa.. ila unakuta staff wote wapo 50 tu... sasa upate chance ya kuwemo katika hao 50 sio shughuli ndogo....ni ushindani mkubwa sana ndio maana tunaishia kwenye kazi za wote za laki mbili

Hiyo mishahara ya flight attendant ingekuwa mikubwa hivyo basi watu wangeachaga kusoma kozi za maana na wangekimbilia huko...4000 USD my foot....hawa wadada most of them ndio upige nao story kama hivyo muunge urafiki, akupuneeeee kisha ugegede kila mmoja na 50 zake baada ya hapo, karibu million tisa za kibongo bado bonuses na inshu zingine....wadada wasingejisumbua kusoma hotel management au sociology badala yake woooote wangesoma hiyo kozi, kwani hawahitaji huo mshahara mpaka wakadeki hoteli kwa mshahara wa laki mbili????
 
Pilots average monthly salaries: Emirates...!!

Captain... $ 25K ~ $32K

First Officer... $ 15K ~ 25K...

Duuuh...!!! Pilots wanakula hela sana jamani... kaaah..!!
 
kuna siku nilisafiri na qatar.. dar to doha ndege ilikuwa haijajaa kabisa siku hiyo. abiria wachache sana.. nikapiga story sana na flight attendant mdada wa kikenya anaejua kiswahili vizuri sana amewekwa special kuhudumia abiria wa kitanzania wasiojua lugha za kugeni (nafasi ya mtanzania hii ila mkenya kadaka fursa)

tukawa tunataniana kwenye story kuhusu salary zikoje anazopata... akanizingua nizingua ila akaniambia around usd 4000 hapo bado ma bonus ya kukaa angani. na ni 23 tu hako kadada
Mkuu shaurimbaya wakati ule FLY DUBAI inaanza safari zake kati ya Dubai-Dsm-Znz-Dubai walikuwa na nauli ya offer,nilitumia nafasi hiyo kusafiri na familia kwenda kuosha macho duniani
Ndege haikuwa na abiria wengi,tena nakumbuka ilikuwa flight #FN675...njiani humo wale flight attendant walikuwa wanazunguka huku na huko wakituhudumia

Mwanangu mmoja akaanza kuniuliza,baba hivi hawa huwa wanasomea wapi?nikamwabia hawa wanasoma wapi hawa ni kama bar maids tu,tofauti yao ni kuwa hawa ofisi yao ipo angani na inahudumia wateja classic.

Loooh!!kumbe yule dada anayetuhudumia ni dada wa kimanga,Mama Mpemba na baba Mmanga wa Mombasa,anaongea Kiswahili fasaha,na amekulia Unguja baadae akaenda Oman.Muda wote anatusikiliza tu yupo kimyaaa!!Tukapiga stori weeee na familia pale,ye anajidai haelewi kabisa Kiswahili.

Baadae tumekaa yule dada akaja,akasema "Vipi Kaka nikuletee kinywaji gani?Maana sisi ndio mabar maid wenyewe"....Loooh yani nilitamani kuingia uvunguni mwa seat,lkn dada alikuwa fair sana,tulipiga sana story akanieleza jinsi alivyopata kazi Fly Dubai,jinsi watu wa Pemba,Unguja na Tanga wenye jamii ya kiarabu walivyojaa kwenye kazi za mashirika ya Mashariki ya mbali.

Dada anang'aa huwezi dhani "mswahili"....tulipiga story hadi pale Dubai akatusaidia kufanya connection
 
It's around 3000 USD (± 300 to 500 USD).

It's divided into 3 parts

  1. Basic salary: A fixed amount u earn irrespectiv Of the whether You are on an active duty or not (so if you are going on 15 days mandatory vacation you'll still get atleast that much amount. It's around 1150 USD for beginners.
  2. Flying hours: a fixed amount depending on ur grade for flying per hour. So let's suppose u fly 100 hrs in a month and this per flying hour pay is 50 dirhams then u get 5000 dirhams (1373 USD) added to ur basic. 1USD = 3.65 dirhams.
  3. Layover allowance: Depending on the destinations you stay for a night or so you get an allowance from the company for ur 3 meals a day and it can differ quite much depending on ur roster! European destinations pay good, US is ok, Indian sectors is the least paying. So it can add another 500 USD to 1500 USD to ur paycheck.

Source: Quora.
convert in tsh tujue ni kiasi gani.
 
Mkuu shaurimbaya wakati ule FLY DUBAI inaanza safari zake kati ya Dubai-Dsm-Znz-Dubai walikuwa na nauli ya offer,nilitumia nafasi hiyo kusafiri na familia kwenda kuosha macho duniani
Ndege haikuwa na abiria wengi,tena nakumbuka ilikuwa flight #FN675...njiani humo wale flight attendant walikuwa wanazunguka huku na huko wakituhudumia

Mwanangu mmoja akaanza kuniuliza,baba hivi hawa huwa wanasomea wapi?nikamwabia hawa wanasoma wapi hawa ni kama bar maids tu,tofauti yao ni kuwa hawa ofisi yao ipo angani na inahudumia wateja classic.

Loooh!!kumbe yule dada anayetuhudumia ni dada wa kimanga,Mama Mpemba na baba Mmanga wa Mombasa,anaongea Kiswahili fasaha,na amekulia Unguja baadae akaenda Oman.Muda wote anatusikiliza tu yupo kimyaaa!!Tukapiga stori weeee na familia pale,ye anajidai haelewi kabisa Kiswahili.

Baadae tumekaa yule dada akaja,akasema "Vipi Kaka nikuletee kinywaji gani?Maana sisi ndio mabar maid wenyewe"....Loooh yani nilitamani kuingia uvunguni mwa seat,lkn dada alikuwa fair sana,tulipiga sana story akanieleza jinsi alivyopata kazi Fly Dubai,jinsi watu wa Pemba,Unguja na Tanga wenye jamii ya kiarabu walivyojaa kwenye kazi za mashirika ya Mashariki ya mbali.

Dada anang'aa huwezi dhani "mswahili"....tulipiga story hadi pale Dubai akatusaidia kufanya connection
Mkuu ujachukua number ili unirushie nimtongoze mkuu....fursa hyo mkuu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom