Je, wajua mkoa unaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini Tanzania?

Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
295
221
Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi.

Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mwanza unakadiriwa na watu 3,532,378.

Kwa ujumla wake, Tanzania bara inakadiriwa kuwa na jumla ya watu maskini 18,644,512.

1572590046636.png

TAFAKARI !!
 
View attachment 1250540
TAFAKARI !!

Kuna jamaa mmoja huku(Bwenga) anajiita instanbul, leo atakuwa kajikunyata kwenye choo cha kike, Huyu muhaya( bwenga) misifa kibao na kutetea ujinga, sasa aje hapa aoene takwimu za kisayansi.Nyambaafu huyu
 
Natabiri vita humu jf ya Dsm vs Mwz vs Arusha itaanza soon baada ya takwimu hizi
 
Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi.

Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mwanza unakadiriwa na watu 3,532,378.

Kwa ujumla wake, Tanzania bara inakadiriwa kuwa na jumla ya watu maskini 18,644,512.

View attachment 1250540
TAFAKARI !!
Kagera, Njombe, Mbeya na Kagera kuwa na umasiki wa chakula ni jambo la aibu sana Tanzania. Hivi sisi tunakosea wapi ???
 
Njombe ,wakinga ni matajiri na wanajua biashara lakini hawana shobo kama wale jamaa wenye miguu miembamba wachaga
Hakuna jambo la ajabu kama kuona masikini wanachekana umasikini wao. Unakuta Mchagga, Mhaya na Mnyakyusa anamcheka mtu wa pwani kwa umasikini na kukosa elimu lakini ukiangalia uhalisia unakuta hata wao wenyewe hawajafika kiwango cha maisha bora ambayo binadamu wa kawaida anatakiwa kufikia.

Huwa nashindwa kuelewa kwanini chongo anamcheka kipofu wakati yeye ana jicho moja. Ukabila, Ukanda na Udini ni udhihirisho tosha wa ujinga wa mwafrika. Upumbavu ambao mzungu aliufanya miaka giza na kuuacha, mwafrika anaona fahari kuufanya karne ya Ishirini.

Acha hii tabia chafu ya kibaguzi, siyo sahihi mbele ya muungwana awaye yote yule wala siyo sahihi mbele ya Muumba wako.
 
Natabiri vita humu jf ya Dsm vs Mwz vs Arusha itaanza soon baada ya takwimu hizi
Hebu nieleweshe, Mwanza kwa nini ina masikini wengi hivyo wakati ni jiji kubwa tu
Ina maana jiji lote limejaa slums au inakuaje sijaelewa
 
Back
Top Bottom