Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 295
- 221
Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi.
Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mwanza unakadiriwa na watu 3,532,378.
Kwa ujumla wake, Tanzania bara inakadiriwa kuwa na jumla ya watu maskini 18,644,512.
TAFAKARI !!
Ikumbukwe kuwa Mkoa wa Mwanza unakadiriwa na watu 3,532,378.
Kwa ujumla wake, Tanzania bara inakadiriwa kuwa na jumla ya watu maskini 18,644,512.
TAFAKARI !!