NDABANINGI STHOLE
Senior Member
- Mar 4, 2019
- 154
- 102
Kwa hiyo lengo la post yako ni kudai fidia tu
Kama watunga hadithi za Wahaya na UKIMWI hawakuaibika iweje mimi msema kweli nione aibu?Unawaaibisha wahaya wenzako
Kiongozi. Naona umeamua kutuletea stori za vijiweni. Jipange.
Tumeishakuja. Ki ukweli baadhi ya mambo aliyoongea ni sahihi, lakini mengine yanahitaji masahihisho. Mfano, hakuna kijiji kinaitwa Kiziba. Pia gulio la Rukunyu huko Kanyigo ndio hilo hilo linaitwa Akikomera.Wahaya wanakuja
Anachosema huyo mdau kuhusu kuchangia wembe au kisu kwenye kunyoa au tohara ni kosa lililokuwa linafanyika ktk jamii nyingi hapa Tanzani hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000.Sijui unataka utafiti gani zaidi ya mashuhuda au niweke video za waanga ndio uamini au umekuwa Petro aliyetaka kuhakikisha makovu ya YESU. Mambo aya yamebaki kuwa siri mioyoni mwa wana KAGERA.
Iko hivi; mfano aliyekufa ni baba,anayeanza kunyolewa ni mama ambaye lazima ana maambukizi kwakuwa mumewe alikuwa anafanya nae tendo la ndoa kabla ya kuumwa. Kumbuka sio akiambukizwa leo anaumwa wiki au mwezi huu. Kinachofatia ni kunyoa watoto na msururu unaenda hivo kwa family relatives ili kuwatambulisha wafiwa. Huyu mjane aliyebaki ni next, UKIMWI unamchukua then utaratibu wa kunyoa kipara unarudi. Hivihivi damu inachangiwa sana tu. Na kuna ile sense ya ndugu ni damu moja hivo walikuwa hawana soni kuchangia vitu vya ncha kali. Sema hii ya kudai fidia haiingii akiliniulimi waupanga,
Haya huenda ndiyo badhi ya majibu sahihi ya sababu za familia nyingi huko Kagera kuathiriwa na UKIMWI.
Sio sababu ya mleta mada kwamba utamaduni wa kunyoa wanafamilia ndugu wa marehemu kwa kutumia wembe mmoja.
Ndio maana nilimkatalia na kumuuliza kusini mbona walikuwa wanafanya vivyo hivyo? Walikuwa wanachangia pia vifaa vya tohara?
Hoja muhimu ni kuwa Kagera ndiko uliko ingia UKIMWI ukitokea Uganda, na hakukuwa na elimu sahihi ya kujikinga na UKIMWI miaka ya mwanzoni ulipoingia.
Hujanielewa.Iko hivi; mfano aliyekufa ni baba,anayeanza kunyolewa ni mama ambaye lazima ana maambukizi kwakuwa mumewe alikuwa anafanya nae tendo la ndoa kabla ya kuumwa. Kumbuka sio akiambukizwa leo anaumwa wiki au mwezi huu. Kinachofatia ni kunyoa watoto na msururu unaenda hivo kwa family relatives ili kuwatambulisha wafiwa. Huyu mjane aliyebaki ni next, UKIMWI unamchukua then utaratibu wa kunyoa kipara unarudi. Hivihivi damu inachangiwa sana tu. Na kuna ile sense ya ndugu ni damu moja hivo walikuwa hawana soni kuchangia vitu vya ncha kali. Sema hii ya kudai fidia haiingii akilini
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Mkuu ulitaka tudai kama mkoa lakini naona ata kwenye Covid19 kuna usiri mkubwa sijui naninyi mtadai au ndo zinakusanywa za kampeini?Kama ni fidia muanze kudai ya tetemeko basi