Je, wajua Mapdri wengi ni makachero wanao enda kutubu kwao ukamatwa

Nisimulizi ambayo huwezi kuiamini kwa jicho la Dunia ya kidhanifu, kiukweli ni kuwa Mapdri wengi wa kanisa Katoliki ni makachero wazuri na wabobezi sana.

Huwezi amini kupitia ule utaratibu wa watu wengi kwenda kuungama dhambi watuumiwa wengi uwa wanajichoma wenyewe.

KISA CHA KWELI;

Rafiki yangu aliyejitambulisha kwangu miaka mingi, kwa jina la KIDONDA
aliwahi nisimulia dhidi ya shitaka moja lililomkabili Kaka yake shitaka la MAUJI ya kukusudia yule bwana baada ya kuua alikimbilia nchi jirani kiukweli hakupatikana kabisa

Ishu ikaja yule bwana baada ya miaka kwenda dhambi ya kuua ikawa inamtesa kama wasemavyo waswaili kuwa DAMU YA MTU HAIPOTEI.

Takirbani miaka 50 ilipita yule muuaji alikwenda kwa padri mmoja katika taifa hilo na KUOMBA ATUBU DHAMBI.

Alifika kwa padri na kutubu dhambi hiyo padri alimsamehe dhambi ila hakukubali yule bwana asamehewe halafu asichukuliwe hatua ndipo alipoenda kumripoti na yule bwana alipo toka kwenye chumba cha TOBA tu alikamatwa na kuletwa nchini Tanzania na mpaka sasa ni mfungwa kwa kosa la mauaji.

Tunajifunza nini hapa? Siwambiii msiende kuungama ila ni muhimu kuwa na taadhari mfano huyo bwana alienda kuungama alienda kuungama kwa padri aliyekuwa ndugu wa Marehemu sambamba na kuwa kachero bado damu iliyomwagika ilikuwa na vinasaba vyake.

Kila la heri.TUDUM KATIKA IMANI KWA UMAKINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani padri alipiga simu au alitoka akamwacha hapo? rejea alipotoka kwenye chumba cha TOBA tu....
 
Kwakisa kimoja tu? Tusipende kueneza uongo mkuu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
wapi imeandikwa watu waungame kwa padre?

sakramenti ya kitubio/upatanisho

biblical bases
"pokeeni roho mtakatifu yote mtakayo yafungia duniani na mbinguni yamefungiwa, na yote mtakayo yafungulia duniani na mbinguni hivyohivyo.."

tuje kwenye kateksimu ya kanisa sasa

1.Padri anatumika kama kiunganishi/mediator

2. Kuna shida ya tafsiri from English to Swahili "Confession" ni kama kukiri/kujuta aliyeleta tafsiri ya kutubu (wataalamu wa kutafsiri mnisaidie)

twende kwenye sacramenti yenyewe

"padri unibariki kwa kuwa nimetenda dhambi, nakuungambia Mungu mwenyezi, nawe padri wangu, sijaungama tangu siku kadhaa zilizopita, dhambi zangu ni hizi... na nyingine nilizo zisahau, naomba neema nipate kurudi Tena Amina.

Mungu mwenyezi akuondolee dhambi zako Kama ulivyozikiri kwajina la baba ...

NB: Mungu mwenyewe ndiyo anaye muondolea mtu dhambi
 
Zamani ukiungama unapewa na hati ya kusamehewa na unalipia . Unatekwa kisaikologia na unapigwa kiuchumi . We acha tu !!! Hati ya neema Martin Luther aliipiga nyundo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisimulizi ambayo huwezi kuiamini kwa jicho la Dunia ya kidhanifu, kiukweli ni kuwa Mapdri wengi wa kanisa Katoliki ni makachero wazuri na wabobezi sana.

Huwezi amini kupitia ule utaratibu wa watu wengi kwenda kuungama dhambi watuumiwa wengi uwa wanajichoma wenyewe.

KISA CHA KWELI;

Rafiki yangu aliyejitambulisha kwangu miaka mingi, kwa jina la KIDONDA
aliwahi nisimulia dhidi ya shitaka moja lililomkabili Kaka yake shitaka la MAUJI ya kukusudia yule bwana baada ya kuua alikimbilia nchi jirani kiukweli hakupatikana kabisa

Ishu ikaja yule bwana baada ya miaka kwenda dhambi ya kuua ikawa inamtesa kama wasemavyo waswaili kuwa DAMU YA MTU HAIPOTEI.

Takirbani miaka 50 ilipita yule muuaji alikwenda kwa padri mmoja katika taifa hilo na KUOMBA ATUBU DHAMBI.

Alifika kwa padri na kutubu dhambi hiyo padri alimsamehe dhambi ila hakukubali yule bwana asamehewe halafu asichukuliwe hatua ndipo alipoenda kumripoti na yule bwana alipo toka kwenye chumba cha TOBA tu alikamatwa na kuletwa nchini Tanzania na mpaka sasa ni mfungwa kwa kosa la mauaji.

Tunajifunza nini hapa? Siwambiii msiende kuungama ila ni muhimu kuwa na taadhari mfano huyo bwana alienda kuungama alienda kuungama kwa padri aliyekuwa ndugu wa Marehemu sambamba na kuwa kachero bado damu iliyomwagika ilikuwa na vinasaba vyake.

Kila la heri.TUDUM KATIKA IMANI KWA UMAKINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makachero wapo , maeneo mengi katika ustawi wa Taifa lolote lile.

Mfano wako haiwezi kuwa ndiyo suluhisho au hitimisho la kuuelezea umma kuwa Mapadri ni makachero.

Aliyeua jinai Haina muda , makachero wapo kazini, yawezekana pia Siri hiyo kabla ya kuungama kwa Padri alimuaga rafiki yake kuwa kesho/ naenda kuungama dhambi hii.

Rafiki mbio mpaka kwa makachero na kutoa taarifa, Kama maelezo yako yanasema mara tu alipomaliza kuungama akakamatwa inatosha kuthibitisha Siri yake ilivuja before.
 
Ndio Yale yale

Biblia inasema Muombezi wetu ni mmoja tu Yesu kristo

Lakin kuna watu wana PhD kabisa wanaenda kwa mwanadamu mwenzao kuungama dhambi ,

Hawa hawana tofauti na wanaombiwa wakanyage mafuta na wanaouziwa maji

Cha ajabu utakuta wanachekana
WANA SHIDA NYINGI NDO MAANA WANAFANYA KILA WANACHOAMBIWA!!!
 
Nisimulizi ambayo huwezi kuiamini kwa jicho la Dunia ya kidhanifu, kiukweli ni kuwa Mapdri wengi wa kanisa Katoliki ni makachero wazuri na wabobezi sana.

Huwezi amini kupitia ule utaratibu wa watu wengi kwenda kuungama dhambi watuumiwa wengi uwa wanajichoma wenyewe.

KISA CHA KWELI;

Rafiki yangu aliyejitambulisha kwangu miaka mingi, kwa jina la KIDONDA
aliwahi nisimulia dhidi ya shitaka moja lililomkabili Kaka yake shitaka la MAUJI ya kukusudia yule bwana baada ya kuua alikimbilia nchi jirani kiukweli hakupatikana kabisa

Ishu ikaja yule bwana baada ya miaka kwenda dhambi ya kuua ikawa inamtesa kama wasemavyo waswaili kuwa DAMU YA MTU HAIPOTEI.

Takirbani miaka 50 ilipita yule muuaji alikwenda kwa padri mmoja katika taifa hilo na KUOMBA ATUBU DHAMBI.

Alifika kwa padri na kutubu dhambi hiyo padri alimsamehe dhambi ila hakukubali yule bwana asamehewe halafu asichukuliwe hatua ndipo alipoenda kumripoti na yule bwana alipo toka kwenye chumba cha TOBA tu alikamatwa na kuletwa nchini Tanzania na mpaka sasa ni mfungwa kwa kosa la mauaji.

Tunajifunza nini hapa? Siwambiii msiende kuungama ila ni muhimu kuwa na taadhari mfano huyo bwana alienda kuungama alienda kuungama kwa padri aliyekuwa ndugu wa Marehemu sambamba na kuwa kachero bado damu iliyomwagika ilikuwa na vinasaba vyake.

Kila la heri.TUDUM KATIKA IMANI KWA UMAKINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! kwanza padri huwa hasamehi. muumini dhambi.
 
nami nadhan sjaweka hoja nibishane na wewe tafadhali usidanganye watu mimi sio msabatho kabsa tafadhali sanaa
.................Brother sikumbuki siku kubishana na wewe mambo ya kiimani humu ila ninakufahamu wewe kama msabato unayepingana sana na imani za wenzako!!!

Sitaki league na wewe,sijasema Padre anasamehe dhambi read me between the lines usiniwekee maneno mdomoni nilichosema Wakatoliki tunaamini Padre ni mwakilishi halali wa Yesu Kristo hapa duniani na tutaendelea kuamini hivyo siyo mnavyoaminisha watu kwenye ibada zenu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitubio huwa ni interrogation chambers.
Alitumia Loyola kutubisha watu na kujikuta anataarifa nyingi za siri za watu na viongozi. (information is power).

Majesuits walitubisha viongozi wa ufaransa miaka ya zamani na kujikuta wanainfluence maamuzi yote ya utawala.

Kuna story kitabu spies of harmageddon kuwa hata Israel ilippotaka kuweka mitambo ya nuclear. Wataalam Wengine walikuja kama makasisi kisiri.

Wachungsji, mashehe na hasa mapadri wanaweza kufanya kazi kubwa wakitumika kama makachero.

Sio dhambi maana hata Yoshua alituma wapelelezi yeriko, Musa alituma spies 10 kaanani, hata leo ni vzr kupeleleza eneo kabla ya kuweka utuume hapo. Tatizo ni unapotumika katika jasusi za kisiasa, kiuaji, kutumikiia kaisali badala ya Mungu

Naamini hata makanisa ya upako Kuna network ya upelelezi kali kuliko hata CIA. Wanakusanya intelligences za watu kisiri Kisha anapewa mtume na Nabii akiongea utashangaa anakujua navy maisha yako. Hii ameelezea vzr 2ic wa TB Joshua alipotoka kwenye kanisa Hilo na kuanzisha Lake. Video ipo YouTube.
naomba hiyo clip aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom