Adolph Sendeu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 269
- 123
Majukumu ya Mwenyekiti wa Mtaa
- Atakuwa ndiye Mkuu wa Serikali ya Mtaa;
- Atakuwa na wajibu wa kuitisha na kuongoza mikutano yote ya Halmashauri ya Mtaa, pamoja na Mikutano Mikuu ya Mtaa. Lakini endapo Mwenyekiti hayupo katika mkutano wowote, wajumbe wa mkutano unaohusika wanaweza kuchagua Mwenyekiti wa muda wa mkutano huo;
- Atakuwa mwakilishi wa Mtaa kwenye Kamati ya Maendeleo ya Kata; WARD DEVELOPMENT COMMETEE
- Atawahudumia kwa usawa wanaMtaa wote, bila kujali tofauti za Kisiasa, Kijinsia au za Kidini;
- Atakuwa mfano wa uongozi bora na utendaji bora wa kazi, kwa kuwa na shughuli zake mwenyewe za kujitegemea, ambazo zaweza kuigwa na wanaMtaa wenzake.
- Atakuwa ndiye Mkuu wa Serikali ya Mtaa;