Spining doctors wanafanya kazi yao katika kumshauri Rais kwa mnaofuatilia mtagundua haya;
1. Tangu Rais ameingia madarakani hali ya uchumi na maisha ya watu yamekuwa magumu kiasi cha watu kujadili sana serikali negatively na kuongeza hasira zao dhidi ya serikali
2. Mema yanayofanyika kuwa-impress watu na kuwafurahisha yamekuwa machache na rahisi kusahaulika
NINI KIMEFANYIKA KUPUNGUZA HAYO?
Spining doctors kama nilivyosema kazi yao ni kupanga na kuibua mikakati na matukio yanayohamisha fikra na mijadala hasi inayoharibu image ya serikali.
Tunaweza kujiuliza inakuwaje kila wikiend kuna tukio? inakuwaje kila kukiwa na tukio la wapinzani lenye kuvuta umakini na hisia unashangaa ghafla mtu anatumbuliwa,anateuliwa au kunajitokeza jambo litakalofanyika sambamba na hawa wapinzani.
Mengine yanayoyofanyika linaweza likawa kama komediani ili mradi livute attention na kuhamisha fikra za wananchi. Lengo wapinzani, wafanyayo na wasemayo yasipate covarage.
NDIVYO INAVYOBIDI TUFANYE MAANA UPEPO WENU NI WA KIMBUNGA