Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 396
Kwa haraka haraka idadi ya wataka uraisi nadhani inakaribia 15 (hapo bado sijahesabu walioko vyama pinzani) kwa hapa kwetu tz..
Kati ya hao kuna wanaonekana kua kweli wana nia yakua viongozi wa kweli lakini pia humohumo ktk list hiyo kuna kundi la makanjanja, wapigaji, wasiojielewa, wezi, wakurupukaji na wengine mamluki na vibaraka wa watu/makundi flani...
Inavyoonekana katika sababu zifuatazo inawezekana ndio maana watu hawa wengi wameonekana kuutaka uraisi kwa hari na mali..
Kwa mtazamo wangu Sababu ni:-
1.uraisi ni biashara yenye faida kubwa
2.wananchi hatujielewi nani tunamtaka na kwalipi, ndio maana hata makanjanja wamo.
3.uraisi ni tasisi ilio ingiliwa, kama ilivyotokea ktk taasisi ya bunge kwa maana watu hawajui maadili na miiko ya ikulu.
4.maraisi waliopita waliwezaje na hata kundi kubwa hili lishindwe.. Inawezekana hizi zikawa kauli zao za kujipa moyo wa kuutaka uraisi.
5.raisi aliyopo amefanya ikulu ni sehemu rahisi kwakua ndivyo alivyoongoza nchi..
6.labda kuna watu wanadhani kua wao wamezaliwa kua viongozi wa wenzao tu..
7.weka sababu yako hapa