Je wajua kwamba ni mama Samia pekee ambaye kikatiba hawezi kutumbuliwa na Rais?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Hawa ni Rais na Mgombea mwenza,walipata kura kwa pamoja kwa nafasi hiyo,hivyo hakuna wa kumtumbua mwenzake.

Hivyo basi makamu wa rais ana nafasi kubwa ya kubalansi uongozi wa nchi endapo mwenzie anapotoka,na rais pia ana nafasi ya kubalansi utawala.

Cha msingi wawe wanaambiana kwa staha,kwa uwazi,kwa maandishi,

Mama samia, wewe ni mchezaji kamili na unaweza kuongoza nchi bila shida,

Hata rais hawezi kumfukuza makamu wake wa rais,ukiachilia mbali spika.

Jaji mkuu ajira yake ni tete,anaweza kupigwa zengwe
 
tunamuomba awe anapiga breki pale anapoona dalili za ajali
 
kama kuna wajuzi zaidi wataniambia​
Hawa ni Rais na Mgombea mwenza,walipata kura kwa pamoja kwa nafasi hiyo,hivyo hakuna wa kumtumbua mwenzake.

Hivyo basi makamu wa rais ana nafasi kubwa ya kubalansi uongozi wa nchi endapo mwenzie anapotoka,na rais pia ana nafasi ya kubalansi utawala.

Cha msingi wawe wanaambiana kwa staha,kwa uwazi,kwa maandishi,

Mama samia, wewe ni mchezaji kamili na unaweza kuongoza nchi bila shida,

Hata rais hawezi kumfukuza makamu wake wa rais,ukiachilia mbali spika.

Jaji mkuu ajira yake ni tete,anaweza kupigwa zengwe
'upekee' uko wapi wakati rais hawezi kutumbua hata diwani??!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom