JE WAJUA: kwa nini walimu wa zamani hawakugoma ingawa mishahara yao ilikuwa ni midogo?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
1:Tuliwapelekea kuni,

2:Tuliwachotea maji,

3:Tuliwalimia mashamba,

4:Tuliwafanyia kazi za nyumbani wote walikaa quarters,

5:Rambirambi walikusanya wao,
6:Tofali tuliwafyatulia hata za kuuza,

7:Tulifanya vibarua kukuza mradi wa shule ambao hatukujua matumizi,

8:Tuliwapelekea hata vitu kama kuku, mayai na maziwa Wazazi walitupa tukawapelekea.

Mwalimu alitisha kuliko hata Polisi.

Hivi sasa vitu hivyo vimebaki historia.. Na kamwe havitoweza kujirudia.

```UKISIKIA VYA KALE NI DHAHABU HII NDO MANAAKE```

*KILA MWANZO MPYA UMETOKANA NA MWANZO ULIOISHA*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mada ya clouds fm ya leo umeileta na humu jf,

KwanniKwanni huwa mnaandika msivyovijua!?? Nani kakwambia walimu WA zamani walikua na salary kidogo!?? Ujajua kuna kipindi walimu ndio walikuaxwakilipwa zaidi!?? 50% teaching alowance?? Tatizo kama huna cha kuandika kwanini usiandae shamba!?? Mvua zinakuja acha umbea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom