Je wajua kuwa unaweza kupima ujauzito kwa kutumia dawa ya meno ?

young super

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
257
315
Wanawake baadhi hawapendi kununua “pregnancy test” kwenye maduka ya dawa,
wengine pia mara nyingine hawamudu kununua kipimo hicho,
na wengine wanapenda tu kujihakikisha vipimo vyao hasa kwa kutumia njia za kawaida nyumbani.
Kutumia dawa ya meno kwa ajili ya kupima ujauzito inaonekana kuwa njia iliyopendezwa na wengi, pia ni ya bei nafuu, rahisi kutumia na inatoa matokeo sahihi kwa kiasi chake.

Jinsi ya Kufanya kipimo hiki:
Huu ni mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya njia sahihi ya kufanya ili kupima ujauzito kwa kutumia dawa ya meno:

1. Andaa vitu vinavyohitajika (dawa ya meno, glasi safi kwa ajili ya kupimia, kikombe cha kuweka mkojo). Inafaa kufanywa asubuhi unapopata mkojo wa kwanza baada ya kutoka kulala

2. Dawa ya meno inayohitajika ni ya rangi nyeupe! Rangi ya dawa ya meno ni muhimu; inahitajika nyeupe, Vinginevyo, usahihi wa matokeo utaathiriwa.

3. Chukua glasi yako safi (unahitajika kuisafisha glasi vizuri ili kuondoa bakteria ambao wanaweza kuharibu reaction kati ya dawa ya meno na mkojo)

4. Minyia dawa ya meno kwenye glasi; size ya kijiko inatosha

5. Chukua kikombe kingine na ukijaze mkojo wako wa kwanza asubuhi.
Chukua dropper, (kama huna unaweza tu kumimina) nyonya mkojo wako na dondosha matone machache ya mkojo kwenye glasi yenye dawa ya meno.

6. Koroga mchanganyiko kwa kutumia kijiti safi. Unaweza kutumia kitu chochote kukorogea, au unaweza tumia mikono yako,ila hakikisha kuwa ni safi

7. Acha kwa dakika chache ili uchanganyike vyema

8. Sasa angalia mchanganyiko wako –
(a) Kwenye mabadiliko ya rangi , unaweza kuona rangi ya bluu. Vile vile ukiona mapovu na kupanda kwa mapovu. Hicho ni kielelezo kuwa uwezekano mkubwa ni kuwa una ujauzito

(b) Ikiwa hakuna kitachotokea, hakuna jibu lolote la zaidi ya kuwa hali hiyo inaonyesha siyo mjamzito

Angalia video hapa kwa maelezo zaidi

Kipimo hiki kinafanyaje kazi?
Kemikali zinazopatikana kwenye dawa ya meno nyeupe (ambayo utaitumia), zikichanganywa na mkojo wa mwanamke mjamzito husababisha rangi na pia mapovu hayo kujitengeneza. (chemical reaction)

Usahihi wa kipimo ni kwa kiasi gani?

Kwanza ni jaribio linalofanywa nyumbani, na endapo litafanywa kwa umakini wengi hupata matokeo mazuri.
Usahihi wa kipimo hiki kwa anayefanya vizuri ni kati ya 80-85%!
 
Kuchafuliana vikombe tu. Tafadhali ladies mfanyie hayo kwenu sio kwa maghetto yetu tukavyeshana uchafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom