Je, wajua kuwa ulaya ipo mbali yetu kwa miaka zaidi ya 100?

Dec 1, 2018
11
11
Ukatae ukubali lakini ukweli utabaki kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa zaidi ya miaka elfu moja yaani zaidi ya karne.Nasema hivi kwasababu vitu tunavyoviona kama ujanja kwetu kwao vilikuwa vya kipumbavu karne moja iliyopita.

Mwaka 1844 mwandishi wa Norway aitwaye Henrick Ibsen aliandika kitabu kiitwacho AN ENEMY OF THE PEOPLE akimtumia Dr.Stockman kama muhusika mkuu na mtu aliyeitwa adui na watawala na wakapandikiza wananchi hivyo nao wananchi kwa upumbavu wao wakaamini hivyo ilhali Dr.Stockman alikuwa akipambana kwa kila hali aliyokuwa nayo kuwatetea wananchi ikiwa ni pamoja na kujitolea kama kafara bila kujali nafasi aliyokuwa nayo akitumia muda wake mwingi kuwaambia wananchi ukweli ambao kwa watawala ilikuwa ni uadui mkubwa na uhaini.Leo tupo karne ya 21 karne mbili baada ya kuandikwa kwa hichi kitabu lakini huku kwetu yaliyozungumzwa kwenye kitabu ndo yanatokea.

Watu wanaojitoa maisha yao kusema ukweli ambao haupingwi kwa hoja bali kwa bunduki na kuwekwa rumande wanaitwa maadui wa taifa na wananchi wanapandikizwa uongo huo nao bila kutumia macho yao na kama ikishindikana basi pua zao kunusa ukweli nao wanaamini hivyo.

Naweza nikasema kuwa kwa wakati wetu kwa sasa Tundu Lissu namfananisha kama Dr.Stockman maana historia yake tangu kabla ya kuwa mbunge na baada amekuwa ni mtu anayepambana bula woga kuwaambia wananchi ukweli na kuhakikisha haki inatendeka katika taifa.

Namfananisha na Dr.Stockman tena yeye ni zaidi maana Dr. Stockman alipigwa mawe kwa anili ya ukweli lakini yeye akapigwa risasi,Dr.Stockman alifutwa kazi lakini yeye hata kabla ya kufutwa ubunge washafuta mishahara yake wakati yupo wodini akiugulia operesheni ya 23 theatre.

Kila akipata nafasi ya kusema anatoa hoja nzito ambazo zinajibiwa na maneni ya kishenzi kama ombaomba,mzururaji,wakala wa mabeberu na hata kugika kiwango kikubwa cha kumuita haini.Cha kushangaza ni kuwa wananchi hawaoni wala hawapimi hoja ili kujua uongo na ukweli uko wapi ili kusimama upande wa ukweli bali wao wamekuwa washangiliaji tu wa viongizi wa vyama vyao wakijidanganya kuwa huo ndiyo uzalendo.

Ni kweli watazidi kumbeza sana kumtukana na kumyanyasa wanavyoweza maana Dr.Stocjman naye alifanyiwa hivyo lakini wachache wenye mwanga na upeo wa kuona tutasimama naye maana siyo kwamba hata wa huko upande wa pili hawaoni wanaona sana ila uoga umewatawala maana kuna kipindi mwaka 2016 kati ya wabunge ninaowaheshimu kwa utashi wao mkubwa wa kuelewa mambo,Mh.Hussein Bashe alisema kuwa amekuwa akifatilia nyaraka za Tundu Lissu kuhusu upoteaji wa rasilimali za taifa hata kabla hajawa mbunge na akasema kuwa ni nzuri lakini anabezwa kwa kuwa ni mpinzani.

Nimalizie kwa kusema kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa karne zaidi ya moja maana rafiki wa wananchi leo anaitwa adui wa wananchi ila ninukuu neno la mwisho la Dr.Stockman alilosema kuwa *the strongest man in the world is the one who stands alone* kwahiyo Lissu asihofu atajiona yupo mwwnyewe lakini na sisi wapenda haki tupo nae tutasimama naye hadi mwisho na hata wengine wanaoteswa magerezani hadi kunyimwa dhamana tupo nao maana tunatambua kuwa the guilty are afraid na kwa kuwa hawana namna tena ya kuongoza kwa haki watatumia vitisho vyote maana jeshi wanalo lakini sisi tuna haki na daima Mungu yupo na wenye haki hivyo atasimama nasi.Viva Lissu the enemy of the rulers but a friend to the oppressed.
 
Nilisoma kitabu jinsi mabadiliko ya Ulaya yalivyotokea. Waliamua kwanza kujenga barabara zote ziwe za lami. Wakulima wote waliweza kupeleka mazao sokoni na magari yalifika mpaka mashambani.

Elimu iliwasaidia kutambua haki zao. Waliweza ku lobby mpaka wakulima kupata ruzuku. Hata kama mwaka ilikuwa mbaya lakini waliweza kuishi.
 
Serekali zetu za kiafrika zingeamua kufata sera za kiuchumi za ulaya za karne ya 19 tungepiga sana hatua kiuchumi kwa mwananchi mmoja mmoja tofauti na saivi wanafata sera za ulaya za karne ya 21wakati wao walishaendelea zaidi yetu kitambo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia wananchi walipambana sana kupata haki sawa. Mwanzoni ni matajiri tu ndiyo waliruhusiwa kupiga kura, mwisho masikini waliruhusiwa kupiga kura ila ni wanaume tu. Ni miaka kama 100 iliyopita wanawake waliruhusiwa kupiga kura.
 
Acha masihara wewe. Miaka 100??

America ilifanya declaration ya Uhuru mwaka 1776, Maendeleo yaliyokua America mwaka 1776 sidhani kama Maendeleo yatayopatikana hapa Tanganyika kwa miaka 100 ijayo yatakuta zile levo zao za 1776.

Ukweli unauma.
 
Kwa Afrika hasa Tanzani ilo ni tofauti kwanza walidumaza elimu haikuwa kipaumbele kwa taifa kutoa elimu kwa wote saivi wameileta elimu kwa wote isiyo kuwa bora yani wanafanya ili waonekane kwa minajili ya kisiasa tuendako ni pagumu kuliko japo Tanzania kuna fursa nyingi za kazi ila tatizo elimu mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha masihara wewe. Miaka 100??

America ilifanya declaration ya Uhuru mwaka 1776, Maendeleo yaliyokua America mwaka 1776 sidhani kama Maendeleo yatayopatikana hapa Tanganyika kwa miaka 100 ijayo yatakuta zile levo zao za 1776.

Ukweli unauma.
Marekani c ulaya broo angalia kilichoandikwa maendeleo ya hii dunia yameendelezwa kwa kiasi kikubwa na nchi za ulaya na ustaarabu wa hii dunia umetokea sana ulaya kuanzia kiutawala elimu hadi technolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani c ulaya broo angalia kilichoandikwa maendeleo ya hii dunia yameendelezwa kwa kiasi kikubwa na nchi za ulaya na ustaarabu wa hii dunia umetokea sana ulaya kuanzia kiutawala elimu hadi technolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona huelewi my point.

Nimechukulia mfano mzuri wa America ya 1776 ambayo ilikua under colonial settlers from Western and Southern Europe, all were Europeans. Sasa kama unashindwa kuelewa obvious fact kama hiyo basi sioni logic ya kua na matumizi na ww.

Unavosema Ulaya....Ulaya gani sasa mana kuna Ulaya Mashariki nayo ni Ulaya....vp maendeleo yao hao?
 
Mkuu ulaya imetuacha mbali mnoo ni zaidi ya miaka 3000 ... kwa sababu mnamo mwaka 1642, ndio mwaka ambao Galileo aliofariki .... hapo ni baada ya kupatwa na misuko suko mingi ambayo ilikuwa imesababishwa na kanisa katoliki baada ya Galileo kuja na utafiti,uliokuwa unapinga utafiti wa awali wa kanisa katoliki uliokuwa unasema kuwa Jua ndio linalo zunguka Dunia ....

Lakini tangu karne ya 18 ni nadra kwa ulaya kusikia kuwa kuna matukio yenye mfanano na tukio la lissu au la Galileo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukatae ukubali lakini ukweli utabaki kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa zaidi ya miaka elfu moja yaani zaidi ya karne.Nasema hivi kwasababu vitu tunavyoviona kama ujanja kwetu kwao vilikuwa vya kipumbavu karne moja iliyopita.

Mwaka 1844 mwandishi wa Norway aitwaye Henrick Ibsen aliandika kitabu kiitwacho AN ENEMY OF THE PEOPLE akimtumia Dr.Stockman kama muhusika mkuu na mtu aliyeitwa adui na watawala na wakapandikiza wananchi hivyo nao wananchi kwa upumbavu wao wakaamini hivyo ilhali Dr.Stockman alikuwa akipambana kwa kila hali aliyokuwa nayo kuwatetea wananchi ikiwa ni pamoja na kujitolea kama kafara bila kujali nafasi aliyokuwa nayo akitumia muda wake mwingi kuwaambia wananchi ukweli ambao kwa watawala ilikuwa ni uadui mkubwa na uhaini.Leo tupo karne ya 21 karne mbili baada ya kuandikwa kwa hichi kitabu lakini huku kwetu yaliyozungumzwa kwenye kitabu ndo yanatokea.

Watu wanaojitoa maisha yao kusema ukweli ambao haupingwi kwa hoja bali kwa bunduki na kuwekwa rumande wanaitwa maadui wa taifa na wananchi wanapandikizwa uongo huo nao bila kutumia macho yao na kama ikishindikana basi pua zao kunusa ukweli nao wanaamini hivyo.

Naweza nikasema kuwa kwa wakati wetu kwa sasa Tundu Lissu namfananisha kama Dr.Stockman maana historia yake tangu kabla ya kuwa mbunge na baada amekuwa ni mtu anayepambana bula woga kuwaambia wananchi ukweli na kuhakikisha haki inatendeka katika taifa.

Namfananisha na Dr.Stockman tena yeye ni zaidi maana Dr. Stockman alipigwa mawe kwa anili ya ukweli lakini yeye akapigwa risasi,Dr.Stockman alifutwa kazi lakini yeye hata kabla ya kufutwa ubunge washafuta mishahara yake wakati yupo wodini akiugulia operesheni ya 23 theatre.

Kila akipata nafasi ya kusema anatoa hoja nzito ambazo zinajibiwa na maneni ya kishenzi kama ombaomba,mzururaji,wakala wa mabeberu na hata kugika kiwango kikubwa cha kumuita haini.Cha kushangaza ni kuwa wananchi hawaoni wala hawapimi hoja ili kujua uongo na ukweli uko wapi ili kusimama upande wa ukweli bali wao wamekuwa washangiliaji tu wa viongizi wa vyama vyao wakijidanganya kuwa huo ndiyo uzalendo.

Ni kweli watazidi kumbeza sana kumtukana na kumyanyasa wanavyoweza maana Dr.Stocjman naye alifanyiwa hivyo lakini wachache wenye mwanga na upeo wa kuona tutasimama naye maana siyo kwamba hata wa huko upande wa pili hawaoni wanaona sana ila uoga umewatawala maana kuna kipindi mwaka 2016 kati ya wabunge ninaowaheshimu kwa utashi wao mkubwa wa kuelewa mambo,Mh.Hussein Bashe alisema kuwa amekuwa akifatilia nyaraka za Tundu Lissu kuhusu upoteaji wa rasilimali za taifa hata kabla hajawa mbunge na akasema kuwa ni nzuri lakini anabezwa kwa kuwa ni mpinzani.

Nimalizie kwa kusema kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa karne zaidi ya moja maana rafiki wa wananchi leo anaitwa adui wa wananchi ila ninukuu neno la mwisho la Dr.Stockman alilosema kuwa the strongest man in the world is the one who stands alone kwahiyo Lissu asihofu atajiona yupo mwwnyewe lakini na sisi wapenda haki tupo nae tutasimama naye hadi mwisho na hata wengine wanaoteswa magerezani hadi kunyimwa dhamana tupo nao maana tunatambua kuwa the guilty are afraid na kwa kuwa hawana namna tena ya kuongoza kwa haki watatumia vitisho vyote maana jeshi wanalo lakini sisi tuna haki na daima Mungu yupo na wenye haki hivyo atasimama nasi.Viva Lissu the enemy of the rulers but a friend to the oppressed.
Acha kukariri!!! Kijana.

Kemet ilikuwa ni bara la Afrika waliishi weusu tiii!! Na ndo ilikuwa na maendeleo Duniani kote!!

Wazungu walikuwa wanafunga safari za kufa na kupona kuja Afrika kusoma na kuishi.

Jiulize kwa nini kamanda mkuu alexander hakupigana vita kuelekea kaskazini wala mashariki ya ulaya .USA badala yake alipigana kuelekea kusini ya ulaya? Kulikuwa na nini???

Jibu" utajiri na maarifa ya hali ya juu! Watu wenye nguvu na maarifa Duniani walikuwa weusi wa misri!! Ambao ndiyo wabantu wa leo! Historia yao imevurugwa sana bila kujali.

Leo ulaya wako hivo sababu waliiba maarifa kutoka kwa weusi.
Hkn pyramids Duniani km za Misri
Mayani pyramids ni waafrica wale! Jalawa people!! Aboriginals walikuwa mbali sana.

Hkn jipya chini ya jua!! Yote hayo yalikuwepo wanarudia tu! Kwanza Africa tumejitahidi kufika hapa tulipo.

Miaka 490 net hatukufanya kitu cha maendeleo ni kukimbizana tu na utumwa!!

Leo africa tuna miaka 50 tu ya uhuru angalia tulipo na bado tuna ukoloni mambo leo! Ebora.ukimwi.na sasa covid ilitupoteze dira sasa wanakufa wao.

Wangetuacha miaka 50 tu.. bila kutufitini km libya.somalia .Drc nk zilivofitiniwa tutakuwa mbali mno!

Al shaabab.mungiki. Boko haram.renamo. Drc.joseph konyi nk.
Ni kazi yao ili tudhoofike tusisonge .

bado tupo kizazi hatari Wazee mmeshindwa. tunakuja kukomesha Wazungu wakoloni subiri uone!
 
Kila mbuzi na ale kwa urefu wa kamba yake bhanaaa.........tunajivuniaga Sana race yetu hii ili kujifariji tu mioyoni mwetu....but the truth is.......waafrica tunazingua Sana.....kuanzia Viongozi mpaka raia
 
Shukran mkuu, ila atleast weka paragraph basi maana wengine macho yetu ni shida kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa kila kitu. Mfano, ,kwenye utu na uwezo wa kuishi kwa furaha tuko mbele yao miaka 1,000. Utaamini haya kama umewahi kuishi kule. Kama hujawahi utaendelea na imani zako za Ulaya ya Hollywood na upuuzi mwingine.
 
Ukatae ukubali lakini ukweli utabaki kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa zaidi ya miaka elfu moja yaani zaidi ya karne.Nasema hivi kwasababu vitu tunavyoviona kama ujanja kwetu kwao vilikuwa vya kipumbavu karne moja iliyopita.

Mwaka 1844 mwandishi wa Norway aitwaye Henrick Ibsen aliandika kitabu kiitwacho AN ENEMY OF THE PEOPLE akimtumia Dr.Stockman kama muhusika mkuu na mtu aliyeitwa adui na watawala na wakapandikiza wananchi hivyo nao wananchi kwa upumbavu wao wakaamini hivyo ilhali Dr.Stockman alikuwa akipambana kwa kila hali aliyokuwa nayo kuwatetea wananchi ikiwa ni pamoja na kujitolea kama kafara bila kujali nafasi aliyokuwa nayo akitumia muda wake mwingi kuwaambia wananchi ukweli ambao kwa watawala ilikuwa ni uadui mkubwa na uhaini.Leo tupo karne ya 21 karne mbili baada ya kuandikwa kwa hichi kitabu lakini huku kwetu yaliyozungumzwa kwenye kitabu ndo yanatokea.

Watu wanaojitoa maisha yao kusema ukweli ambao haupingwi kwa hoja bali kwa bunduki na kuwekwa rumande wanaitwa maadui wa taifa na wananchi wanapandikizwa uongo huo nao bila kutumia macho yao na kama ikishindikana basi pua zao kunusa ukweli nao wanaamini hivyo.

Naweza nikasema kuwa kwa wakati wetu kwa sasa Tundu Lissu namfananisha kama Dr.Stockman maana historia yake tangu kabla ya kuwa mbunge na baada amekuwa ni mtu anayepambana bula woga kuwaambia wananchi ukweli na kuhakikisha haki inatendeka katika taifa.

Namfananisha na Dr.Stockman tena yeye ni zaidi maana Dr. Stockman alipigwa mawe kwa anili ya ukweli lakini yeye akapigwa risasi,Dr.Stockman alifutwa kazi lakini yeye hata kabla ya kufutwa ubunge washafuta mishahara yake wakati yupo wodini akiugulia operesheni ya 23 theatre.

Kila akipata nafasi ya kusema anatoa hoja nzito ambazo zinajibiwa na maneni ya kishenzi kama ombaomba,mzururaji,wakala wa mabeberu na hata kugika kiwango kikubwa cha kumuita haini.Cha kushangaza ni kuwa wananchi hawaoni wala hawapimi hoja ili kujua uongo na ukweli uko wapi ili kusimama upande wa ukweli bali wao wamekuwa washangiliaji tu wa viongizi wa vyama vyao wakijidanganya kuwa huo ndiyo uzalendo.

Ni kweli watazidi kumbeza sana kumtukana na kumyanyasa wanavyoweza maana Dr.Stocjman naye alifanyiwa hivyo lakini wachache wenye mwanga na upeo wa kuona tutasimama naye maana siyo kwamba hata wa huko upande wa pili hawaoni wanaona sana ila uoga umewatawala maana kuna kipindi mwaka 2016 kati ya wabunge ninaowaheshimu kwa utashi wao mkubwa wa kuelewa mambo,Mh.Hussein Bashe alisema kuwa amekuwa akifatilia nyaraka za Tundu Lissu kuhusu upoteaji wa rasilimali za taifa hata kabla hajawa mbunge na akasema kuwa ni nzuri lakini anabezwa kwa kuwa ni mpinzani.

Nimalizie kwa kusema kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa karne zaidi ya moja maana rafiki wa wananchi leo anaitwa adui wa wananchi ila ninukuu neno la mwisho la Dr.Stockman alilosema kuwa the strongest man in the world is the one who stands alone kwahiyo Lissu asihofu atajiona yupo mwwnyewe lakini na sisi wapenda haki tupo nae tutasimama naye hadi mwisho na hata wengine wanaoteswa magerezani hadi kunyimwa dhamana tupo nao maana tunatambua kuwa the guilty are afraid na kwa kuwa hawana namna tena ya kuongoza kwa haki watatumia vitisho vyote maana jeshi wanalo lakini sisi tuna haki na daima Mungu yupo na wenye haki hivyo atasimama nasi.Viva Lissu the enemy of the rulers but a friend to the oppressed.
Sema baadhi ya nchi...ulaya mashariki myingi maskini...
 
Unetumia kigezo gani kuita eti wanatuzidi zaidi ya miaka 100? Labda kwa ushuhuda wako, ingekuwa hata pauni moja ya Uingeteza ni sawa na shilingi milioni kumi za kitanzania! Mbwa wewe wa kusifia mabeberu! Lakini hata ingekuwa kweli wote si binadamu na tunaishi?
 
Kwa hiyo karne moja ni miaka 1000? Ndiyo maana hakuna kuajiri viwete wanaosoma vyuo vikuu na kumaliza sasa hivi!
 
Kwa kweli vijana wengi wanaomaliza vyuo na hasa vyuo vikuu miaka hii ni mavi ya kuku!
 
Back
Top Bottom