Elections 2010 Je wajua kuwa NEC walimpa JK 98.1% jimbo la Karatu na Dr. Slaa kura 41 tu?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Labda gazeti la leo la Mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii NEC ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................

Katika jimbo la karatu ambalo Dr. Slaa amekuwa akiliwakilisha kwa miaka 15 na Chadema kuibuka kidedea ubunge na karibu madiwani wote kwa vipindi vinne sasa vya uchaguzi................na hivyo kuongoza Halmashauri kwa vipindi 4 mfululizo............................NEC wamempa Dr. Slaa kura 41 tu au 0.2% ya kura zote zilizopigwa na Jk kura 24, 382 au 98.1% ya kura zote zilizopigwa!!!!!!!!!!!!!!!!!

..........................hata wagombea wengine kama akina Peter Mziray alipata kura zaidi ya Dr. Slaa yaani kura 216 au 0.9%................Prof. Lipumba kura 147 au 0.6 %.........................na hakuna kura iliyoharibika......................kwa hiyo hawa wanajimbo la karatu wana ufahamu mkubwa wa kufanya maamuzi..................

Yawezekana gazeti la Mwananchi limekosea kunakili hizi takwimu lakini kama halijakosea ni dhahiri huu sasa ni uchakachuaji wa hasira na ghadhabu baada ya JK na CCM yake kujiona wapigakura wamewadhalilisha kwenye vituo vya uchaguzi ...................tukifahamu fika ya kuwa ..........hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuamini ya kuwa Dr. Slaa angepata kura 41 jimbo la Karatu ambalo ameliongoza kwa takribani miaka 15 hivi..................na Chadema kuibuka kidedea kura ya ubunge hapo jimboni Karatu..........................
 
Muda si mrefu tutajua namana uchakachuaje ulivyofanyika na extent!!!!! Mungu ibariki Tanzania
 
Nimejitahidi kuangalia katika tovuti yao hakuna matokeo ya Karatu vilevile Muleba Kusini. Nadhani watu wengi wanaweza kugundua kuwa kura nyingi hazijawekwa licha ya kuchakachuliwa. Huo ndio ufanisi mkubwa sana wa Makame na Kiravu ambao kikwete anauunga mkono.
 
liars should have good memories! ccm ni waongo na hawana kumbukumbu sahihi hivyo basi mbichi na mbivu zi karibu kutambulika!:bowl:
 
Labda gazeti la leo la Mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii NEC ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................

Katika jimbo la karatu ambalo Dr. Slaa amekuwa akiliwakilisha kwa miaka 15 na Chadema kuibuka kidedea ubunge na karibu madiwani wote kwa vipindi vinne sasa vya uchaguzi................na hivyo kuongoza Halmashauri kwa vipindi 4 mfululizo............................NEC wamempa Dr. Slaa kura 41 tu au 0.2% ya kura zote zilizopigwa na Jk kura 24, 382 au 98.1% ya kura zote zilizopigwa!!!!!!!!!!!!!!!!!

..........................hata wagombea wengine kama akina Peter Mziray alipata kura zaidi ya Dr. Slaa yaani kura 216 au 0.9%................Prof. Lipumba kura 147 au 0.6 %.........................na hakuna kura iliyoharibika......................kwa hiyo hawa wanajimbo la karatu wana ufahamu mkubwa wa kufanya maamuzi..................

Yawezekana gazeti la Mwananchi limekosea kunakili hizi takwimu lakini kama halijakosea ni dhahiri huu sasa ni uchakachuaji wa hasira na ghadhabu baada ya JK na CCM yake kujiona wapigakura wamewadhalilisha kwenye vituo vya uchaguzi ...................tukifahamu fika ya kuwa ..........hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuamini ya kuwa Dr. Slaa angepata kura 41 jimbo la Karatu ambalo ameliongoza kwa takribani miaka 15 hivi..................na Chadema kuibuka kidedea kura ya ubunge hapo jimboni Karatu..........................

Eee Mola kama unasikia kilio chetu tunakuomba utusaidia kutuondolea magugu katika nchi yetu! kama JK mwenyewe ni gugu tunaomba Mola umchukue!!!!! Wizi gani huu usiokuwa na haya? Wametufanya sisi wa-TZ kuwa mazumbukuku!! Jamani.
 
Malaika kutoka mbinguni hawezi kukubaliana wala kuvumilia wizi wa namna hii, sembuse mimi mtu nilietokana na udongo? Lets wait and see wat's next
 
I CAN'T WAIT I AM TIRED, WEZI WAKUBWA HAWA, MAFISADI, YAANI NI KUPIGA KAMPENI EVERY WHERE, HATUKUBALI, why he announced Security forces to be on alert? bcos he knows watu hawapo nae, wanasingizia PEACE, PEACE, PEACE, PEACE WHAT....? they don't know what peace means, wanatumia kisingizio cha amani, huku wanaiba, mafisadi wako nao, hali ya citizens mbaya, Mungu uko wapi? hata waganga wa kienyeji, yaani giza tupu, ila mwisho wa siku Nuru itatawala, believe me
 
labda gazeti la leo la mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii nec ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................

Katika jimbo la karatu ambalo dr. Slaa amekuwa akiliwakilisha kwa miaka 15 na chadema kuibuka kidedea ubunge na karibu madiwani wote kwa vipindi vinne sasa vya uchaguzi................na hivyo kuongoza halmashauri kwa vipindi 4 mfululizo............................nec wamempa dr. Slaa kura 41 tu au 0.2% ya kura zote zilizopigwa na jk kura 24, 382 au 98.1% ya kura zote zilizopigwa!!!!!!!!!!!!!!!!!

..........................hata wagombea wengine kama akina peter mziray alipata kura zaidi ya dr. Slaa yaani kura 216 au 0.9%................prof. Lipumba kura 147 au 0.6 %.........................na hakuna kura iliyoharibika......................kwa hiyo hawa wanajimbo la karatu wana ufahamu mkubwa wa kufanya maamuzi..................

yawezekana gazeti la mwananchi limekosea kunakili hizi takwimu lakini kama halijakosea ni dhahiri huu sasa ni uchakachuaji wa hasira na ghadhabu baada ya jk na ccm yake kujiona wapigakura wamewadhalilisha kwenye vituo vya uchaguzi ...................tukifahamu fika ya kuwa ..........hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuamini ya kuwa dr. Slaa angepata kura 41 jimbo la karatu ambalo ameliongoza kwa takribani miaka 15 hivi..................na chadema kuibuka kidedea kura ya ubunge hapo jimboni karatu..........................

sure kaka! Nimeona hii kitu,nikataka niwapigie mwananchi wacrosscheck hizi data,maana km nec wamedanganya kiasi hiki,basi wanatuona sisi wananchi km wafala fulani hivi....yaani never on earth! Watu wamempigia kura miaka yote,leo apate namba za viatu!tafadhali mwananchi km mnasoma hapa tuhakikishie ukweli wa data zenu.....
 
CCM huwa wanaibaga bila kutumia akili and wanajua they can get a way with it bcoz WADANGANYIKA ni wajinga. NI wajinga kweli maana kuna watu kibao wanasema Slaa ana uroho wa madaraka na kutaka kuleta umwagaji damu. Sasa kutokana na hizi takwimu sijui nani ni mroho?
 
Labda gazeti la leo la Mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii NEC ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................

Katika jimbo la karatu ambalo Dr. Slaa amekuwa akiliwakilisha kwa miaka 15 na Chadema kuibuka kidedea ubunge na karibu madiwani wote kwa vipindi vinne sasa vya uchaguzi................na hivyo kuongoza Halmashauri kwa vipindi 4 mfululizo............................NEC wamempa Dr. Slaa kura 41 tu au 0.2% ya kura zote zilizopigwa na Jk kura 24, 382 au 98.1% ya kura zote zilizopigwa!!!!!!!!!!!!!!!!!

..........................hata wagombea wengine kama akina Peter Mziray alipata kura zaidi ya Dr. Slaa yaani kura 216 au 0.9%................Prof. Lipumba kura 147 au 0.6 %.........................na hakuna kura iliyoharibika......................kwa hiyo hawa wanajimbo la karatu wana ufahamu mkubwa wa kufanya maamuzi..................

Yawezekana gazeti la Mwananchi limekosea kunakili hizi takwimu lakini kama halijakosea ni dhahiri huu sasa ni uchakachuaji wa hasira na ghadhabu baada ya JK na CCM yake kujiona wapigakura wamewadhalilisha kwenye vituo vya uchaguzi ...................tukifahamu fika ya kuwa ..........hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuamini ya kuwa Dr. Slaa angepata kura 41 jimbo la Karatu ambalo ameliongoza kwa takribani miaka 15 hivi..................na Chadema kuibuka kidedea kura ya ubunge hapo jimboni Karatu..........................

KARATU CCM 24,364 35.08% CHADEMA 43,137 62.10%

Usitudanganye, matokeo yote haya hapa kwenye attachment.
 
Attachments

  • final-results.xls
    405.5 KB · Views: 45
Slaa kuambulia namba ya kiatu kwake mbona ni ndoto.
Labda wamekosea as haingii akilini waweza kuta JK ndo kaambulia 41 ie 0.2%
 
Tutalia wezi hadi lini? Mi nnachoka na nchi hii! Tumeibiwa tangu 95 hadi 2010 bado tu tunalialia. Tuchukue hatua!
 
Huenda ni makosa tu ya uchapaji haiwezi kuwa kweli karatu nzima kuanzia endabash mpaka lake eyasi wanaijua chadema na slaa kuliko wanavyo ifahamu ccm na kikwete yani ccm ni chama cha upinzani tu.
 
Dah, nna wasi wasi na sie tulio mbali inawezekana kabisa either kutorushiwa live busara za mkomboz huyu wa wananchi. Either tunaweza kukatiwa umeme siku nzima walivyoanza leo huku bkb.. Au kupata iliyokuwa recorded na kuchakachuliwa na na hawa vibaraka wa Mkwere TBC
 
Wao wana pesa na dola sie tuna MUNGU,Tusiogope ipo siku yetu tutashinda..tuongeze bidii katika kutafuta haki yetu,hata nikiambiwa kukalia kisu cha inch 10 Jk sintomkubali kuwa raisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom