Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,182
Labda gazeti la leo la Mwananchi liwe limefanya makosa ya uchapishaji lakini kama hakuna makosa basi hii NEC ni kiboko kabisa au nisema ni moto wa kuotea mbali......................
Katika jimbo la karatu ambalo Dr. Slaa amekuwa akiliwakilisha kwa miaka 15 na Chadema kuibuka kidedea ubunge na karibu madiwani wote kwa vipindi vinne sasa vya uchaguzi................na hivyo kuongoza Halmashauri kwa vipindi 4 mfululizo............................NEC wamempa Dr. Slaa kura 41 tu au 0.2% ya kura zote zilizopigwa na Jk kura 24, 382 au 98.1% ya kura zote zilizopigwa!!!!!!!!!!!!!!!!!
..........................hata wagombea wengine kama akina Peter Mziray alipata kura zaidi ya Dr. Slaa yaani kura 216 au 0.9%................Prof. Lipumba kura 147 au 0.6 %.........................na hakuna kura iliyoharibika......................kwa hiyo hawa wanajimbo la karatu wana ufahamu mkubwa wa kufanya maamuzi..................
Yawezekana gazeti la Mwananchi limekosea kunakili hizi takwimu lakini kama halijakosea ni dhahiri huu sasa ni uchakachuaji wa hasira na ghadhabu baada ya JK na CCM yake kujiona wapigakura wamewadhalilisha kwenye vituo vya uchaguzi ...................tukifahamu fika ya kuwa ..........hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kuamini ya kuwa Dr. Slaa angepata kura 41 jimbo la Karatu ambalo ameliongoza kwa takribani miaka 15 hivi..................na Chadema kuibuka kidedea kura ya ubunge hapo jimboni Karatu..........................