Je wajua kuwa Museveni ni mfalme wa Uganda? Angalia matanuzi yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua kuwa Museveni ni mfalme wa Uganda? Angalia matanuzi yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Feb 22, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Watanzania wanalalamikia ziara za ufujaji wa fedha za umma zinazofanywa na rais wao Jakaya Kikwete. Anachofanya Kikwete sawa na mwenzake wa Uganda ni kutumia pesa nyingi kuliko hata wizara nyeti. Mwaka 2011 kulikuwa na kituko ambapo ikulu ya Uganda iliomba jumla ya shilingi za Uganda 5,055,000,000 kwa ajili ya safari za rais kwa miezi saba tu huku wizara ya Maji na Mazingira ikitengewa bilioni 2.44 kwa mwaka 2010 na Bilioni 3.228 mwaka 2011 kwa ajili mishahara ya miaka miwili. Wakati ikulu ikitaka bilioni hizo 5.055 kwa ajili ya matanuzi ya Museveni nje, ikulu hiyo hiyo iliomba pia Ushs. Bilioni 3.497 kwa ajili ya matengenezo ya magari ya rais huku mafuta pekee yakigharimu Ushs. 120, 000,000! Wachunguzi wa mambo wanasemea kuwa Museveni alitumia jumla ya Ushs. Bilioni 13.386 ambazo ni zaidi ya mara nne ya bajeti ya Maji na Mazingira.
   
 2. m

  mubi JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hapa ninapoishi kuna mzee jirani yangu ana umri wa miaka 92 . tangu akiwa na umri wa miaka 18 mpaka leo ni mvutaji sana wa sigara. Naona hata mimi nivute sigara ili niweze kufikisha miaka 92 duniani.
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona hii ni pesa ya kawaida tu kwa Rais!
   
 4. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Kweli watu wengine hamnazo. Kuna uhusiano gani kati ya hiki alicho kieleza mleta mada hapa chini na wewe ulichokieleza hapa juu.

   
 5. m

  maskin Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  mkuu mii nimemwelewa yaani hapo ana maanisha mwenzio akifanya ujinga basi usiige kwa sababu haujamdhuru,au ukiona mwenzio anaiba hajakamatwa usiseme na mimi ngoja nikaibe ,honest citizen nikukemea mabaya na kuripoti kunakostahili ,yaani hapo kamfanisha museven ni mvuta sigara jirani sasa yeye ni tz je tuige kuvuta sigara huko.
   
 6. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Kweli JF is a home of great thinkers
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aisee!...nje kabisa ya kinachozungumzwa!
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Kama umeshindwa kuunganisha hapo basi wewe siyo great thinker.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chunguza tu utaelewa,mie nimemuelewa vizuri sana

  "Je huku kwetu jamaa si kashasafiri mara 323 times 300milz si unapata bil97 kwa safari tu,ukizigawa kwa miaka 6 si unapata kwa mwaka anatumia bil16? Kumbuka hyo Ush 5.05 ni sawa na 2.8bil Tsh) kwahyo huyu wa kwetu ni soo kamsidi museven mara tano nzima.
   
 10. d

  davidie JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamnazo huyo muacheni apumzike kwa amani
   
 11. m

  mubi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  All men are created equal. Chona nilikuwa na maan kama ifuatavyo. Mvuta sigara = safari za Mkuu, madhara ya sigara ni cancer za mapafu, arteriole diseases(magonjwa ya mishipa ya damu), heart diseases(magonjwa ya moyo, magonjwa haya asilimia kubwa ya wavuta sigara huugua.kwa namna hiyo basi madhara ya sigara nimeyaweka kam madhara ya safari za mkuu, ambayo kuyumba kwa uchumi hasa kwa nchi zetu maskini zinazotegemea mikopo na misaada ya wahisani. Kwa nchi kama Tz hatutakiwi kabisa kuiga mfano wa Uganda eti wakuu wetu wasafiri zaidi ya Uganda au nchi zingine zozote duniani. Nadhani hapo ndugu Chona utakuwa umenielewa mimi nisiye nazo.
   
 12. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Tusimcheke M7 wakati hatujui wetu anatumia bilioni ngapi.
  Bora Uganda wameweka wazi anaatumia bilioni ngapi and the topic is up for discussion.
  Kwetu ni siri ya usalama wa taifa. Sijui tunashangaa nini wakati sisi yetu hatuyajui.
   
 13. n

  nketi JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio mbaya sn. Ni kawaida sn kwa wafalme wa mataifa km kikwete. Msihofu maisha bora mliyoahidiwa yapo karibu kufika muhimu msikate tamaa.
   
 14. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Mkuu Mubi nikiri kwamba hapo kama great thinker uliniacha. Hivyo basi nikuombe unisamehe kwa kutokutendea haki kwa ujumbe wangu nilioutoa. Lakini sasa nikushukuru kwa kunielimisha zaidi napia nimshukuru ndugu Maskin kwa maelezo yake pia. Nimeondoa kauli yangu ya awali.
   
 15. m

  mubi JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hapana shaka ndugu yangu hii nchi ni yetu sote na tunajifunza tufanye nini kuisaidia nchi yetu. Nashukuru sana kwa hayo, Mungu akuongezee zaidi ufahamu ili tushirikiane kuelimisha wengi, tutoke hapa tulipo ingalau tufike mahali fulani...tutoke ingalau kwenye hilo tembe. Uzuri sisi wananchi tunajua kukiri na kuomba radhi kwa wale tunaowakosea. Wakubwa wetu ambao tumewachagua hawajui kukiri na hat kutuomba radhi sisi tuliowachagua. Kwa kweli sina ubaya na wewe mimi ni wakuu wetu wanvyotupelekesha.
   
 16. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  yupo sawa mkuu kunamdau kailezea vizuri juu,kosa/ovu hal4alalishe jengine tusijilinganishe na UG kwan nao wanakosea..
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hapa umeonyesha kuwa you are a great thinker.
   
Loading...