Je, wajua kuwa kwa Sasa Tanzania tumeanza kuchukiana kwa sababu za kiitikadi?

Hali huko uswahilini kunaanza kuota mbegu ya chuki kutokana na sababu za kisiasa!Inabidi hatua za makusudi zichukuliwe vinginevyo kama taifa tunakoelekea siko Tuombe Mungu. Baba wa Taifa alituacha tukiwa na upendo kwamaana ya kupendana wote tukiwa taifa moja leo ukiongelea mambo ya siasa za CCM Unaambiwa nyie mnakandamiza haki uhuru wakujieleza na kuwa CCM ni madkiteita...ukikuta kunaongelewa siasa za upinzani utasikia makuadi wa mabeberu mnakumbatia ushoga, nawanaenda mbali kwa kuwataja nakuwatukana viongozi wa upinzani hapa naongelea uswahilini ndiyo usiseme matusi hadharani na hakuna mamlaka inayozungumza juu ya utengamano huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo tunajua

In God we trust
 
Unajidandanya
Hamna mkuu, sie huku kwetu ndo kwanza tunaimarisha upendo kuliko wakati wowote. Masuala ya itikadi ya vyama hakuna kabisa kila mtu anahangaikia tonge lake

In God we trust
 
Hali huko uswahilini kunaanza kuota mbegu ya chuki kutokana na sababu za kisiasa!Inabidi hatua za makusudi zichukuliwe vinginevyo kama taifa tunakoelekea siko Tuombe Mungu. Baba wa Taifa alituacha tukiwa na upendo kwamaana ya kupendana wote tukiwa taifa moja leo ukiongelea mambo ya siasa za CCM Unaambiwa nyie mnakandamiza haki uhuru wakujieleza na kuwa CCM ni madkiteita...ukikuta kunaongelewa siasa za upinzani utasikia makuadi wa mabeberu mnakumbatia ushoga, nawanaenda mbali kwa kuwataja nakuwatukana viongozi wa upinzani hapa naongelea uswahilini ndiyo usiseme matusi hadharani na hakuna mamlaka inayozungumza juu ya utengamano huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mbegu aliipanda nani?
 
Itakua uswahili ya huku mitandaoni ,
Tz hiihii itokee lets say msiba watu wakutenge kisa siasa,No way,ktakua na sbab zngne ulipoona.
Unless una vivid example itoe,bila hvyo unafanya uchochezi bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, mwandishi wa mada yuko sahihi kuna maeneo sasa tunatengana kidini kikabila na mengineyo, Si afya kwa utaifa wetu, tuchukue hatua
 
Hivi mtu mzima kukataa kwamba Tanzania hakuna siasa za chuki hadi mtaani kuchukiana anamdanganya nani?Unaremba kinyesi kwa mawaridi ili iweje?
 
Huo ndiyo ukweli lkn kwa sababu ccm humu jamvini wanaona aibu kukubali ukweli sababu ya aibu
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, mwandishi wa mada yuko sahihi kuna maeneo sasa tunatengana kidini kikabila na mengineyo, Si afya kwa utaifa wetu, tuchukue hatua

In God we trust
 
Toa mifano - wapi umekuta watu wakitengana (misiba, harusi, michezo) nk sababu za kisiasa na itikadi??
Unguja na Pemba. Chuki sa kisiasa zinahamia Tanganyika chini ya uangalizi wa chama tawala.Chickens come home to roost.
 
Back
Top Bottom