Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,466
- 113,543
- Thread starter
- #281
Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.Nimemuona P kwenye mada za CHADEMA. Utabiri wa mabaya. P ulituasa tuepuke prophecy of doom. Tusiwaase wengine huku sisi tunatenda.
Hakuna kosa kubwa tutalifanya kama kuombea CHADEMA ife. Hiyo laana haitakaa ituache, itakula nasi sahani moja. Kama tulikubali NCCR na CUF vinyongwe, tusikubali haya kwa CHADEMA.
Makala nyingi za kuiponda CHADEMA na kukiombea mabaya hata kama sio sehemu ya zile project zina ukakasi na kuacha maswali mengi kuliko majibu.
Je, kuna personal issues nje ya politik?
Jr
Humu jf tuna members wa aina 3, tuna
- Simple minds, discuss people, wao badala ya kujadili hoja iliyo mezani, hawa watamjadili mtoa hoja.
- Ordinary minds, discuss events, hawa watadili matukio, nini kimetokea etc
- Great minds discuss ideas, hawa watajadili hoja iliyo mezani.
Ukipata muda karibu ujibu hoja za bandiko hili.
Asante
P