Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,578
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi
Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't change a thing, rais bado ni rais. Kitendo cha baadhi ya watu/taasisi kusema hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu, hawamtambui Rais wa JMT, hawalitambui Bunge la JMT, je huu sio ujinga?, watu au taasisi wanaofanya hivi sio ni wajinga?. Jee tutaendelea kuruhusu ujinga kama huu, kuendelea nchini mwetu mpaka lini?!.

Moja ya maeneo ambayo yamekuwa neglected na serikali yetu, sekta binafsi na Civil Society ni eneo la utoaji elimu ya uraia Kwa umna. Hii ni kazi iliyopaswa kufanywa na mihimili yote na taasisi zote, mfano Mhimili wa Serikali ulipaswa kuwa na vipindi vya elimu kwa umma kuhusu serikali na utendaji wa serikali. Bunge nalo kuwa na vipindi vyake, mahakama nayo na vipindi vyake, na taasisi nyingine zote. Matokeo ya kukosekana vipindi vya elimu ya kwa umma kuhusu somo la uraia kunapelekea hata baadhi ya viongozi wetu wengine hadi wakuu, hawajui baadhi ya mambo kuhusu uendeshaji wa nchi, wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa ndio maana baadhi yao wanafanya maamuzi ya kiajabu ajabu mengine yakiwa ni maamuzi ya kijinga!.

Tangu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani huku Bara NCCR Mageuzi, kiligoma kuyatambua matokeo ya uchaguzi na kwa Zanzibar CUF walisusia. Hali hii iliendelea hivi kwa chaguzi zilizofuata.

Uchaguzi Mkuu wa 2010 Chadema walijidai kususa kwa kauli ila matendo yakawa ni tofauti na tuliwaeleza humu.

Matokeo ya uchaguzi wa 2020 kuna chama kilisusa kwa kauli, kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita na kuuita uchafuzi, hakimtambui mshindi na hakilitambui Bunge lilitokana na uchaguzi huo.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, ikatoa nafasi 19 za viti maalum kwa chama hicho, Chama hicho kikatoa kauli kuwa kwa vile hakiyatambui matokeo ya uchaguzi mkuu huo hivyo hakizihitaji hizo nafasi na hakikateua wanachama wake kuzijaza, hawana haja nazo.

Hili ni bandiko elimishi kuelimisha umma kuwa, kwa mujibu wa katiba ya JMT, baada ya uchaguzi Mkuu kwa upande wa matokeo ya urais, kama una malalamiko yoyote kuhusu uchaguzi wa rais, yawasilishe Tume ya Uchaguzi NEC kabla ya matokeo ya urais kutangazwa. Matokeo ya urais yakiishatangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi ni fulani, Tangazo hilo ndilo linahitimisha mchakato wa uchaguzi wa rais Tanzania, matokeo hayo ni final and conclusive, vyama hata havijaridhika na matokeo ya uchaguzi mkuu huo, wanaweza kuendelea kusema kulalamika, kususa na kusema hawayatambui matokeo, lakini baada ya Rais Mteule kuapishwa na kuwa rais rasmi wa JMT, huyu sasa ni Rais, hata kama hukubaliani na matokeo, ni lazima umtambue rais wa JMT, sio lazima umpende au umkubali, that is an option lakini issue ya kumtambua rais is not an option, it's a statutory issue. Swali kwa wanaojidai hawamtambui rais, Je wanajua kusema humtambui Rais, ni kusema huitambui serikali, huitambui mahakama na hailitambui Bunge?. Hivi vyombo vitatu ndivyo vinaunda dola, hivyo kutomtambua Rais ni kutoitambua dola, hakuwezi kufanywa na mtu yoyote aliyeko ndani ya JMT kwasababu, ule uwepo wako tuu, unawezeshwa na uwepo wa serikali. Lakini Kwa mtu aliyepo nje ya JMT anaweza asiitambue serikali na ikawezekana. Hivyo mtu yoyote au taasisi yoyote iliyomo ndani ya JMT, ikisema hailitambui Bunge la JMT, maana yake ni haitambui serikali, hamtambui Rais wa JMT, haiitambui mahakama ya JMT, ni haitambui JMT, mtu kama huyu au taasisi kama hii si ni anafanya ujinga tuu?,. Watu hawa ni ya kuhurumiwa tuu na kusaidiwa, kwenye eneo la kusaidiwa, ndilo bandiko hili linachofanya, hawa watu wanahitaji kusaidiwa, ujinga huu uwatoke.

Kukajitokeza wanachama majasiri na mashujaa ambao hawakukubalia na ujinga huo wa chama chao, kutotambua matokeo, wakafanya jitihada binafsi, nje ya utaratibu wa kawaida wa chama chao, wakapata barua za uteuzi, wakateuliwa na kuwa wabunge wa Bunge la JMT.

Wenye chama chao, wakaitisha vikao vya nidhamu kuwajadili, ambapo kwa mujibu wa katiba yao vikao vilivyo itishwa ni vikao batili, maamuzi yakafikiwa kwa mtindo wa a Kangaroo Court, ambayo nayo ni maamuzi batili, wakawatimua mashujaa hawa.

Baada ya kuwatimua, vile chama chao kiliisha jinasibu kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi, hailitambui Bunge na haitambui serikali, hamtambui Rais wa JMT, ikategemewa baada ya kuwatimua ndio wamemalizana nao!.

Kumbe wameandika barua Bungeni kutaka mashujaa hao wafutwe ubunge. Nafasi mlipewa, mkazikataa, wanaozitaka wakazichangamkia, sasa kwanini mnataka waondolewe huku hizo nafasi hamna haja nazo?!.

Bunge si hamlitambui, wanachama wenu waliojiunga na Bunge ambalo hamlitambui, sii mmeisha wafuta uanachama, kuna haja gani kuliarifu Bunge?. Si muachane nao tuu kwasababu sasa hamuwatambui na wako kwenye Bunge ambalo hamlitambui, hizo barua za nini?!.

Kwa vile uanachama wa chama cha siasa unatawaliwa na Katiba sheria taratibu na kanuni, wamefungua shauri mahakamani kupinga Ukangaroo wa vikao batili vya Kikangroo, jee mahakama mnaitambua?.

Chama kinatoa taarifa ya kutolitambua Bunge, kutomtambua Rais wa JMT, huku Mwenyekiti na M/Mwenyekiti are begging to meet Rais wa JMT, and they met, one of them, more than twice!, Leo ni mara ya 3!, huku kutomtambua Rais wa JMT ni kutomtambua gani?!.

Huku kutolitambua Bunge la JMT huku unaliandikia mabarua, kwa barua moja hiyo hiyo kupelekwa Bungeni siku hiyo hiyo na watu watatu tofauti!, huku ni kutotambua gani?!.

Kuna msemo wa kizungu usemao "Spare the rod and spoil the child", members wa Chadema wanakipenda sana chama chao, wanaogopa kukirudi kwa kukiambia ukweli kuhusu ujinga wake, wakichelelea kulia,"mchelea mwana kulia, hulia yeye", hivyo akina sisi, tunaokitandika bakora Chadema, bile kuchelea Chadema kulia, usikute ndio tunakisaidia Chadema kukaa kwenye mstari, kuliko hata wale wanaokidekeza na kukikimbia nyimbo za shangwe na mapambio.

Naomb kumalizia kwa hili swali, je huu sio ujinga?, na watu au taasisi wanaofanya hivi sio ni wajinga?. Jee tutaendelea kuruhusu ujinga kama huu, kuendelea nchini mwetu mpaka lini?!.

Wasalaam

Paskali
 
Kila mtu anayeisema Chadema heshima yake mnaamini ndio imekwisha. Hivi Chadema kwanini mkiguswa kwenye maeneo ya mjadala wa hoja mnaishia kwenye personal attack?

Ameulizwa maswali kibao kuhusu hiki anachokianzishia uzi kila siku, hajibu maswali yoyote tena ya msingi, sasa mtu mwenye frustration unataka ajibiwe hoja gani? Au hoja ni yeye kuweka bandiko refu, lakini hawezi kujibu yanayotokea kwenye matamanio yake?
 
Chama kinatoa taarifa ya kutolitambua Bunge, kutomtambua Rais wa JMT, huku Mwenyekiti na M/Mwenyekiti are begging to meet Rais wa JMT, and they met, one of them, more than once!, huku kutomtambua Rais wa JMT ni kutomtambua gani?!. Huku kutolitambua Bunge la JMT huku unaliandikia mabarua, kwa barua moja hiyo hiyo kupelekwa Bungeni siku hiyo hiyo na watu watatu tofauti!, huku ni kutotambua gani?!.

Kuna msemo wa kizungu usemao "Spare the rod and spoil the child", members wa Chadema wanakipenda sana chama chao, wanaogopa kukirudi kwa kukiambia ukweli kuhusu ujinga wake, wakichelelea kulia,"mchelea mwana kulia, hulia yeye", hivyo akina sisi, tunaokitandika bakora Chadema, bile kuchelea Chadema kulia, usikute ndio tunakisaidia Chadema kukaa kwenye mstari, kuliko hata wale wanaokidekeza na kukikimbia nyimbo za shangwe na mapambio.

Naomb kumalizia kwa hili swali, je huu sio ujinga?, na watu au taasisi wanaofanya hivi sio ni wajinga?. Jee tutaendelea kuruhusu ujinga kama huu, kuendelea nchini mwetu mpaka lini?!.

Wasalaam

Paskali
Kinachonifurahisha siasa za nchini kwetu

Chama kinaweza kusema hakiitambui serikali iliyopo ila baada ya muda ukasikia viongozi wake wanasema "Tunamuomba mheshimiwa Raisi aridhie tuonane tuna mambo muhimu ya kumwambia"

😀😀😀😀😀 Siasa inafurahisha.
 
Kila mtu anayeisema Chadema heshima yake mnaamini ndio imekwisha. Hivi Chadema kwanini mkiguswa kwenye maeneo ya mjadala wa hoja mnaishia kwenye personal attack?
1. Hoja inakuwa hoja kwa vigezo viwili au vitatu hivi kwa mtazamo wangu;

✓ MOSI, nia ya mtoa hoja

✓ PILI, lugha/tone ya mtoa hoja..

✓ TATU, namna ya uwasilishaji wa hoja hiyo..

2. Pascal Mayalla, ni haki yake kujibiwa kwa namna na kwa njia ileile aliyotumia kuwasilisha hoja yake..

Mathalani: Hebu piga jicho lako juu na soma heading ya mada yake. Kwa sentensi hii tu;

"...Tutaruhusu ujinga huu hadi lini...?"

Kwa nini na yeye asiitwe mjinga tu kwa sababu tayari amekwisha ita wenzake wajinga [attacking personality] eti tu kwa sababu they felt some injustices somewhere, somehow...

Haya mambo is not about CHADEMA. It's about a person him/herself. Ni makosa kum - impersonate kila mtu aliye against CCM na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CHADEMA..!
 
Labuda kwanza ungeanza kujiuliza yafuatayo: JE, TUTAENDELEA NA UJINGA HUU MPAKA LINI:
1.Mwenyekiti wa time ya uchaguzi kuchaguliwa na Rais anayegombea?

2. Wakurugenzi kuchaguliwa na Rais anayegombea?

Matokeo ya Urais kutohojiwa mahakamani? Tukianza na haya machache kuuliza kwa nini tunaendelea na ujinga huu, ndipo sasa tuulize mengine. Uwanja wa ushindani ukiwekwa sawa hakuna atakayelalamika, siyo walioteuliwa na Rais ndio wasimamie halafu watoe matokeo ya uchaguzi.
 
Kinachonifurahisha siasa za nchini kwetu

Chama kinaweza kusema hakiitambui serikali iliyopo ila baada ya muda ukasikia viongozi wake wanasema "Tunamuomba mheshimiwa Raisi aridhie tuonane tuna mambo muhimu ya kumwambia"

Siasa inafurahisha.
Mwalimu Nyerere hakumtambua Idi Amin, swali, je Idi Amin hakuwa Rais? Nyerere hakumtambua serikali ya Makaburu, swali,je, haikuwa serikali? Kutotambua kitu ni kuonyesha kutokubaliana na upatikanaji wa hicho kitu pamoja na kwamba kitaendelea kuwepo. Chadema wanaposema hawaitambui serikali ya CCM maana take iko wazi, upatikanaji wa serikali hiyo mwaka 2020 ilivyopatikana.
 
1. Hoja inakuwa hoja kwa vigezo viwili au vitatu hivi kwa mtazamo wangu;

✓ MOSI, nia ya mtoa hoja

✓ PILI, lugha/tone ya mtoa hoja..

✓ TATU, namna ya uwasilishaji wa hoja hiyo..

2. Pascal Mayalla, ni haki yake kujibiwa kwa namna na kwa njia ileile aliyotumia kuwasilisha hoja yake..

Mathalani: Hebu piga jicho lako juu na soma heading ya mada yake. Kwa sentensi hii tu;

"...Tutaruhusu ujinga huu hadi lini...?"

Kwa nini na yeye asiitwe mjinga tu kwa sababu tayari amekwisha ita wenzake wajinga [attacking personality] eti tu kwa sababu they felt some injustices somewhere, somehow...

Haya mambo is not about CHADEMA. It's about a person him/herself. Ni makosa kum - impersonate kila mtu aliye against CCM na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CHADEMA..!
Kuna Watu unaweza kuwajibu kwa hoja ila sio Pascal, ambaye unajua kabisa kuwa ana maslahi binafsi, anataka madaraka/cheo huko CCM. Mtu kama huyu unatakiwa umjibu yeye kama yeye maana anakua Hana hoja Bali njaa
 
Kukajitokeza wanachama majasiri na mashujaa ambao hawakukubalia na ujinga huo wa chama chao, kutotambua matokeo, wakafanya jitihada binafsi, nje ya utaratibu wa kawaida wa chama chao, wakapata barua za uteuzi, wakateuliwa na kuwa wabunge wa Bunge la JMT.
Duu, Mashujaa!
 
Mwalimu Nyerere hakumtambua Idi Amin, swali, je Idi Amin hakuwa Rais? Nyerere hakumtambua serikali ya Makaburu, swali,je, haikuwa serikali? Kutotambua kitu ni kuonyesha kutokubaliana na upatikanaji wa hicho kitu pamoja na kwamba kitaendelea kuwepo. Chadema wanaposema hawaitambui serikali ya CCM maana take iko wazi, upatikanaji wa serikali hiyo mwaka 2020 ilivyopatikana.
Hoja mfilisi! Nyerere hakuwa Mganda
 
Is everything okay kiongozi? CDM walikataa matokeo ya uchaguzi 2020, lakini JPM amefariki, kuna nafasi ya kuanza upya, watakuwa wajinga kama hawataitumia.

Kama JPM angekuwa hai wasingetambua yale matokeo, 2020 hakukua na uchaguzi, hata wewe ulilitambua hilo.
Mwaka gan mliwahi kutambua matokeo
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi
Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't change a thing, rais bado ni rais. Kitendo cha baadhi ya watu/taasisi kusema hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu, hawamtambui Rais wa JMT, hawalitambui Bunge la JMT, je huu sio ujinga?, watu au taasisi wanaofanya hivi sio ni wajinga?. Jee tutaendelea kuruhusu ujinga kama huu, kuendelea nchini mwetu mpaka lini?!.

Moja ya maeneo ambayo yamekuwa neglected na serikali yetu, sekta binafsi na Civil Society ni eneo la utoaji elimu ya uraia Kwa umna. Hii ni kazi iliyopaswa kufanywa na mihimili yote na taasisi zote, mfano Mhimili wa Serikali ulipaswa kuwa na vipindi vya elimu kwa umma kuhusu serikali na utendaji wa serikali. Bunge nalo kuwa na vipindi vyake, mahakama nayo na vipindi vyake, na taasisi nyingine zote. Matokeo ya kukosekana vipindi vya elimu ya kwa umma kuhusu somo la uraia kunapelekea hata baadhi ya viongozi wetu wengine hadi wakuu, hawajui baadhi ya mambo kuhusu uendeshaji wa nchi, wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa ndio maana baadhi yao wanafanya maamuzi ya kiajabu ajabu mengine yakiwa ni maamuzi ya kijinga!.

Tangu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani huku Bara NCCR Mageuzi, kiligoma kuyatambua matokeo ya uchaguzi na kwa Zanzibar CUF walisusia. Hali hii iliendelea hivi kwa chaguzi zilizofuata.

Uchaguzi Mkuu wa 2010 Chadema walijidai kususa kwa kauli ila matendo yakawa ni tofauti na tuliwaeleza humu.

Matokeo ya uchaguzi wa 2020 kuna chama kilisusa kwa kauli, kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita na kuuita uchafuzi, hakimtambui mshindi na hakilitambui Bunge lilitokana na uchaguzi huo.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, ikatoa nafasi 19 za viti maalum kwa chama hicho, Chama hicho kikatoa kauli kuwa kwa vile hakiyatambui matokeo ya uchaguzi mkuu huo hivyo hakizihitaji hizo nafasi na hakikateua wanachama wake kuzijaza, hawana haja nazo.

Hili ni bandiko elimishi kuelimisha umma kuwa, kwa mujibu wa katiba ya JMT, baada ya uchaguzi Mkuu kwa upande wa matokeo ya urais, kama una malalamiko yoyote kuhusu uchaguzi wa rais, yawasilishe Tume ya Uchaguzi NEC kabla ya matokeo ya urais kutangazwa. Matokeo ya urais yakiishatangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi ni fulani, Tangazo hilo ndilo linahitimisha mchakato wa uchaguzi wa rais Tanzania, matokeo hayo ni final and conclusive, vyama hata havijaridhika na matokeo ya uchaguzi mkuu huo, wanaweza kuendelea kusema kulalamika, kususa na kusema hawayatambui matokeo, lakini baada ya Rais Mteule kuapishwa na kuwa rais rasmi wa JMT, huyu sasa ni Rais, hata kama hukubaliani na matokeo, ni lazima umtambue rais wa JMT, sio lazima umpende au umkubali, that is an option lakini issue ya kumtambua rais is not an option, it's a statutory issue. Swali kwa wanaojidai hawamtambui rais, Je wanajua kusema humtambui Rais, ni kusema huitambui serikali, huitambui mahakama na hailitambui Bunge?. Hivi vyombo vitatu ndivyo vinaunda dola, hivyo kutomtambua Rais ni kutoitambua dola, hakuwezi kufanywa na mtu yoyote aliyeko ndani ya JMT kwasababu, ule uwepo wako tuu, unawezeshwa na uwepo wa serikali. Lakini Kwa mtu aliyepo nje ya JMT anaweza asiitambue serikali na ikawezekana. Hivyo mtu yoyote au taasisi yoyote iliyomo ndani ya JMT, ikisema hailitambui Bunge la JMT, maana yake ni haitambui serikali, hamtambui Rais wa JMT, haiitambui mahakama ya JMT, ni haitambui JMT, mtu kama huyu au taasisi kama hii si ni anafanya ujinga tuu?,. Watu hawa ni ya kuhurumiwa tuu na kusaidiwa, kwenye eneo la kusaidiwa, ndilo bandiko hili linachofanya, hawa watu wanahitaji kusaidiwa, ujinga huu uwatoke.

Kukajitokeza wanachama majasiri na mashujaa ambao hawakukubalia na ujinga huo wa chama chao, kutotambua matokeo, wakafanya jitihada binafsi, nje ya utaratibu wa kawaida wa chama chao, wakapata barua za uteuzi, wakateuliwa na kuwa wabunge wa Bunge la JMT.

Wenye chama chao, wakaitisha vikao vya nidhamu kuwajadili, ambapo kwa mujibu wa katiba yao vikao vilivyo itishwa ni vikao batili, maamuzi yakafikiwa kwa mtindo wa a Kangaroo Court, ambayo nayo ni maamuzi batili, wakawatimua mashujaa hawa.

Baada ya kuwatimua, vile chama chao kiliisha jinasibu kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi, hailitambui Bunge na haitambui serikali, hamtambui Rais wa JMT, ikategemewa baada ya kuwatimua ndio wamemalizana nao!.

Kumbe wameandika barua Bungeni kutaka mashujaa hao wafutwe ubunge. Nafasi mlipewa, mkazikataa, wanaozitaka wakazichangamkia, sasa kwanini mnataka waondolewe huku hizo nafasi hamna haja nazo?!.

Bunge si hamlitambui, wanachama wenu waliojiunga na Bunge ambalo hamlitambui, sii mmeisha wafuta uanachama, kuna haja gani kuliarifu Bunge?. Si muachane nao tuu kwasababu sasa hamuwatambui na wako kwenye Bunge ambalo hamlitambui, hizo barua za nini?!.

Kwa vile uanachama wa chama cha siasa unatawaliwa na Katiba sheria taratibu na kanuni, wamefungua shauri mahakamani kupinga Ukangaroo wa vikao batili vya Kikangroo, jee mahakama mnaitambua?.

Chama kinatoa taarifa ya kutolitambua Bunge, kutomtambua Rais wa JMT, huku Mwenyekiti na M/Mwenyekiti are begging to meet Rais wa JMT, and they met, one of them, more than twice!, Leo ni mara ya 3!, huku kutomtambua Rais wa JMT ni kutomtambua gani?!.

Huku kutolitambua Bunge la JMT huku unaliandikia mabarua, kwa barua moja hiyo hiyo kupelekwa Bungeni siku hiyo hiyo na watu watatu tofauti!, huku ni kutotambua gani?!.

Kuna msemo wa kizungu usemao "Spare the rod and spoil the child", members wa Chadema wanakipenda sana chama chao, wanaogopa kukirudi kwa kukiambia ukweli kuhusu ujinga wake, wakichelelea kulia,"mchelea mwana kulia, hulia yeye", hivyo akina sisi, tunaokitandika bakora Chadema, bile kuchelea Chadema kulia, usikute ndio tunakisaidia Chadema kukaa kwenye mstari, kuliko hata wale wanaokidekeza na kukikimbia nyimbo za shangwe na mapambio.

Naomb kumalizia kwa hili swali, je huu sio ujinga?, na watu au taasisi wanaofanya hivi sio ni wajinga?. Jee tutaendelea kuruhusu ujinga kama huu, kuendelea nchini mwetu mpaka lini?!.

Wasalaam

Paskali
RAIS SAMIA AMEKUWA RAIS KWA UCHAGUZI GANI AMBAO MATOKEO YAKE CHADEMA WAMEYAGOMEA? CHADEMA WALIGOMEA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI AWAMU YA 5
KUMBUKA MAMA SAMIA NI RAIS WA SERIKALI YA AWAMU YA 6 au wewe ni kama Bw.POLEPOLE ANAYEPINGA Kuwa RAIS SAMIA SIO wa Awamu ya 6?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom