Elections 2010 Je wajua kundi kubwa la wapigakura walionyimwa haki zao?

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Idadi kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu, pamoja na wale wa sekondari nchini Tanzania wamenyimwa haki yao ya msingi ya kushiriki ktk kumchagua Rais wa taifa hili, atakaye waongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Hii ni baada ya wengi wao kujiandikisaha kupiga kura wakiwa vyuoni na mashuleni {ktk mikoa mingine} ambayo itawawia vigumu wao kusafiri kwenda ktk mikoa hiyo wakati wa kupiga kura . kwani wakati wa upigaji kura wengi wao watakua bado wamefunga vyuo...................
HULALAAA... NI KUNDI AMBALO LINAMCHANGO MKUBWA NA LINALOTAMBUA UMUHIMU NA MAANA YA UCHAGUZI....TAFAKARI>>>>>>>>>
 
Back
Top Bottom