Je, wajua Ile Trillion 1.5 ambayo C.A.G alibaini inazidi hela ilotengwa kwa michuano ya kombe la dunia na kubaki chenji?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,478
2,000
FIFA IMETENGA BILLION 900 TU ZA KITANZANIA KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA URUSI
inamaana hii ambayo C.A.G alibaini upotevu wake ingetosha kwa kumbe la dunia na kubaki BILLION 600

Kwa kifupi gharama ya kombe la dunia la mwaka 2014+2018 ni ndogo ukilinganisha na Ile 1.5 ambayo haizungumziwi ,

Tuwe makini msidhani namtuhumu mtu kupoteza hiyo, mimi naongelea takwimu tu,

Piga kazi mzee Baba Magufuli

 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,562
2,000
Mimi peke yangu ndo mgeni humu. Hiyo 1,5 tril. ni nini na nani kaipiga mazee?? Hamuogopi mkuu alivyosema kuwa ni heri m mtu ule sumu kuliko kuibia serekali yetu hii. Pole zake, akishikwa na mkuu, hakika atazitaapika
 

nowsasa

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
1,096
2,000
Bongo tunailisha Rwanda sasa. Mr slim mrija wa drc unakaribia kukauka muda si mrefu! Kaisha pata sehemu mbadala ya kuendeleza kupata pato na kujenga Rwanda. Bongo kushney!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom