Je wajua Idd Amin alitabiri mwafrika kuwa rais wa Marekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua Idd Amin alitabiri mwafrika kuwa rais wa Marekani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fazili, Jun 18, 2011.

 1. f

  fazili JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Idd Amin aliota mtu mweusi atakuwa rais wa Marekani. Pia alitabiri mtu mweusi angekuwa Secretary of State of America. Na kweli yametimia!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Field Marshal Iddi Amini Dadah (pbuh) a prophet of allah!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huo haukuwa utabiri. Alikuwa anazungumzia wishes zake. Hakusema mwaka 2008 mweusi atakuwa rais Marekani. Huo ndio ungekuwa utabiri.
   
 4. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kasema kaota ndoto sio wishes
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  The difference is the same.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Na mimi natabiri kupitia ndoto niliyo ota kuwa kuna mwanamke atakuja kuwa raisi wa Marekani. Quote me on this....
   
 7. T

  T.K JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ha!ha!ha!....MwanaFalsafa u made me logh kwa utabiri wako.....hilo ni swala la muda tu, kama Obama alivyo african-american president wa kwanza, bac hata mwanamke one day atakuwa rais
   
 8. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi natabiri mgombea wa ccm kupata kura asilimia 18.3 ktk uchaguzi ujao na wabunge 68 tu.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nilitabili la mweusi Kuongoza USA. "hakuna marefu yasiyo na ncha"
   
 10. m

  mzambia JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Fuatilia 24hours movie utajua yote hayo ni mipango
   
 11. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,745
  Likes Received: 6,021
  Trophy Points: 280
  Mie natabairi zamu ya wengine kuongoza America inakaribia. Halafu baada ya utawala wao watafuatia mataifa mengine kutokea mashariki. Hii ni hakika kwani ni hivi:-

  "Nilikuwa katika usingizi wa pono; nikaona na tazama, yule waliyemchinjia baharini wakidhani wameshinda kumbe wamefumbwa tu; Mola wake yu juu ya yote. Amewakirimia watu wake utawala wa mihula mitatu na nusu sawasaw na miaka kenda na kidogo juu ya taifa lile. Haya sasa, kuleni, kunyweni, mfurahi enyi waja wangu; hakika nimewalipieni kisasi cha mja wangu. Ila nakuapieni, hamtadumu, watakuja wengine kutoka mashariki kutawala tangu bara hindi hadi uchina kwa zamu. Kazaneni, tumieni panga zenu kwa bidii; mu karibu kushinda wala msiogope kupigania dini yenu hata kumwaga damu kwani pepo ni yenu."

  Hiyo ndio ndoto aliyoota mja wa Mola na hakika hayana budi kutimia hata kwa ncha ya upanga; Sembuse Idd Amin!
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Bwe he he he..lolz
   
 13. S

  Shaqsy HO New Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubali kwamba idd amin alitabiri!kwan hata martin Luther king nae zilikuwa wìsh zake lakin wakasema ametabiri,kwann tusimkubali mwafrika mwenzetu?
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Baraka Obama Huseni Onyango kwanza sio mweusi maana mama yake ni mzungu. Hivo ni mwafrika-mzungu. Unless u really desperate u aint gonna swallow tht sh!t. Mtu yeyote anayemchukulia serious yule charlatan Amin binafsi nna mashaka naye.
   
 15. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2014
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,362
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...