Je, wajua haya kuhusu KFC?

Biashara zote zina siri kubwa sana, hapa mgahawani, unakopenda kupata mlo wako wa mchana ukipata makando kando yake, utajuta milele. Kama waswahili wasemavyo; "mjini hakuna haramu": basi, vema kujenga mazoea ya kula tukiandaacho kwenye majiko yetu kwa mapishi yanayofaa kwa ustawi bora wa afya zetu.
Kabsa mkuu uko sahihi
 
Kila mtu angeishi maisha yake bila kumfatilia mwingine dunia ingekuwa nzuri sana.
KFC tz zinamilikiwa na Kuku Foods ambao ni Wamiliki wa Kuku Poa wako Mwanza. Kuku wanazalishwa Mwanza
 
NAPIGILIA MSUMARI:

"Usimuamshe aliyelala"

"Waendelee kula tu junkle foods"

Wamasai wapige mahela kwa kuwauzia dawa za mitishamba kutibu magojwa yao na nguvu za kiume ili tunaoonekana washamba tuzidi kuneemeka na mazuri aliyotuumbia Mungu

TATIZO BINADAMU WA KIZAZI HIKI NI WABISHI SANA...
 
Kuku au uchafu?

Kuku gani hana baba wala mama(vizazi halisi)?

Kuku gani anataga bila kupandwa?

Kuku gani anasinzia kutwa hata Mtoto mchanga aliyezaliwa leo ana uwezo wa kumkamata bila shuruba zozote?

Kuku gani anakua kwa wiki 2 tu na kuliwa?

Kuku gani hachemshwi wala kupikwa?

WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...
Kila mtu angeishi maisha yake bila kumfatilia mwingine dunia ingekuwa nzuri sana.
KFC tz zinamilikiwa na Kuku Foods ambao ni Wamiliki wa Kuku Poa wako Mwanza. Kuku wanazalishwa Mwanza
 
Kila mtu angeishi maisha yake bila kumfatilia mwingine dunia ingekuwa nzuri sana.
KFC tz zinamilikiwa na Kuku Foods ambao ni Wamiliki wa Kuku Poa wako Mwanza. Kuku wanazalishwa Mwanza
Siwezi kukataa Ila unajua mipaka ya matumizi ya jina la KFC!?? Haya Kuku Poa ni parent institution ya kampuni lipi!???
 
Kila mtu angeishi maisha yake bila kumfatilia mwingine dunia ingekuwa nzuri sana.
KFC tz zinamilikiwa na Kuku Foods ambao ni Wamiliki wa Kuku Poa wako Mwanza. Kuku wanazalishwa Mwanza
Siwezi kubisha juu ya suala la KFC Tanzania ni zao la nchi gani.. Lakini KFC international imezaliwa Marekani Kentucky... Ishu za Kuku Poa kwa Mwanza ni mbali na bandiko hili mkuu
 
Mtindo wa maisha unatumaliza
Mtu wa mjini akiwa na 60 yuko hoi tofauti na wakijijini
Tubadilike
 
😋😋😋 Uroho haujawahi acha mtu salama..
Hata Usipokula..unatembea unagongwa na pikipiki unakufa...
Aah maisha yenyewe mafupi..
20191110_200739.jpg
 
Sio kuku food tena, ishauzwa kitambo
Kila mtu angeishi maisha yake bila kumfatilia mwingine dunia ingekuwa nzuri sana.
KFC tz zinamilikiwa na Kuku Foods ambao ni Wamiliki wa Kuku Poa wako Mwanza. Kuku wanazalishwa Mwanza
 
...
Mabeberu walituweza na walifanikiwa sana.
Katika hali ya kushangaza juu ya mfumo wa maisha waafrika tubasombwa na vipindi huku tukijifanya waelewa kuliko waliotuletea hivyo tunavyojifanya tunavielewa!.
 
Back
Top Bottom