britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits.
Mfano:
1. Fast check to airports kwake na familia yake.
2. Diplomat immunity in case of anything kwake na familia.
3. No tax on movement from country to country. Soma ticket zako za safari, ile part ya Kodi diplomats hawana.
4. Free vehicle licence plates zile za CC na CD zile za kijani kama hapa kwetu tz.
5. Red carpet treatment under international laws.
6. Anaweza kusafiri kwa siri kati ya nchi na nchi na is subject to international law.
7. Diplomat is subject to any tax to a country he is living maana yake anaweza dai kodi yoyote kwa purchase zozote alizofanya kwenye nchi husika.
Kwa hiyo kuwa diplomat kuna faida nyingi sana kama ambazo Rais wa nchi anaweza kupata akiwa nchi nyingine. Kwa kuwa yeye anawakilishwa na Diplomats kwenye nchi hizo.
I once did a job interview na European Union Tanzania Delegation. Wakati nabargain on remuneration nilizungumzia kuhusu makato ya kodi ya PAYE. Balozi wa kipindi hiko aliniambia wao (Diplomats wote) na Delegation nzima ya EU hawalipi kodi yoyote. Kwa hiyo unaweza kuona hii benefit kuwa hata wafanyakazi wa Tanzania ambao wameajiriwa na balozi za nchi zingine are not subject to Tax under international Law, sijajua kama hii ni kwa balozi zote au ni EU peke yao. Ila this might be the case of an example.
Britannica