Shamba eggs
Member
- Feb 13, 2019
- 12
- 5
Nikweli watu wengi wamekua na nadharia tofauti tofauti kuhusiana na mitandano ya kijamii(digital platforms). Wengi wetu tunanadharia kwamba mitandao ya kijamiii ni sehemu pekee yakufanyia vurugu au kwaajili ya kuaribu maadili na tamaduni zetu bila kujua na kujali kwamba mitandao hiyo hiyo ikitumiwa vizuri inaweza ikakufanya utoke daraja moja kwenda daraja lingine either kimaisha au kiakili pia.
Mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram ukiitumia in a very productive way inaweza kukutajirisha kwani ni mitandao inayotumiwa na watu wengii sanaa.
Yaani imegeuza Dunia kua kijiji kimoja inamaanisha kwamba inakua rahisi sanaa kukutana na watu kiurahisi. Tuchukulie mfano, wewe ni mfanya biashara wa nguo labda za mtumba au special ukatumiaa majukwaa hayo tofauti kutangaza biashara zako inasaidia sanaa kupata wateja wa bidhaa zako vile vile sio kwa faida nguo tu bali hata biashara yoyote ile.
Ukiipromote biashara yako huko itakuaaidia sana kupanua masoko yako na kufikia wateja wako kwa pamoja.
Mitandao ya kijamii ni mizuri sanaaa pia inakuza watu kiakili kwani kuna page nyingii nzuri sana zenye mafundisho tofauti tofauti (ndoa, uchumi, biashara, mahusiano, familia, nk) ukiyazingatia hayo nakuhakikishia hutapata tabu ya kutatua changamoto yoyote katika maisha yako.
Niwasihi sana, tujaribu kutazama mitandao ya kijamiii kwa mtazamo chanya sana kwani unalipa sana TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.
Sent using Jamii Forums mobile app