mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 19,035
- 37,211
Hii ni mythJana tukiwa maskani kuna brother wa mtaani pale ni dereva wa Dart tukawa tunazungumza mambo mawili matatu kuhusiana na mradi huu mpya wa Mbagala na Bunju, nilimuuliza kuhusu matatizo ambayo yamekuwa yajishuhudiwa vituoni akanambia yale yanakwenda kuisha sababu mkwamisha mafanikio(Kisena) keshatiwa nguvuni na yule mchina aliyekuwa anachapisha tiketi feki wote wapo ndani. Nyumba ya Kisena ilikwenda kukaguliwa ikakutwa na bil 3. Zikakaguliwa na nyumba zake nyingine jumla kakutwa na bil 50.