Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Leo tuko pamoja my brother
bwana wewe katiba sasa si chochote kimekuwa kama kitabu tu cha ngoswe penzi kitovu cha uzembeWanabodi,
Hili ni bandiko la swali na alama za kuuliza nimeziweka, maana watu tusije itwa mahali kuhojiwa kuwa tumelidhalilisha Bunge.
Swali lenyewe ni hili,
Jee Wajua Bunge Linaweza Kutoa Azimio Batili?. CAG yuko Kikatiba, Jee Bunge Lina Uwezo Kutopokea Ripoti ya CAG?.
Tuliisha zungumza sana kuhusu kuhusu kitu kinachoitwa "The Principle of Separation of Powers, Checks and Balances" tukasema kanuni hii hutumika na mihimili hii mitatu ya dola kwa lengo kila mhimili kuwa a watchdogs wa mihimili mingine isijiinue kupita mamlaka yake.
Jee Azimio hili la Bunge kuamua halitafanya kazi na CAG ni Azimio Batili?, kwa sababu Ofisi ya CAG ipo kwa mujibu wa katiba, na Ripoti ya CAG inawasilishwa Bungeni kwa mujibu wa katiba, Jee Bunge lina uwezo huo wa kuamua kutofanya kazi na CAG, wakati Bunge sio Mamlaka ya nidhamu ya CAG, kama CAG amelikosea Bunge, then Bunge ama limshitaki CAG mahakamani au limshitaki CAG kwa mamlaka yake ya nidhamu, hiyo mamlaka ndio iamue kumchukulia CAG hatua za kinidhamu tena kwa mujibu wa Katiba lakini sio kwa Bunge kutoa Azimio Batili la altimatum kuilazimisha serikali kumuondoa CAG.
Bunge ni tukufu haliwezi kukosea, lakini linaongozwa na watu hivyo watu hawa wanaweza kukosea na ndio maana wakikosea, wanaweza kuondolewa.
Serikali inaongozwa na rais na pale Ikulu ni mahali patakatifu hivyo rais wetu anapaswa kuwa Mtakatifu ambaye hawezi kukosea na ndio maana rais hawezi kushitakiwa, ana kinga ya kutokushitakiwa kutokana na utakatifu huu, lakini rais pia ni binaadamu anaweza kufanya makosa ya kibinaadamu na anaweza asiwe Mtakatifu, ndio maana akikosea anaweza kushitakiwa na Bunge na akikutwa na hatia anaondolewa.
Ofisi ya CAG ni vivyo hivyo, ipo pale kwa mujibu wa katiba na CAG yupo kikatiba, Bunge haliwezi kujiamulia kuwa halifanyi kazi na CAG, bali kwa vile ofisi ya CAG nayo inaongozwa na mtu anayeitwa CAG, mtu huyu anaweza kukosea, akikosea anashitakiwa na akithibitishwa amekosea, anaondolewa.
Hivyo kama CAG, ana makosa dawa sio kwa Bunge kuamua kutofanya kazi na CAG, kwa kutoa Azimio batili, bali kumshitaki, GAG aondolewe, maisha yaendelee.
Naomba msaada kwa wabobezi wa sheria, taratibu na kanuni, watufafanulie jee Bunge letu tukufu, lina uwezo huo?.
Paskali
Kweli umelala usingizi wa ponoWanabodi,

Kwaajili Safety he is Better akiachia Hiyo Nafasi, kila kitu Kiko Programmed! Kwaajili ya 'Maslahi Mapana ya Umma', kama Kapachoka hapa tulipo, atapelekwa asipopajua!Wanabodi,

ndio maana yake, bunge linamlazimisha rais kumtoa cag nnavoona mimi.Mkuu Paskali ningependa kufahamu kuhusu huu ukaguzi unaofanywa na ofisi ya mkaguzi Mkuu wa serikali, je report zile zina mambo ya kifamilia yanayomhusu mkaguzi au zina mambo ya kitaifa? na je Bunge linapogoma kufanya kazi na CAG ni nani anayekomeshwa hapo? ni CAG au ni Taifa?
Lakini, kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba baada ya Ofisi ya CAG kumaliza kufanya ukaguzi hukabidhi report zake kwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ina maanisha kuwa Ofisi ya CAG imesha maliza kazi yake, na baada ya hapo Ofisi ya Rais hukabidhi report hizo ktk ofisi husika ili ziweze kufika Bungeni tayari kujadiliwa, je kwa mfumo huo bunge linapogoma kufanyia kazi report hizo si wamemgomea Mh Rais ambaye ndiye aliyewakabidhi report husika?
Labda kwa wajuzi wa mambo wanipe elimu nami niweze kupata uelewa ktk hili.
Na Prof Mussa Assad, akitolewa awekwe mwingine, litafanya nae kazi.... hivi azimio la Bunge leo ni kutofanya kazi na CAG au na Profesa Mussa Asad? Maana huu nao ni utata mwingine!
Hata hivyo hizi demokorasia ni mabeberu tu ndio yanatulazimisha, sisi hatutaki, siasa ni kutuchelewesha kwenye maendeleo, mimi napendekeza idara zinazosuasua lipewe jeshi, kama kwenye korosho.Ikiwa bunge litakwepa check and balance ya CAG ni vema tufanya haraka kubadilisha katiba yetu hili tuwe na wabunge wenye mlengo mmoja,wanaosema always NDIOO naunga mkono mia kwa mia,.Wananchi hawachagui wabunge wao hili wakwepe kuwatetea na badala yake kukubaliana na kila jambo la Serikali mia kwa mia.Kama itakuwa hivyo wafute mfumo kuwa na bunge NO MORE DEBATE BUNGENI
Itabidi hii habari kesho uitoe ukurasa wa mbele wa gazeti lako!Hakika inashangaza sana.... Jicho la bunge katika kuisimamia serikali ni CAG. Sasa unaondoa jicho hilo na unakuwa kipofu kabisa....yaani bunge linakuwa dhaifu kipeuo cha pili.
Wabunge wa CCM wameingia kwenye kumbukumbu mbaya sana, na historia itawahukumu vizazi kwa vizazi.
Muda ni shuhuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wataalamu wa sheria hvi CAG anapeleka taarifa Bungen au kwa Rais? Kwa nnavyofahamu naweza kukosolewa pia Serikali ndio inapeleka taarifa Bungeni baada ya kuipokea kutoka kwa CAG.
So kama serikali imepokea taarifa then Bunge linaweza kuvimba lispokee taarifa inayoletwa na serikal?
Wanabodi,