Je, wajua baadhi ya malumbano au mikwaruzano katika mapenzi/mahusiano au ndoa husababishwa na kutokua na pesa?

Ackhery

JF-Expert Member
Jan 5, 2021
293
299
Habari ndugu mwana JamiiForums,

Leo nimeona nikuletee jambo hili kuna baadhi ya watu wanashindwa kuelewana katika mahusiano au mapenzi au ndoa sababu hawana pesa hususani wanawake wengi wa sasa hawawaelewi maboyfriend wao ati kisa hana pesa

Na asipokua na pesa na mapenzi yao hayawi motomoto ila yanakua yabaridi kama barafu na baada ya hapo huzaa mikwaruzano au kutoelewana katika mahusiano,mapenzi au ndoa yao

Pia wapo maboy ambao wakiwa wanimiliki magirlfriend ambao wanamaisha yakawaida punde tu atakapompata mwenye matawi ya juu katika pesa anamwacha yule alokua naye mwanzo eti kisa pesa.

UJUMBE
Tujaribu kubadilika na kuvumiliana kwani ndiyo njia pekee ya ushindi katika maisha kwasababu hata pesa huja ukiwa mvumilivu
 
Ndiyo maana vijana kupata kazi ya maana kabla ya kuoa (au kuolewa) ni jambo lisiloepukika kwa sasa
 
kwahiyo akiwa hajaoa/kuolewa anauwezekano Wa kupata kazi nzuri?
Kazi halali yenye kipato, asiwe dependant 100% aweze kutumia akili yake na nguvu. Habari ya kwamba ^Mie wa nyumbani tu^ inapaswa itazamwe mara mbili2. Nyakati zimebadilika ile kitambo sana, na hazitakaa zirudi zilikotoka. Kinachoshangaza, watu wangali wakiishi as if tuko karne ya kumi na ngapi huko.
 
Back
Top Bottom