Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
10,415
2,000
Tatizo hawa ndugu zetu wanatengeneza vijihoja ambavyo wanataka watu wavielewe kwa jinsi ya kupindisha kwao baadhi ya aya, huenda wakawa wanajua ukweli au wanakopi na kupesti kutoka katika kazi za wapotoshaji, tatizo kuna watu maskini huwa wanafuata mkumbo tu wakiona andiko wanalimeza zimazima hao ndiyo wanatakiwa kuelimishwa na wakiwa wanataka kuelimika.
Tatizo huwa wakiwa kwenye vijiwe vya Pombe za kienyeji,wanadanganyana ,badala wao kwenda kwa wasomi wa kiislamu kuuulizia,wakafundishwa hawataki.Lakini ni ajabu ,akiwa anataka kuulizia kuhusu ugonjwa alionao,haendi kwenye vijiwe vya Pombe,anakwenda hospital kwa daktari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Consensus ad idem

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
592
500
M nawaasa ndugu zangu waislamu kuendelea kuwajibu hawa makafiri m naona ni kujipotezea muda mana wao hawana uelewa na dini ya uislamu hlf wanajikuta wajuaji hatarii

Jawabu la mjinga ni kumnyamazia kimya
 

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
10,415
2,000
Ni koroani.hakuna Q kwenye maneno ya kiswahili au X hazitumiki..huu utakua ni kiswahili kigeni.

#MaendeleoHayanaChama
Kwanza lazima ujuwe hakuna kabila linaloitwa waswahili,ila hao wanaitwa waswahili ni makabila tofauti tofauti,wanaongea Kiswahili ili kuelewana katika kuwasiliana.
Haya makabila tofauti tofauti yana lugha,hizo lugha zao,hazina alfabet(hilo neno la kiarabu),kwa vile lugha zao hazina alfabet,kwa herufi zinazofanana wanashindwa kutofautisha kutamka Q na K,Dha na Za,Tha na Sa ,kwa hiyo huwezi kukuta katika matamko yao,utofauti wa matamshi .Q anaweza akaitamka K.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
10,415
2,000
Mzee we hata ukijitengenezea herufi yako halafu ukaitamka Kwa K haimaanishi hiyo herufi imeingizwa kwenye Kiswahili...kwahyo Quran sio Kiswahili
Kiswahili Ni koroani
Wewe unaposema Q,haitumiki kwenye kiswahili,hivi wataka kuniambia hujawahi ona namba za gari zenye Q,Tz 000 XZQ au Tz 000 XYQ,na nchi yetu, lugha ya Taifa ni Kiswahili.Lakini akija anayejuwa kiswahili,aliyeathirika na lugha yake ya asili ,ya kabila lake,hiyo Q ataitamka K.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MtanzaniaOG

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
222
500
Kimsingi kwenye uislam nguruwe amekatazwa kabisa na ndio maana hata hayo masharti ni kama yamewekwa tu, hivi kwa akili ya kawaida ni mazingira gani unaweza kukutana nayo ambayo yupo nguruwe tu na hakuna chakula kingine chochote? Yaani hakuna matunda, nafaka, nafaka za mizizi, maji, na vyakula vingine vya asili? Hivyo, maana yake tumewekewa exception ambayo katika mazingira ya kidunia siyo rahisi kukutana nayo. Hivyo, kimsingi nguruwe ni haramu kumla.
 

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,629
2,000
Mambo kama haya mungu mwenyewe anajua cha kumfanya ila ningekuwa na uwezo wa kumkamata huyu nishampija mapanga
Hahaha Takbir uku unamkata kichwa
Wewe unaposema Q,haitumiki kwenye kiswahili,hivi wataka kuniambia hujawahi ona namba za gari zenye Q,Tz 000 XZQ au Tz 000 XYQ,na nchi yetu, lugha ya Taifa ni Kiswahili.Lakini akija anayejuwa kiswahili,aliyeathirika na lugha yake ya asili ,ya kabila lake,hiyo Q ataitamka K.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😂Yani unatumia plate namba kama sehemu ya msamiati wa Kiswahili? Hizo Ni alama Tu hata wakiamua ziwe picha Za Matunda ni wao...Hata X inatumika ila sio herufi ya Kiswahili hiyo.
Plate namba ikiandika XAQ haimaanishi Hilo Ni neno la Kiswahili.
Jifunze Kiswahili Kuwa mzalendo usikumbatie kiarabu tu
 

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,629
2,000
Kwa hiyo bila kuona kifungu akili yako inakuambia kuwa nyama ya mtu si haramu?

Haya si ni majaribu kwa Allah kweli?
Aaah sheikh kuran si haijaacha kitu lakini???kama haijakataza Kula watu we Kula Tu mbona Congo Ni kitu cha kawaida...au Allah alisahau kukataza? huenda anaruhusu
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,891
2,000
Aaah sheikh kuran si haijaacha kitu lakini???kama haijakataza Kula watu we Kula Tu mbona Congo Ni kitu cha kawaida...au Allah alisahau kukataza? huenda anaruhusu
Inabidi upigwe shule ya koroani uielewe vyema,mi mwenyewe kabla sijaielewa vizuri nilikuwa hiv hv kama wewe,lakini nimekuja kugundua hiki kitabu kitukufu cha Allah kipo deep sana,uzuri wake vitabu vya dini zote nimevisoma in deep hadi cha mabudha,hiki cha Allah hakijaacha kitu chini ya jua na juu yake pia
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Ni koroani.hakuna Q kwenye maneno ya kiswahili au X hazitumiki..huu utakua ni kiswahili kigeni.

#MaendeleoHayanaChama
Kinachofanya uandike koroani ni nini? maana hata utamkaji wake upo mbali na linavyotamkwa hilo neno Qur'an.
 

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
812
1,000
Tmempata Yesu,kupitia maandiko matakatifu.Na ndio tukamjua kuwa yupo Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an imeiongelea jua kuzama kwenye tope wakati dini zingine si tu HAZIKUANDIKA kitu kama icho bali hata kule kufikiria jambo ilo hawakuwa na huo muda.
sasa kwa mtazamo wako kwasababu Qur'an IMEANDIKA hivyo basi huo ndio ukweli na hakuna kinyume na hapo.

Turudi kwenye MADA.
koroan kusema hakika dini ya haki ni uislam ilo haifanyi uislam iwe dini haki.
Koroan ilichokiandika hata mimi naweza anzisha imani yangu nikaiita CHAMUNDA then nikaandika katika msaafu wangu:, HAKIKA DINI YA HAKI NI CHAMUNDA.
na watu wakihoji uhalali wa nilichokiandika kwenye msaafu wangu natoa majibu ya brah brah tu kama majibu unayoyatoa wewe hapa.
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Aaah sheikh kuran si haijaacha kitu lakini???kama haijakataza Kula watu we Kula Tu mbona Congo Ni kitu cha kawaida...au Allah alisahau kukataza? huenda anaruhusu
Wewe umeandika kuran,wengine koroani basi hata sielewi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom