Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
6,542
2,000
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe, View attachment 1983581

Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,

Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Unajua mimi huwa sipendi kuzungumzia mambo ya dini dini kabisa nilishakataa kabisa

Kama unakula kitimoto kula kwa raha zako, hakuna wa kukuzuiya, kama huli usile,

Wewe unayekula usimchukie asiyekula,na wewe usiyekula usimchukie anayekula, mwisho ni kila mtu na hesabu zake mbele ya mungu

Sasa niende moja kwa moja kwenye topic husika, hivi unajua ni upuuzi kuwahusisha waislam na mada zenu za kipuuzipuuzi za nguruwe

Nasema hivyo kwasababu sio dini ya kiislam pekee inakataza nguruwe bali hata dini ya kiikristo inakataza ulaji wa kitimoto

Soma kumbukumbu la torati mlango wa 14

MLANGO 14

Ninyi mmekuwa wana wa Bwana, Mungu wenu; msijitoje miili yenu, wala msifanye upaa katikati ya macho yenu kwa ajili ya aliyekufa.
2 Kwa kuwa u taifa takatifu kwa Bwana, Mungu wako, na Bwana amekuchagua kuwa watu wake hasa, kuliko mataifa yote yaliyo juu ya uso wa nchi.
3 Usile kitu cho chote kichukizacho.
4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
5 kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula;
10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.

Sasa nauliza mnachowashwawashwa na waislam kuwataja ninini kwani bible haikatazi kula?Kwani msinyooshane ninyi kwa ninyi vidole kwakua vitabu vyenu vinakataza?

Kuna mmoja atakuambia hilo ni agano la kale.....Sasa kama ni agano la kale kwanini msilipige marufuku kutumika?Ukikataa agano la kale unatakiwa ukatae kila kila kitu kuanzia Amri kumi za mungu, uwakatae manabii wote wa vitabu vya agano la kale, ukatae kila kitu sio unasema ni agano la kale hilo, huku ukimtambua adam, eva,musa,yakobo, amri za mungu 10 nk....Wakati mwingine tuwe na akili ya kujua zuri na baya,,,mambo mengine ni kujiongeza tu.....Kuna mambo mengine ni kama taasisi za biashara tu...Some religion is all about money even spirit

Mimi ninaomba kabisa wanaJF iwe ni mwanzo na mwisho kuutaja uislam kwenye hayo mavitimoto yenu....kwamba waislam dini yao inawakataza kula....sasa kwani hiyo bible inayokataza kula kitimoto hilo agano la kale ni la waislam au wakristo....Kitabu chenu kiwakataze kula kitimoto ....Hafafu kula na kukiuka mle nyie... lawama mtutupie sisi.. ..huo ni ukorofi.Hebu tujaribu kuwa na akili tu kidogo tusiishi kwa kusukumwa tu na tamaa za kimwili tu na ulafi na anasa

Kila mtu apambane na dini lake, biashara za kusingiziana au kuleteana "scapegoatism" haikubaliani.....Nguruwe mle nyie...Utamu muusikie nyie.....Halafu lawama mtutupie sisi....STOP THAT NONSENSE

Mimi sipendagi kujadili masuala ya madini dini humu ila huu ujinga hauvumiliki hata kidogo.....TUHESHIMIANE.......
 
Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,363
2,000
Sasa wanasema wale wakiwa na dhalula tu.
Je atawafuga nani hao nguruwe ili wawanusuru wakati wa dhiki ya chakula ?
Ni vyema nao wakafuga ili wakati wa mahitaji hayo wale kiasi walichoambiwa.
Asiyeelewa maana haambiwi maana... hata enzi hizo kina bilal na wenziwe walikamatwa wakateswa na kustarvishwa sana na njaa/kiu kisha wakahitajika kukufuru ili waachwe, wengine walikufuru (kwa mdomoni tu) kwa kutaka waachwe na kweli wakaachiwa ila walipofika kwa kiongozi wao (yaani Muhammad) walionesha majuto yao na akawaambia hilo wala halina shida kwakuwa walihofia uhai wao

(Ikumbukwe hii ilikuwa ni mwanzo mwanzo hawajaiva kisawasawa kwenye imani)

Haya turudi kwa mfano huo je vipi kama leo ni wewe ndiye uliyenikamata na kuniweka na njaa siku tatu halafu ukaleta nyama ya nguruwe kunikomoa kwamba kama nataka chakula basi nile nyama hiyo?

Kuna mambo mengine yamewekwa kwa maana fulani ila kwajili akili zetu ni fupi basi watu wanawaza kwa upande fulani tu.

Hilo la nyama ya nguruwe kuwa ruksa kwa sababu maalumu watu wanachukulia tu kwa muktadha wa hakuna chakula kingine na mtu yupo huru kutafuta chakula na asipate zaidi ya nyama hiyo (jambo ambalo haliwezekani kikawaida) wala hawawazii kwamba hakuna chakula kingine na mtu hana uhuru wa kutafuta/kupata chakula tofauti na na nyama hiyo ya nguruwe (jambo ambalo ni likely kutokea)
 
papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
500
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe, View attachment 1983581

Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,

Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?

tatizo sio katik figo ya nguruwe na waislam tatizo la kuulizia ni Je wakristo lini wataacha Ushoga kanisani? maana kila baada ya muda tunasikia Papa anaomba msamaha kwa jamii iliotatuliwa marinda kanisani.
 
Kamugy T

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
737
1,000
Kumwabudu Mungu sio lazima ufuate taratibu zilizoletwa na dini za wazungu na waarabu
Sasa kama hauelewi dini ni nini unaanzaje kusema hivyo kwamba et kila angazaliwa na dini ya Mungu? wewe unaposema unaamuabudu Mungu maana yake kuna utaratibu unaotumia kumuabudu huyo Mungu na pia una maelezo yenye kumueleza huyo Mungu sifa zake na mambo yenye kuhusu huyo Mungu, sasa ukizungumzia dini ndio unazungumzia kitu chenye kuhusu mambo hayo niliyoyataja.
Sasa sijui wewe unayesema hauna dini unakuwa na maana gani?
 
Muuhyul

Member
Sep 16, 2021
34
95
Mvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.

#MaendeleoHayanaChama
Usichanganye muislam kula nguruwe ndio ukahukumu wote maana unaweza ukawa muislam na asifate misingi ya kiislam tofautisha hapo
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Kumwabudu Mungu sio lazima ufuate taratibu zilizoletwa na dini za wazungu na waarabu
Sijazungumzia ulazima bali nimeeleza dini inahusu kitu gani hasa, kama wewe unamjua Mungu kwa fikra zako tu mwenyewe vile uonavyo tu mwenyewe na unamuabudu huyo Mungu vile ulivyojipangia tu mwenyewe sawa sina tatizo ila mimi nimejaribu tu kukuelezea kiufupi dini inahusika na nini basi.
 
Plan Paris

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,958
2,000
Unajua mimi huwa sipendi kuzungumzia mambo ya dini dini kabisa nilishakataa kabisa

Kama unakula kitimoto kula kwa raha zako, hakuna wa kukuzuiya, kama huli usile,

Wewe unayekula usimchukie asiyekula,na wewe usiyekula usimchukie anayekula, mwisho ni kila mtu na hesabu zake mbele ya mungu

Sasa niende moja kwa moja kwenye topic husika, hivi unajua ni upuuzi kuwahusisha waislam na mada zenu za kipuuzipuuzi za nguruwe

Nasema hivyo kwasababu sio dini ya kiislam pekee inakataza nguruwe bali hata dini ya kiikristo inakataza ulaji wa kitimoto

Soma kumbukumbu la torati mlango wa 14

MLANGO 14

Ninyi mmekuwa wana wa Bwana, Mungu wenu; msijitoje miili yenu, wala msifanye upaa katikati ya macho yenu kwa ajili ya aliyekufa.
2 Kwa kuwa u taifa takatifu kwa Bwana, Mungu wako, na Bwana amekuchagua kuwa watu wake hasa, kuliko mataifa yote yaliyo juu ya uso wa nchi.
3 Usile kitu cho chote kichukizacho.
4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
5 kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula;
10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.

Sasa nauliza mnachowashwawashwa na waislam kuwataja ninini kwani bible haikatazi kula?Kwani msinyooshane ninyi kwa ninyi vidole kwakua vitabu vyenu vinakataza?

Kuna mmoja atakuambia hilo ni agano la kale.....Sasa kama ni agano la kale kwanini msilipige marufuku kutumika?Ukikataa agano la kale unatakiwa ukatae kila kila kitu kuanzia Amri kumi za mungu, uwakatae manabii wote wa vitabu vya agano la kale, ukatae kila kitu sio unasema ni agano la kale hilo, huku ukimtambua adam, eva,musa,yakobo, amri za mungu 10 nk....Wakati mwingine tuwe na akili ya kujua zuri na baya,,,mambo mengine ni kujiongeza tu.....Kuna mambo mengine ni kama taasisi za biashara tu...Some religion is all about money even spirit

Mimi ninaomba kabisa wanaJF iwe ni mwanzo na mwisho kuutaja uislam kwenye hayo mavitimoto yenu....kwamba waislam dini yao inawakataza kula....sasa kwani hiyo bible inayokataza kula kitimoto hilo agano la kale ni la waislam au wakristo....Kitabu chenu kiwakataze kula kitimoto ....Hafafu kula na kukiuka mle nyie... lawama mtutupie sisi.. ..huo ni ukorofi.Hebu tujaribu kuwa na akili tu kidogo tusiishi kwa kusukumwa tu na tamaa za kimwili tu na ulafi na anasa

Kila mtu apambane na dini lake, biashara za kusingiziana au kuleteana "scapegoatism" haikubaliani.....Nguruwe mle nyie...Utamu muusikie nyie.....Halafu lawama mtutupie sisi....STOP THAT NONSENSE

Mimi sipendagi kujadili masuala ya madini dini humu ila huu ujinga hauvumiliki hata kidogo.....TUHESHIMIANE.......
Mkuu hujaona nmetoa mifano miwili?
 
Plan Paris

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,958
2,000
tatizo sio katik figo ya nguruwe na waislam tatizo la kuulizia ni Je wakristo lini wataacha Ushoga kanisani? maana kila baada ya muda tunasikia Papa anaomba msamaha kwa jamii iliotatuliwa marinda kanisani.
Anzisha uzi wako uulize hilo swali bwashe
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Chief, unataka kupinga nini ama kusema nini hasa? naona unazunguka na unaashiria kifuani unakitu na hutaki funguka!.

ngoja nikupanulie njia:, unataka kunipinga mimi ninaesema QUR'AN imeongelea hadi TIK TOK kwasababu Qur'an HAIJACHA kitu ama unataka kuwapinga waja wenzio wanaosema Qur'an HAIJAACHA kitu?.

MMESEMA Allah anajua kila kitu nami nikakazia:, "allah anajua hadi kilichomo ndani ya blackhole" , sasa naona unanikazia macho kisa nimeongelea blackhole,kweli?.

EBU FUNGUKA NIKUELEWA.
Ndio maana nikakuuliza waislamu walishawahi kudai kuwa Facebook ilishazungumziwa kwenye Qur'an? unaniambia waislamu wanasema Qur'an haijaacha kitu,ndio nikakuuliza haijaacha kitu katika vitu gani au huo msemo una maana gani?
 
Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,363
2,000
Kwani kua atheist maana yake hujui maandiko?

Bila kyajua maandiko ningekua vipi atheist?
Ungejibu swali kwanza kabla ya kuuliza swali... pale kwenye sentensi zako umeonesha dalili zozote kuwa unazungumzia maandiko ambayo wewe (huyaamini) hufungamani nayo?
 
Vumilika

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
1,253
2,000
Je Uislam ni dini ya Amani?
View attachment 1984824
Unajitahidi kupandikiza chuki na sumu dhidi ya uislamu, sasa hizo aya ulizozinukuu zote zipo dhidi yako ila kwa kuwa umependa kupindisha ukweli basi wacha tuudhihirishe, unaona wasiyoijua Quran ndiyo unaweza kuwapata, lakini ukweli ukidhihiri basi uongo hujitenga na kwa hakika uongo ni wenye kujitenga.
Tuanze na Quran 2:191 lakini tuanzie na aya 190:-
190. Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.
191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
192. Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Umeuona uislamu huo?

Quran 3:28 :-

28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni naye. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu.

Quran 3:85 tuanze na aya 84:-
84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
85. Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

Ikiwa mitume yote iliyotangulia walikuwa waislamu unataka Mungu aikubali dini ipi?

Quran 5:33 tuanze na aya 32:-

33. Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
34. Isipo kuwa wale walio tubu kabla hamjawatia nguvuni. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu.

Quran 8:12:-
12. Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

Quran 8:60 tuanze na aya ya 56 - 65:-
56. Wale ambao miongoni mwao umepatana nao ahadi, kisha wanavunja ahadi yao kila mara, wala hawamchi Mungu.
57. Basi ukiwakuta vitani wakimbize walio nyuma yao ili wapate kukumbuka.
58. Na ukichelea khiana kwa watu fulani basi watupilie ahadi yao kwa usawa. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi makhaini.
59. Wala wasidhanie wale walio kufuru kwamba wao wametangulia mbele. La, wao hawatashinda.
60. Basi waandalieni nguvu kama muwezavyo, na kwa farasi walio fungwa tayari-tayari, ili kuwatishia maadui wa Mwenyezi Mungu na maadui zenu, na wengineo ambao hamwajui, lakini Mwenyezi Mungu anawajua. Na mkitoa chochote katika Njia ya Mwenyezi Mungu mtarudishiwa, na wala nyinyi hamtadhulumiwa.
61. Na wakielekea amani nawe pia elekea, na mtegemee Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua.
62. Na wakitaka kukukhadaa basi Mwenyezi Mungu atakutosheleza. Kwani Yeye ndiye aliye kuunga mkono kwa nusura yake na kwa Waumini.
63. Na akaziunga nyoyo zao. Na lau wewe ungeli toa vyote viliomo duniani usingeli weza kuziunga nyoyo zao, lakini Mwenyezi Mungu ndiye aliye waunganisha. Hakika Yeye ndiye Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
64. Ewe Nabii! Mwenyezi Mungu anakutoshelezea wewe na Waumini walio kufuata.
65. Ewe Nabii! Wahimize Waumini wende vitani. Wakiwapo kati yenu ishirini wanao subiri watawashinda mia mbili. Na wakiwapo kati yenu mia watawashinda elfu moja katika walio kufuru. Kwa sababu wao ni watu wasio fahamu.

Quran 9:5 tutaanza aya 3:-
3. Na ni tangazo kutokana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwa wote siku ya Hija Kubwa kwamba Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawana jukumu lolote kwa washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka basi jueni kuwa nyinyi hamumshindi Mwenyezi Mungu. Na wabashirie makafiri kuwa watapata adhabu chungu.
4. Isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wacha-Mungu.
5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
6. Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu.

Quran 9:30 :-
30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Quran 9:123 :-
123. Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.

Quran 22:19 :-
19. Hawa wagomvi wawili walio gombana kwa ajili ya Mola wao Mlezi. Basi walio kufuru watakatiwa nguo za moto, na yatamiminwa juu ya vichwa vyao maji yanayo chemka.

Quran 47:4 :-
4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu. Tena waachilieni kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu hatazipoteza a'mali zao.
Hiyo aya ya 4 ni muendelezo wa aya ya 1 mpaka 3 :-
1. Walio kufuru na wakazuilia njia ya Mwenyezi Mungu, Yeye atavipotoa vitendo vyao.
2. Na walio amini, na wakatenda mema, na wakaamini aliyo teremshiwa Muhammad - nayo ni Haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi - atawafutia makosa yao na ataitengeneza hali yao.
3. Hayo ni kwa sababu walio kufuru wamefuata upotovu, na walio amini wamefuata Haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi. Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu anavyo wapigia watu mifano yao.
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
22,106
2,000
Ungejibu swali kwanza kabla ya kuuliza swali... pale kwenye sentensi zako umeonesha dalili zozote kuwa unazungumzia maandiko ambayo wewe (huyaamini) hufungamani nayo?
Mkuu unachokosea ni kufikiri kila andiko kwenye vitabu vya dini lina pingwa na atheists
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
6,209

Mbona hujabadilisha chochote ..sema kuyasoma makoroni inabidi uwe Na roho ngumu...huogopi kukabwa Na majini usiku?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom