Monseur
JF-Expert Member
- Dec 5, 2016
- 655
- 522
Wenyewe tumetulia tuli, na tumeridhika na hali zetu lakini wao/wanawake ndio wapo Mstari wa mbele kututafutia Tiba za kuponya tatizo hili.
Barabarani utawakuta wanauza vipande vya nazi, mihogo na Karanga.
Ukiingia mitandao ya kijamii unakutana na matangazo kibao ya madawa ya tiba lishe na wahuzaji wakuu ni hao hao kina mama.
Nimekuwa nikitafakari, je madhumuni yao kina mama na wadada ni kusaidia wanaume kupona, au ni kwa interest zao zaidi?
Maana huenda tatizo lipo kwa wanaume lakini wanawake ndio linawatesa sana kisaikolojia kwa kushindwa kufikishwa kileleni.