Je, wafahamu benki gani hukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lake lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii?

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Wakuu habari za Jumapili!?

Ninaomba kufaham. Nimekuwa nikisikia maneno/ tetesi ambayo kwa hakika sijabahatika kuonana na mtu akanipa taarifa za kuaminika juu ya hili.

Jambo lenyewe ni niliwahi kusikia kuwa kuna Baadhi ya bank hapa nchini zinautaratibu wa kukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lalo lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii eg.NSSF.

Je, kuna ukweli wowote katika hilo? Na ni Bank gani hizo? Utaratibu ukoje?
 
Hakuna kitu Kama hicho ata Mimi nilikwenda nssf kutaka mkopo lakini wakasema ukajiunge na Saccos kuweka kukopa ndio jibu nililojibiwa hawausiana na Mambo mikopo.bank of Africa wanatoa mikopo lakini mshahara angalau uwe lk 600000 ili waweze kukata riba yao.kuanzia milioni moja mpka ml 10
 
Je ukiwa na kiasi kwenye account ya bank unaweza kukopesha ikiwa mtu huyo si mwajiriwa yaani dhamana iwe utambulisho wake na kiasi cha pesa kilichopo bank.
 
Mkuu Kama unakiasi benk kwa Nini ukopee....tumia hicho ulicho save kwa ajili ya kutatua au kuendekeza Mambo yako
 
Je ukiwa na kiasi kwenye account ya bank unaweza kukopesha ikiwa mtu huyo si mwajiriwa yaani dhamana iwe utambulisho wake na kiasi cha pesa kilichopo bank.
Yes, ukiwa na pesa Fixed deposits unaweza kukopa mpaka 90%ya pesa yako.

( Kwa dhamana ya pesa yako )
 
Ahsante mkuu, nilikuwa sifahamu hili.
Mfano una Mil 50 possibility ya mkopo ipoje?..
90% ya hiyo pesa.

( Ila inategemeana na Fixed deposits yako ni ya muda gani na mkopo wako utalipwa baada ya muda gani )
 
Je ni lazima Mshahara upitie bank yao ndio wakukopeshe? Nini masharti mengine?
Hakuna kitu Kama hicho ata Mimi nilikwenda nssf kutaka mkopo lakini wakasema ukajiunge na Saccos kuweka kukopa ndio jibu nililojibiwa hawausiana na Mambo mikopo.bank of Africa wanatoa mikopo lakini mshahara angalau uwe lk 600000 ili waweze kukata riba yao.kuanzia milioni moja mpka ml 10
 
Je ni lazima Mshahara upitie bank yao ndio wakukopeshe? Nini masharti mengine
Hakuna kitu Kama hicho ata Mimi nilikwenda nssf kutaka mkopo lakini wakasema ukajiunge na Saccos kuweka kukopa ndio jibu nililojibiwa hawausiana na Mambo mikopo.bank of Africa wanatoa mikopo lakini mshahara angalau uwe lk 600000 ili waweze kukata riba yao.kuanzia milioni moja mpka ml 10
 
Wakuu habari za Jumapili!?

Ninaomba kufaham. Nimekuwa nikisikia maneno/ tetesi ambayo kwa hakika sijabahatika kuonana na mtu akanipa taarifa za kuaminika juu ya hili.

Jambo lenyewe ni niliwahi kusikia kuwa kuna Baadhi ya bank hapa nchini zinautaratibu wa kukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lalo lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii eg.NSSF.

Je, kuna ukweli wowote katika hilo? Na ni Bank gani hizo? Utaratibu ukoje?
Ninachofahamu kwa udogo wangu Mifuko ya Hifadhi ya Jamii haitoi mikopo kama mabenki yenyewe inahusika na mambo ya sekta ya hifadhi ya jamii.Ule Mfuko wa NSSF ninachofahamu wao walitoa hela kwa riba nafuu Azania, na Azania ndio wanakopesha wajasiamali .NSSF waliungana na Taasisi nyingine kama VETA, AZANIA, NEEC na SIDO wakaweka hela AZANIA Bank na watu wanaohusika ni wajasiliamali wadogo na wa kati wanakopeshwa kwa ajili ya kuanzisha au kuendeleza viwanda vidogo na vya kati. Nakushauri hebu wacheki Veta au sido watakusaidia
 
Back
Top Bottom