MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 338
- 502
Wakuu habari za Jumapili!?
Ninaomba kufaham. Nimekuwa nikisikia maneno/ tetesi ambayo kwa hakika sijabahatika kuonana na mtu akanipa taarifa za kuaminika juu ya hili.
Jambo lenyewe ni niliwahi kusikia kuwa kuna Baadhi ya bank hapa nchini zinautaratibu wa kukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lalo lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii eg.NSSF.
Je, kuna ukweli wowote katika hilo? Na ni Bank gani hizo? Utaratibu ukoje?