Je wabunge wa singida mmetumwa kwenda kutuma sms bungeni?

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
577
195
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania kutoka kushoto Bi. Salome Mwambu,Mwihigulu mbunge mteule wa Iramba Mashariki na Bi.Matha Mlata mbunge viti maalumu wakitoka kwenye ukumbi wa mikutano bungeni Dodoma.
WABUNGE WOTE HAO NI WA MKOA WA SINGIDA.
wanaonekana wako busy sana na simu zao,je hiko ndo wamekifuata mjengoni?ngoja 2015 mtatukuta tu singida huko.
 

Attachments

  • IMG_9235.jpg
    File size
    154.7 KB
    Views
    186

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,757
2,000
Watu wa Singida ni watu wa ajabu sana wako radhi Dewji awe anawapa samaki kila siku badala ya kumwambia awape nyavu ili wavue wenywe ili baadae wasimtegeemee huyu mhindi!! Wanamchagua muimba kwaya kuwa mbunge wao na kumuacha msomi mahili DR. Puja; kwa mtindo huu kila siku mtakuwa watu wa nyuma tu nyie wanyatulu /wanyilamba!!
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,119
2,000
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania kutoka kushoto Bi. Salome Mwambu,Mwihigulu mbunge mteule wa Iramba Mashariki na Bi.Matha Mlata mbunge viti maalumu wakitoka kwenye ukumbi wa mikutano bungeni Dodoma.
WABUNGE WOTE HAO NI WA MKOA WA SINGIDA.
wanaonekana wako busy sana na simu zao,je hiko ndo wamekifuata mjengoni?ngoja 2015 mtatukuta tu singida huko.

Huu nao mjadala!! Unajidhalilisha tu. Leki yopoki, kue du ni nsimu nzani!
 

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
225
waache tu si wanaona 2015 ni mbali,ngoja tupime utendaji wao ili 2015 tu wa vote out na kulinda kura zetu
 

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
Jamani wametoka bungeni ambapo hurusiwi kutumia simu. Sasa wako nje ndo wamewasha ili nao wawasiliane na ndugu jamaa na waume zao...! sometimes think twice..i wont help u next time!!!
 

ODD

Member
Mar 25, 2010
31
0
Jamani wametoka bungeni ambapo hurusiwi kutumia simu. Sasa wako nje ndo wamewasha ili nao wawasiliane na ndugu jamaa na waume zao...! sometimes think twice..i wont help u next time!!!Umesema kweli , wanapeana namba za simu kwa ajili ya mawasiliano. watu wa singida wivu umewazidi . wape muda tuone utanadaji wao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom