Je, waarabu wanaoandamana ni maskini kuliko watanzania au ni ujasiri tu?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wandugu,
wengi wenu mnashuhudia wimbi la maandamano ya wananchi katika nchi nyingi za kiaarabu wakishinikiza viongozi wao kuondoka madarakani. Kwa mujibu wa maelezo ya vyombo vya habari vya kimataifa vinavyofuatilia maandamano hayo, inaonekana msukumo wa wananchi wa kutaka mabadiliko ya uongozi umetokana na umaskini uliokithiri miongoni mwa wananchi hao na kinachowakera zaidi ni tofauti kubwa inayoongezeka kati ya wenye nacho na wasio nacho. Sasa ninachojiuliza ni, je, mbona watanzania tupo kimya pamoja na ugumu wa maisha unaoongezeka siku hadi siku?? Au kutoandamana kwetu kunamaanisha sisi ni nafuu kidogo kuliko wenzetu waarabu?
 
..nilivyowaona kwenye luninga inaelekea wana hali nzuri kuliko wa-Tanzania walio wengi.
 
Back
Top Bottom