Je, waanzilishi wa ACT asili wakiamua kwenda mahakamani kudai ACT yao itakuaje?

Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa
NI SWALI FIKIRISHI NI VIPI PIA WAANZILISHI WA CCM WAKIENDA MAHAKANI KUDAI CCM YAO. HAYA NI MAWAZO MBADALA
 
......
IMG_20190320_123929.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom