Je, waanzilishi wa ACT asili wakiamua kwenda mahakamani kudai ACT yao itakuaje?

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,846
16,740
Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa
 
Kwa msaada wa msajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachawi mmeanza fitna
Najuwa mtapa wafadhili wa upuuzi huo. Lakini je ni kwa faida ya nan ?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa
Hao waliopo watasahili chama chao kingine
 
Wataalam wa siasa za Tanzania walituambia kuwa ACT-Wazalendo hata uhakiki wake ulikuwa niwa magumashi! Ninadhani wako mbioni kuanza tena kudadavua hoja zingine baada ya Maalim Seif kuwa mwananchama wa ACT-Wazalendo.

Suala la ACT-Wazalendo limejadiliwa sana kwenye hii thread.

LINK>>>Duru za siasa: Chama cha ACT -Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani - JamiiForums
CCM mnajipanga kutumia mamluki kupandikiza mgogoro ACT!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa
Mwanzilishi nani zaidi ya mwenye chama zzk.
 
N
Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa
Na cuf asili wataenda mahakamani
 
Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa
Maalim kawazidi kete,endeleeni na Le profeseli wenu.
 
Good morning folks & trumpets

Hivi wale waanzilishi wa ACT wakiamua kudai ACT yao wakidai waliporwa, mahakama si inaweza sikiliza case yao tena, sbb walifungua ila ikaishia njiani, je wakijipanga upya na kusema waliporwa Chama chao, si kuna hoja ya msingi hapa jamani..?

Haaa, second half imeanza.. Haa

Waambieni waende hata leo maana ni siku ya kazi, kisha muiagize mahakama iwarudishe chama hao ACT asili. Lakini wanamageuzi wa kweli watahamia hata NLD, NCCR na cdm iwe mbaya zaidi. Tena wakati wa kesi wapangishieni hotel ya nyota tano wawe wanashindikizwa na wale walinzi wa ikulu. Mmemtumia Lipumba kawatieni hasara saa hii kaachiwa chama cha makaratasi hana watu, mnaangalia wengine wa kuwatumia. Nawashauri hao ACT asili ndio wakati na wao wa kula hela za Mabwege. Hiyo fursa ikitokea waichangamkie haraka sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom