The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,908
- 2,889
najaribu kujiuliza ikiwa kuna haja ya waangaliz wa ndani na wa nje kurudi tena zanzibar katika hali ambayo walitoa ripoti yao kua uchaguzi ulikua huru na haki na sasa ccm wanarudia peke yao kwa sababu jecha aliona kua uchaguzi ulikua na mapungufu makubwa sasa waangalizi wataenda kuchunguza kitu gani?