Je, Waafrika uzazi wa mpango ni sahihi kwetu? Kama ndio/hapana kwanini?

Papuchi nyingi sana zimepoteza ladha kwa sababu ya uzazi wa mpango;

1. Papuchi nyingi zimekuwa bwawa la mtera na kulegeza misuli yake hadi Me wengi kuonekana vibamia.

2. Ke wengi hawana msisimko na Me zao ktk tendo la ndoa kwa kutovutiwa nao kihisia.

3. Papuchi nyingi zimekuwa za baridi kwa kupoteza lile joto lake halisi.

USHAHIDI:

Ni zaidi ya miaka mitatu imepita tangu nichepuke na kujilaumu kupoteza muda baada ya kukuta yaliyomo hayamo(injini ya gari wala si body) yani Ke wazuri kimvuto kwa sura na maumbile ila vipapatio havikuwa na ladha kimatarajio.

Tuliofunguliwa hekima na Mungu kwa kuona athari za uzazi wa mpango tunajisevia tu kuku wetu wa kienyeji na ni watamu mno.
 
Afrika itaweza kupiga hatua pale wazungu na mataifa yanayojiita makubwa watakapoacha kujidai wanaipa misaada au kuisaidia. Wakituacha miaka mi5 tu complete bila kutuingilia kabisa kwa namna yoyote, mtashangaa msingi imara utakaojengwa.

Shida zinafanya watu wawe imara na kupiga hatua. Utegemezi unadumaza. China ilikataa utegemezi wakazaa kwa wingi lakini leo hii shida ziliwafundisha maisha, wapo mbali sana.

Adui mkubwa wa mwafrika ni huyu mzungu asiyetaka mwafrika ajitegemee. Watuache tupate shida, kama ni kufa tufe, hatutaisha wote. Lakini hizo shida ndo zitatufanya tuumize vichwa na kuibuka na suluhisho la dizaini ya kwetu, narudia tena dizaini ya kwetu sio lazima suluhisho liwe katika mfumo wa kwao ao liwe kama la kwao.

Tumekuwa nyuma katika teknolojia, tiba, n.k kwa sababu ya kuletewa magonjwa na kulazimishwa tiba zao. Sio kwamba waafrika hatuna akili ya kutengeneza madawa tukajitibu wenyewe, ni kwa sababu wanatuletea madawa na wanatuaminisha kuwa madawa ni yale wanayoleta wao, ya kwetu ni upuuzi na hayawezi. Well, hata kama hayawezi kama ya kwao ila kama ya kwao yasingekuwepo tungeshagundua yanayotibu zaidi ya hayo ya kwao.

Imekuja covid, wangetuacha tu sisi wenyewe tupambane nayo waone. Ndani ya mwaka tu tayari Afrika ingekuwa imeshapata dawa tiba na kinga yake yenyewe kwa dawa zake za asili (narudia tena sio lazima suluhisho letu liwe sawa na la kwao). Ni sawa tungeanza na dawa zenye uwezo mdogo kama tulizoanza nazo, ila baada ya muda tungegundua zenye uwezo mkubwa au kuboresha zile za mwanzo na kupata dawa zenye uwezo mkubwa sana. Ila angalia wanachofanya wazungu, wanaitumia WHO kuhakikisha dawa zote zisipewe kipaumbele kama sio zile zilizotengenezwa kwao.

Nawaambia tena waafrika wenzangu, waafrika sio kwamba hatuna akili kama mnavyokaririshwa na wala sio kwamba Afrika ina laana, hapana. Adui yetu mkubwa ni mkoloni wetu anayeendelea kuhakikisha hatujitegemei mpaka leo. Na amefanikiwa kututengeneza akili hadi tunajilaumu wenyewe na kulaumiana sisi wenyewe kwa wenyewe kuwa sisi ndio chanzo ila kiukweli mkoloni alianza kutuwekea utumwa ndani ya vichwa vyetu kupitia dini, elimu, mifumo ya siasa, n.k. kilichobaki tunajiendesha wenyewe kujiharibia kwa manufaa ya mkoloni.

Kuzaa watoto wengi haijawahi kuwa sababu ya umaskini, bali ni sababu ya utajiri. Nchi zenye watu wengi kama watatengenezwa vuzuri ndio zinakuwa tajiri, angalia mfano Marekani, China, India, Nigeria, n.k. Ila mzungu ametuletea utumwa wa kutwambia kuzaa ni mwanzo wa umaskini ili tuache kuzaa tusipige hatua na mwisho wa siku tupungue na kuisha.

Shtuka mwafrika
 
Papuchi nyingi sana zimepoteza ladha kwa sababu ya uzazi wa mpango;

1. Papuchi nyingi zimekuwa bwawa la mtera na kulegeza misuli yake hadi Me wengi kuonekana vibamia.

2. Ke wengi hawana msisimko na Me zao ktk tendo la ndoa kwa kutovutiwa nao kihisia.

3. Papuchi nyingi zimekuwa za baridi kwa kupoteza lile joto lake halisi.

USHAHIDI:

Ni zaidi ya miaka mitatu imepita tangu nichepuke na kujilaumu kupoteza muda baada ya kukuta yaliyomo hayamo(injini ya gari wala si body) yani Ke wazuri kimvuto kwa sura na maumbile ila vipapatio havikuwa na ladha kimatarajio.

Tuliofunguliwa hekima na Mungu kwa kuona athari za uzazi wa mpango tunajisevia tu kuku wetu wa kienyeji na ni watamu mno.
Naunga mkono hoja
 
Afrika itaweza kuoiga hatua pale wazungu na mataifa yanayojiita makubwa watakapoacha kujidai wanaipa misaada au kuisaidia. Wakituacha miaka mi5 tu complete bila kutuingilia kabisa kwa namna yoyote, mtashangaa msingi imaea utakaojengwa.

Shida zinafanya watu wawe imara na kupiga hatua. Utegemezi unadumaza. China ilikataa utegemezi wakazaa kwa wingi lakini leo hii shuda ziliwafundisha maisha, wapo mbali sana.

Adui mkubwa wa mwafrika ni huyu mzungu asiyetaka mwafrika ajitegemee. Watuache tupate shida, kama ni kufa tufe, hatutaisha wote. Lakini hizo shida ndo zitatufanya tuumize vichwa na kuibuka na suluhisho la dizaini ya kwetu, narudia tena dizaini ya kwetu sio lazima suluhisho liwe katika mfumo wa kwao ao liwe kama la kwao.

Tumekuwa nyuma katika teknolojia, tiba, n.k kwa sababu ya kuletewa magonjwa na kulazimishwa tiba zao. Sio kwamba waafrika hatuna akili ya kutengeneza madawa tukajitibu wenyewe, ni kwa sababu wanatuletea madawa na wanatuaminisha kuwa madawa ni yale wanayoleta wao, ya kwetu ni upuuzi na hayawezi. Well, hata kama hayawezi kama ya kwao ila kama ya kwao yasingekuwepo tungeshagundua yanayotibu zaidi ya hayo ya kwao.

Imekuja covid, wangetuacha tu sisi wenyewe tupambane nayo waone. Ndani ya mwaka tu tayari Afrika ingekuwa imeshapata dawa tiba na kinga yake yenyrwe kwa dawa zake za asili (narudia tena sio lazima suluhisho letu liwe sawa na la kwao). Ni sawa tungeanza na dawa zenye uwezo mdogo kama tulizoanza nazo, ila baada ya muda tungegundua zenye uwezo mkubwa au kuboresha zile za mwanzo na kupata dawa zenye uwezo mkubwa sana. Ila angalia wanachofanya wazungu, wanaitumia WHO kuhakikisha dawa zote zisipewe kipaumbele kama sio zile zilizotengenezwa kwao.

Nawaambia tena waafrika wenzangu, waafrika sio kwamba hatuna akili kama mnavyokaririshwa na wala sio kwamba Afrika ina laana, hapana. Adui yetu mkubwa ni mkoloni wetu anayeendelea kuhakikisha hatujitegemei mpaka leo. Na amefanikiwa kututengeneza akili hadi tunajilaumu wenyewe na kulaumiana sisi wenyewe kwa wenyewe kuwa sisi ndio chanzo ila kiukweli mkoloni alianza kutywekea utumwa ndani ya vichwa vyetu kupitia dini, elimu, mifumo ya siasa, n.k. kilichobaki tunajiendesha wenyewe kujiharibia kwa manufaa ya mkoloni.

Kuzaa watoto wengi haijawahi kuwa sababu ya umaskini, bali ni sababu ya utajiri. Nchi zenye watu wengi kama watatengenezwa vuzuri ndio zinakuwa tajiri, angalia mfano Marekani, China, India, Nigeria, n.k. Ila mzungu ametuletea utumwa wa kutwambia kuzaa ni mwanzo wa umaskini ili tuache kuzaa tusipige hatua na mwisho wa siku tupungue na kuisha.

Shtuka mwafrika
Point 👍
 
OP: Mwaka fulani nilikua refugees camp, mwanamama wa kibembe kaingia ofisini kumshtakia mumewe hataki kuongeza watoto. wana Watoto 5.

uwepo wa chakula cha kutosha na muda wa kutosha wa kula nazi na kipande cha muhogo nadhani ndio sababu za watoto watarajiwa 😁😁
Mama wa Kibembe katisha
 
Papuchi nyingi sana zimepoteza ladha kwa sababu ya uzazi wa mpango;

1. Papuchi nyingi zimekuwa bwawa la mtera na kulegeza misuli yake hadi Me wengi kuonekana vibamia.

2. Ke wengi hawana msisimko na Me zao ktk tendo la ndoa kwa kutovutiwa nao kihisia.

3. Papuchi nyingi zimekuwa za baridi kwa kupoteza lile joto lake halisi.

USHAHIDI:

Ni zaidi ya miaka mitatu imepita tangu nichepuke na kujilaumu kupoteza muda baada ya kukuta yaliyomo hayamo(injini ya gari wala si body) yani Ke wazuri kimvuto kwa sura na maumbile ila vipapatio havikuwa na ladha kimatarajio.

Tuliofunguliwa hekima na Mungu kwa kuona athari za uzazi wa mpango tunajisevia tu kuku wetu wa kienyeji na ni watamu mno.
Mmh mna mambo humu ndani
 
Naunga mkono hoja
Hacha undumila kuwili + unafiki wewe. Unaungaje mkono HOJA hii wakati wewe mwenyewe ndio ulikuwa wa kwanza kumpinga RAIS WETU KIPENZI JPM, ambaye alikuwa anayaishi haya yote uliyojifanya kuyaunga mkono kinafiki!
 
Magufuli yupi niliyekuwa nikimpinga?
Baba Jescar?, Waziri, Rais, Mwenyekiti wa CCM, au Magufuli mkazi wa Chato?
 
Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni.

Tujikite zaidi kwenye haya.

Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
Bujibuji ungeanza kwanza na tafsiri ya nini maana ya uzazi wa mpango ndio tuendelee.
 
Nyie ndo makondoo wa wakoloni sasa. Ukiamini unaweza kutibu malaria kwa mitishamba wao wazungu wanaku rate kama una IQ ndogo na mifano mingine ya namna hiyo. Ni kwa sababu wametufanya tuamini kuwa the best way to act ni kuact kama wao wanavyoona ni sahihi.

Leo hii ukiabudu na kuomba mizimu yako ikuondolee mabalaa wao wanaku rate kama mwenye IQ ndogo, ila ukiabudu na kuomba mizimu yao waliyokuletea (akina Yesu, Abraham, Muhamad, n.k) wanaku rate una IQ kubwa.

They say una IQ ndogo kuku demoralize ufikirie na kutenda wanayotaka wao. Ila tukikomaa tukafanya yetu kulingana na mazingira yetu tutafika mbali sana na ndo watakapojua tuna IQ kubwa sana.

Shtuka, jiamini mwafrika. Regain back our confidence
Bonge la point. Naunga mkono hoja

Hii akili ealiyitupenyezea na elimu ni hatari saana kwa mataifa ya Afrika kuliko hata ukoloni wenyewe.

Ukuwa wa tatizo unaanzia na haya ma vitu wanaita IQ.

Ili tujikeamue lazima tukubali kuwa kama mbegu.
Mbegu haimei mpaka ioze kwanza ikishaoza ndio humea na kufufua uhai wake. Uhai ukishapatikana ndipo utaanza na hatua ya ukuaji vinginevyo hiyo mbegu itaendelea kuwa mbegu tuu.

Hata waafrika mataifa ya Afrika yakumbuke kabisa wao sio mmea ni mbegu iliyiachwa na mababu waliojitahidi kutitunza ambao waliishi bila ukoloni na kupitia ukoloni mmea unaoitwa mwafrika ulivunwa na mbegu zake kutunzwa.

Hivyo tunalazimika sasa kukubali kwamba mbegu hii inabidi ioze na imwagiliwe maji ili imee tena. Vinginevyo hatutaweza kutoka sehemu tulipo.

Mathalani je kwa rasilimali na fursa zilizo Afrika kuna sababu yoyote ya kutozaa?
Sehemu yenye:-
1. Eneo la kutosha
2. Rutuba
3. Hali nzuri ya hewa
4. Maji ya kutosha
5. Madini ya kutosha
6. N.k n.k

Kwa hali hiyo na vitu hivyo vilivyopo kuna sababu ya kuzaa watoto wachache eti
 
Kuna usemi huu wadau. "Unachota maji kisimani na kutia baharini!!!!" Ulisikia wapi bahari ikajaa au kushukuru???????
 
Hali ya uchumi inapokuwa ngumu kama kipindi hiki ndipo umuhimu wa uzazi wa mpango unapoonekana.
 
Siyo sahihi. Ulaya hawazaani. Wamebaki wazee watumiaji na siyo wazalishaji. Uchumi bila wazalishaji unaporomoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom