Je vyuo vinafanya tathmini juu ya maeneo ya mafunzo kwa vitendo?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Kujifunza kwa vitendo ni kitu muhimu sana kwani ndiko kunakomfanya mfanyakazi mtarajiwa kuwa mfanyakazi bora wa baadaye.

Nimewahi kusikia Wanafunzi wa baadhi ya Vyuo Vikuu wanaosoma shahada kutopewa ushirikiano na wakuu wa idara, hususani, wakuu wa idara wenye stashahada.
Wakuu hao hawatoi ushirikiano wa kutosha kwa wanafunzi wa shahada kwa kuhisi wananyanyapaliwa na hao wanachuo.
Naomba kuuliza, je vyuo vinafanya tahtmini juu ya ubora wa maeneo ya mafunzo kwa vitendo?, na pia, je wanafunzi wanapewa mazingira mazuri ya kujifunza kwa vitendo?
 
Back
Top Bottom